Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sababu niWaje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.
Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo.
Hata wapatiwe pia maombi na swala kuwasaidia. SWALI LA MSINGI NINI CHANZO CHA KUKITHIRI MAUAJI YA MAPENZI?
Jamii pia isiwe biased kwamba mwamke huonewa tu. wanaume wengi wanachanganyikiwa kufikia hatua hiyo kwa sababu jamii imekuwa hivyo.Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.
Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo.
Hata wapatiwe pia maombi na swala kuwasaidia.
Swali la msingi nini chanzo cha kukithiri mauaji ya mapenzi?
Hili nalo ni neno kubwa sana.Jamii pia isiwe biased kwamba mwamke huonewa tu. wanaume wengi wanachanganyikiwa kufikia hatua hiyo kwa sababu jamii imekuwa hivyo.
Hata vituo vya polisi dawati la jinsia wanaume wanaogopa kwenda maana nao wako biased tu. mwanaume unaweza ukapeleka issue wakakushangaa au kukucheka au mkeo akifika wanageuka wanakuwa upande wake ilhali yeye ndiye chanzo cha tatizo.
🤣🤣🤣🤣🤣😁Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.