Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

Kwa kweli wanawake wavae wajistiri sio haya masuruali u akutana na mtu shape yake na alichokivaa unatamani umpe kanga maana anatia aibu
 
Huu uzi bila picha hauleti maanaโ˜น
 
kuna kitu huwa nashangaa hadi sasa, yaani watu waache kuvaa suruali kisa wana kitambi? la hasha

ninavyoamini ni kwamba kile kitu roho yako inapenda kitumie ili mradi usimkwaze mwingine. kama suruali unapenda na una kitambi uache kuvaa unamuogopa nani? fanya kamkutano kadogo na halmashauri ya kichwa chako na ukiona majibu ni positive vaa tu jaman.

upangiwe na mtu nguo ya kuvaa inahuuu.

mtuache jaman.
 

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiamua kuvaa kwa kuwa tu roho inapenda basi vaa tu, ila ukweli utabaki kuwa ni FUTUHI.

Hata hivyo, kuna kuvaa kupendeza na kuvaa kusitiri maungoโ€ฆ. ukiamua kuficha maungo basi usisahau na kudhani umependeza. Hata ukisifiwa inabidi uwe mkali.[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jaman shape ni shape tu hata irregular nayo ni aina ya shape. ..hatuachi kuvaa labda jua lishuke[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Eti irregular shape au polygons au rigid body, jamani! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
hamna hiyoooo, siku hizi usisubiri kusifiwa,,,ukiwa mwenye akili jitathmini mwenyewe kabla ya kusifiwa na mtu mwingine

we only live once, why kill yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ