Hii ndio point ya uzichagua chako na ukubali.
Nakumbuka Dr. (Mwalimi) mmoja alituambia kutokana na maumbile suruali ni vazi la mwanamke. Ila mwanaume baada ya kuona anakosa Uhuru mbele ya mke akivaa Gauni akabadilisha utaratibu. Mfano ni pale mjomba akiamka unaanza kutafuta pakukaa ghafla.
Haki u made my eveningπππ..cha kufiaa niniimie shape Sina na suruali siachi kuvaa hasa zile za kuchana mbele mipaja meusi Ila nakomaa na fasheni.
Yani nije kujutia uzeeni kwa kutoutumia ujana kisa sina shepu khaa hata tait nazivaa balaa Ila Shepu Kama ya mwarabu fighterπ π