Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Umewachoma na kitu chenye ncha kali.
😂 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewachoma na kitu chenye ncha kali.
Huu ndio ugonjwa wangu sindikiza na kapichaNapendaa short dress zaidi kuliko suluari😅😅😅...baada ya kufanya tathimini yangu binafsi...
Huu uzi bila picha hauleti maana☹Ni wachache mno, wengi wao ni mkumbo tu na kufuata upepo wa fasheni. Elewa hakuna kitu kwa ajili ya kila mtu, chagua chako na ukubali. Kama ilivyo kwa wanaume, sio wote watavaa pensi.
Sketi na magauni yanawakaa poa sana, hata wale wenye maumbo ya kanda pendwa hupendeza.
Suruali sina ubaguzi. Zikigoma acha, unakuwa kituko. Tatizo watu hawatakwambia ukweli, na sio kweli kwamba hawajali eti watamaindi mambo yao.
Unajitekenya tu.
Basi sikia ushauri, au endelea kushupaza shingo ili utusaidie vichekesho vya bure tupunguze stress zetu.
Ncha Kali.
Unatuambiaje sisi tulioumbika kama wale walikua wakichorwa kwenye majarida ya "Sani" na "Bongo"Suruali humpendeza mwenye shape na tumbo flat tofauti na hapo ni vituko show.
Jaman shape ni shape tu hata irregular nayo ni aina ya shape. ..hatuachi kuvaa labda jua lishuke😃😃😃😃Suruali humpendeza mwenye shape na tumbo flat tofauti na hapo ni vituko show.
Unatuambiaje sisi tuliombika kama wale walikua wakichorwa kwenye majarida ya "Sani" na "Bongo"
Ahsante, tunapendezaWale wa kuchorwa wanapendeza
Unatuambiaje sisi tuliombika kama wale walikua wakichorwa kwenye majarida ya "Sani" na "Bongo"
Jaman shape ni shape tu hata irregular nayo ni aina ya shape. ..hatuachi kuvaa labda jua lishuke😃😃😃😃
kuna kitu huwa nashangaa hadi sasa, yaani watu waache kuvaa suruali kisa wana kitambi? la hasha
ninavyoamini ni kwamba kile kitu roho yako inapenda kitumie ili mradi usimkwaze mwingine. kama suruali unapenda na una kitambi uache kuvaa unamuogopa nani? fanya kamkutano kadogo na halmashauri ya kichwa chako na ukiona majibu ni positive vaa tu jaman.
upangiwe na mtu nguo ya kuvaa inahuuu.
mtuache jaman.
hamna hiyoooo, siku hizi usisubiri kusifiwa,,,ukiwa mwenye akili jitathmini mwenyewe kabla ya kusifiwa na mtu mwingine[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiamua kuvaa kwa kuwa tu roho inapenda basi vaa tu, ila ukweli utabaki kuwa ni FUTUHI.
Hata hivyo, kuna kuvaa kupendeza na kuvaa kusitiri maungo…. ukiamua kuficha maungo basi usisahau na kudhani umependeza. Hata ukisifiwa inabidi uwe mkali.[emoji1][emoji1][emoji1]
Short dress n tamu sana kwa mwanamke,kuliko suruNapendaa short dress zaidi kuliko suluari😅😅😅...baada ya kufanya tathimini yangu binafsi...