BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Hii ni nguvu ya buku7 tu
What more should i say?!
What more should i say?!
Upumbavu ni kudhani waliochoma miundombinu ya umma na mali binafsi kwa kisingizio kuwa wana haki, walikuwa sahihiKwa ùjinga na Upumbavu wako unaona Miundombinu ni bora zaidi ya maisha ya vijana zaidi ya 10,000 waliouwawa kikatili na serikali ovu Oct 29,2025.
kama una ushahidi unaenda mahakamani sio kuchoma TRA. Waliouawa walikuwa na sifa ya kuawa, na walikuwa wakiuawa hivyohivyo miaka yote. Wanaovunja na kuiba bank wanauliwa miaka yote, ila wewe unataka hawa wa oct 29 wasiuliwe. Wameuliwa bhana, na wakifanya tena watauliwa wengine tena, niamini mimi. Wananchi wamelidhia hilo ndiyo maana wako kimya.Ety kisa PAYE
Ufisadi unaofanywa Kwani hajui kama PAYE nayo inahusika au
Eti wananchi waliokosa usafiri kwa mwendokasi wao kuunguzwa hawana haki kuliko wale waliouchoma. Katiba inasema haki ya umma (wengi) haiwezi kuchukuliwa na haki ya mtu au watu wachache. Ndiyo maana tunaweza kukuhamisha makazi yako ili kupisha mradi wa barabara ujengwe. Kama wananchi wasingelidhia wahuni wale wauliwe ili kuzima uasi sasa hivi ungewaona mitaani wakiandamana kuipinga serikali.Upumbavu ni kudhani waliochoma miundombinu ya umma na mali binafsi kwa kisingizio kuwa wana haki, walikuwa sahihi
Si walishakamatwa na bado wanaendelea kukamatwa ila huyu Lord Denning bado hajakamatwa kwa kuwa nasikia alikimbia nchi yuko nje ya nchi. Nafikiri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama lazima watamkamata tu siku akirudi TZ hawezi akaharibu mali za umma halafu wamuache tuKama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo. Haifai kuendesha nchi. Nchi haiendeshwi kwa kutumia moyo na utashi, bali Katiba na sheria za nchi. Uchaguzi na namna unavyoendeshwa uko ndani ya katiba na sheria zetu ambazo viongozi waliapa kuilinda. Hakuna mtu angeweza kuvunja Katiba kwa kufanya uchaguzi ulio nje ya Katiba hadi hapo Katiba nyingine itakapoandikwa na kupitishwa kutumika. Hivyo, aliyetaka kusimamisha uchaguzi alikuwa anakwenda kinyume na katiba. Kwanini serikali isiwachukulie hatua watu waliochoma vituo vya kupigia kura? Ndiyo kuilinda katiba huko?
Utafanye maridhiano na watu waliovunja Katiba (kuchoma vituo vya kupigia kura) na kuchoma mali za wananchi? HUo ni woga au kushindwa kuongoza nchi? Wakati tunafanya maridhiano wale wote waliopanga na kutekeleza kuchoma vituo vya kupigia kura na mali nyingine lazima waende jela kwa mujibu ya sheria zetu.
hakuna mtu anaweza kukudhuru kama hujafanya kosa lolote haswa kwa tanzania ni nadra sana kutokea, hivo mlicho kitafuta mmekipata, however ni kosa kubwa kulitumia kisiasa kwan kila mtu aliona kabisa uizi uliofanyika pamoja na kuchoma miundo mbinuChanzo chake unakijua?au unaangalia matokeo tu?
Kama wakiacha kuwaadhibu wote ipasavyo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu watapoteza sifa ya kuiongoza nchi kwa mujibu wa Katiba walioapa kuilinda. Itaonekana ni serikali legelege na dhaifu kupindukia kuwahi kuwepo Tanzania.Si walishakamatwa na bado wanaendelea kukamatwa ila huyu Lord Denning bado hajakamatwa kwa kuwa nasikia alikimbia nchi yuko nje ya nchi. Nafikiri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama lazima watamkamata tu siku akirudi TZ hawezi akaharibu mali za umma halafu wamuache tu
Wa kwenda jela ni hao waliosababisha iwe ikawaKama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo. Haifai kuendesha nchi. Nchi haiendeshwi kwa kutumia moyo na utashi, bali Katiba na sheria za nchi. Uchaguzi na namna unavyoendeshwa uko ndani ya katiba na sheria zetu ambazo viongozi waliapa kuilinda. Hakuna mtu angeweza kuvunja Katiba kwa kufanya uchaguzi ulio nje ya Katiba hadi hapo Katiba nyingine itakapoandikwa na kupitishwa kutumika. Hivyo, aliyetaka kusimamisha uchaguzi alikuwa anakwenda kinyume na katiba. Kwanini serikali isiwachukulie hatua watu waliochoma vituo vya kupigia kura? Ndiyo kuilinda katiba huko?
Utafanye maridhiano na watu waliovunja Katiba (kuchoma vituo vya kupigia kura) na kuchoma mali za wananchi? HUo ni woga au kushindwa kuongoza nchi? Wakati tunafanya maridhiano wale wote waliopanga na kutekeleza kuchoma vituo vya kupigia kura na mali nyingine lazima waende jela kwa mujibu ya sheria zetu.
Kama Nyerere aliwahi kuwatia adabu rafiki zake Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Mzee Jumbe, na wengine waliokengeuka Rais Samia anataka kushindwa nini. Tanzania haikuitwa kisiwa cha amani burebure tu, kuna watu waliadhibiwa vikali sana ili kudumisha amani hii tunayotamba nayo.Wote wataadhibiwa na adhabu yao ni kuwa familia zao hazitawaona tena, bahati nzuri walikua wanajirekodi wenyewe sura zinafahamika.
Hakuna huruma kwa nyumbu.
Madelu katika Moja na mbili,Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo. Haifai kuendesha nchi. Nchi haiendeshwi kwa kutumia moyo na utashi, bali Katiba na sheria za nchi. Uchaguzi na namna unavyoendeshwa uko ndani ya katiba na sheria zetu ambazo viongozi waliapa kuilinda. Hakuna mtu angeweza kuvunja Katiba kwa kufanya uchaguzi ulio nje ya Katiba hadi hapo Katiba nyingine itakapoandikwa na kupitishwa kutumika. Hivyo, aliyetaka kusimamisha uchaguzi alikuwa anakwenda kinyume na katiba. Kwanini serikali isiwachukulie hatua watu waliochoma vituo vya kupigia kura? Ndiyo kuilinda katiba huko?
Utafanye maridhiano na watu waliovunja Katiba (kuchoma vituo vya kupigia kura) na kuchoma mali za wananchi? HUo ni woga au kushindwa kuongoza nchi? Wakati tunafanya maridhiano wale wote waliopanga na kutekeleza kuchoma vituo vya kupigia kura na mali nyingine lazima waende jela kwa mujibu ya sheria zetu.
Kama kuna unalolijua peleka mahakamani wakahukumiwe. Kwenye hiyo kesi ya aina hiyo wananchi wengi watakuunga mkono.Miondombinu yenyewe imeshajifia waandamanaji walifanya finishing ndogo tu.Wanyongwe waliopiga pesa za SGR leo hii imegeuka daladala.
Stay tuned.Kama kuna unalolijua peleka mahakamani wakahukumiwe. Kwenye hiyo kesi ya aina hiyo wananchi wengi watakuunga mkono.
Usiwahau askari wote walioua watu, wakubwa wao wa vikosi, IGP, waziri wa mambo ya ndani + raisi. Hawa wote washtakiwe kwa kusapoti mauaji ya raia october 29, 2025. Mpaka leo hakuna polisi, waziri au raisi aliyekamatwa, aliyefunguliwa kesi au aliyejiuzu wameona ni sawa tu. Basi kama mnaona mali ni bora kuliko uhai wa watu ipo siku karma italipa yote hayaKama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.
Yatakuwa makosa makubwa kama watu hawa wataachwa bila kuadhibiwa, itaacha kumbukumbu mbaya kwa taifa.
Kama serikali ikishindwa kuwachukulia hatua watu waliofanya makosa makubwa kama haya tutaiondoa madarakani kwa kushindwa kulinda kodi zetu ipasavyo. Haifai kuendesha nchi. Nchi haiendeshwi kwa kutumia moyo na utashi, bali Katiba na sheria za nchi. Uchaguzi na namna unavyoendeshwa uko ndani ya katiba na sheria zetu ambazo viongozi waliapa kuilinda. Hakuna mtu angeweza kuvunja Katiba kwa kufanya uchaguzi ulio nje ya Katiba hadi hapo Katiba nyingine itakapoandikwa na kupitishwa kutumika. Hivyo, aliyetaka kusimamisha uchaguzi alikuwa anakwenda kinyume na katiba. Kwanini serikali isiwachukulie hatua watu waliochoma vituo vya kupigia kura? Ndiyo kuilinda katiba huko?
Utafanye maridhiano na watu waliovunja Katiba (kuchoma vituo vya kupigia kura) na kuchoma mali za wananchi? HUo ni woga au kushindwa kuongoza nchi? Wakati tunafanya maridhiano wale wote waliopanga na kutekeleza kuchoma vituo vya kupigia kura na mali nyingine lazima waende jela kwa mujibu ya sheria zetu.
Ulipokuwa unafyatulia risasi za vichwa wananchi ulikuwa unatekeleza hukumu gani ya mahakama?Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho kwa wengine.