Kwa ùjinga na Upumbavu wako unaona Miundombinu ni bora zaidi ya maisha ya vijana zaidi ya 10,000 waliouwawa kikatili na serikali ovu Oct 29,2025.Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Wewe endelea kudai waliokuufa na sisi tuendelee na kuwaadhibu wote waliopanga na kuharibu miundombinu yetu iliyotokana na kodi zetu. Tuache upumbavu makato ya PAYE ni makubwa sana, huwezi kuvuta bangi zako halafu ukachome TRA halafu tukuache hivi hivi. Wacha tume imalize kazi yake. Kuna wajinga eti wanataka kuzuia tume isifanyekazi yake ili waliotuharibia tusiwajue. Nadhani wamekwama. Kama serikali haitawachukulia hatua watu hao tutaiondoa madarakani kwa kosa la kushindwa kulinda kodi na mali zetu.Kwa ùjinga na Upumbavu wako unaona Miundombinu ni bora zaidi ya maisha ya vijana zaidi ya 10,000 waliouwawa kikatili na serikali ovu Oct 29,2025.
Kwahiyo wewe ukimkuta mtu anambaka mke wako utamwacha aende zake. Acha upumbavu wa kijijini.Kwa ùjinga na Upumbavu wako unaona Miundombinu ni bora zaidi ya maisha ya vijana zaidi ya 10,000 waliouwawa kikatili na serikali ovu Oct 29,2025.
Kumbe wewe ni *****?Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo.
Kwa ujinga na upumbavu wako unawaza mambo ya NGONO tu Pumbavu kabisa!!!Kwahiyo wewe ukimkuta mtu anambaka mke wako utamwacha aende zake. Acha upumbavu wa kijijini.
Tungeanza kwanza na wale waliosababisha hao vijana kupandwa na hasira kiasi cha kufikia hiyo hatua ya kuharibu hiyo miundombinu.Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo.
Tuwaadhibu waliochoma matoroli halafu tuwasamehe walioua, akili mnemba hii.Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo.
Endelea kuota ndoto za Mwendawazimu Mpumbavu wewe!!!Wewe endelea kudai waliokuufa na sisi tuendelee na kuwaadhibu wote waliopanga na kuharibu miundombinu yetu iliyotokana na kodi zetu. Tuache upumbavu makato ya PAYE ni makubwa sana, huwezi kuvuta bangi zako halafu ukachome TRA halafu tukuache hivi hivi. Wacha tume imalize kazi yake. Kuna wajinga eti wanataka kuzuia tume isifanyekazi yake ili waliotuharibia tusiwajue. Nadhani wamekwama. Kama serikali haitawachukulia hatua watu hao tutaiondoa madarakani kwa kosa la kushindwa kulinda kodi na mali zetu.
Ety kisa PAYETuwaadhibu waliochoma matoroli halafu tuwasamehe walioua, akili mnemba hii.
hii tabia lazima ikome, kuharibu miundo mbinu iwe death penaltyKama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo.
Akili Mnemba kweli hii!!!hii tabia lazima ikome, kuharibu miundo mbinu iwe death penalty
Tulia 🫵🌈Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo.
Kwa hiyo walioharibi miundombinu wasishughulikiwe kisheria kisa kuna watu waliuawa, hizo akili au tope?.. ndivyo mnavyoambiana kanisani!?..maana ukitajwa uharibifu mnakimbilia waliouawa,wangetulia kwao wangeuawa?Kwa ùjinga na Upumbavu wako unaona Miundombinu ni bora zaidi ya maisha ya vijana zaidi ya 10,000 waliouwawa kikatili na serikali ovu Oct 29,2025.
Watanzania wengi kama sio wote wako nyuma ya serikali yao, serikali ilichofanya kuzima uharibifu ule kilikuwa sawa kabisa na kinaungwa mkono na watanzania wengi. Kama wananchi wasingekuwa nyuma yake ungeshaona maandamano ya nchi nzima kila nyumba, kila kitongoji, kila mtaa, kila barabara kote kuanzia kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taaifa watu wanampinga kupinga mauaji. Ukiona wahalifu wamedhibitiwa kirahisi namna ile maana yake walikuwa hawaungwi mkono na wananchi walio wengi; walikuwa wavuta bangi wachache waliostahili kudhibitiwa haraka kabla hawajachoma mali zetu nyingi.Tungeanza kwanza na wale waliosababisha hao vijana kupandwa na hasira kiasi cha kufikia hiyo hatua ya kuharibu hiyo miundombinu.
Unadhulumu watu haki zao za msingi mchana kweupe kwa kuwateka, kuwaua, kuwaibia kura zao, kuwaengua kugombea kwenye uchaguzi, kuiuza nchi yao kwa wageni, kuwahamisha kinguvu kwenye maeneo yao ya asili ili kuwapa hayo maeneo wajomba zako, kuwafunga kwa kesi feki za ugaidi na uhaini, nk. halafu unategemea wabakie kondoo milele!
Waliowaoandisha hasira ni TEC, chadema na wanaharakati,hawakuwa na madai yoyote ya maanaTungeanza kwanza na wale waliosababisha hao vijana kupandwa na hasira kiasi cha kufikia hiyo hatua ya kuharibu hiyo miundombinu.
Unadhulumu watu haki zao za msingi mchana kweupe kwa kuwateka, kuwaua, kuwaibia kura zao, kuwaengua kugombea kwenye uchaguzi, kuiuza nchi yao kwa wageni, kuwahamisha kinguvu kwenye maeneo yao ya asili ili kuwapa hayo maeneo wajomba zako, kuwafunga kwa kesi feki za ugaidi na uhaini, nk. halafu unategemea wabakie kondoo milele!
Kama hiki kinachowaza hivi kina familia nawasikitikia sana mke na watoto wake wamevuna mabuahii tabia lazima ikome, kuharibu miundo mbinu iwe death penalty
Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo.
TEC ndiyo wanaowateka mchana kweupe na kwenda kuwatesa au kuwaua, kuwafunga kwa kesi za mchongo, kuwaibia kura zao kwa kuwatangaza washindi feki, kuwaengua kwenye uchaguzi kwa hila, kuuza raslimali kwa waarabu, nk!! Ok.Waliowaoandisha hasira ni TEC, chadema na wanaharakati,hawakuwa na madai yoyote ya maana