Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

Inashangaza kuona hadi wachungaji waumini wanajiita walokole nao wameingia kwenye huo mkumbo wa wanawake wa kidunia kuvaa suluari [emoji108][emoji108]

Maandiko yameainisha wazi kuwa mwanamke asivae mavazi yamfaayo Mwanaume na Mwanaume asivae ya mfaayo mwanake maana ni machikizo machoni pa Mungu.
 
Unakuta kadada kana (makalio marefu ) ana tumguu Kama pingiri za miwa na kitambi juu afu kavaa suruali aisee Hawa wakitembea hua wanatembea Kama wanarudi nyuma ...afu wa hvi Wana mashauzi hatari...! Eti wanajikubali
 
Waeleze hivi, mwanamke mwenye kitambi suruali haikfai
 
Wanawake wengi hupendeza na suruali........
Hii ni kweli but pia penda kusikiliza maoni ya ya watu wengi kuhusu mavazi yako

Mfano mimi naambiwa napendeza sana nikivaa suruali na vigauni vifupi vya kunibana tofauti na hizi nguo eti sipendezi kiviiiile[emoji1787]

Which is true nikivaa hizo nguo full kusifiwa mpaka kero!

Kwahiyo watu ni muhimu pia kuwasikiliza

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta kadada kana (makalio marefu ) ana tumguu Kama pingiri za miwa na kitambi juu afu kavaa suruali aisee Hawa wakitembea hua wanatembea Kama wanarudi nyuma ...afu wa hvi Wana mashauzi hatari...! Eti wanajikubali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] u made my morning

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ila tuache utani, aliyewashonea Suruali Traffic wa Kike hawatakaa wauone Uzima wa milele wa mbingu wala Ahera. Yaani ile suruali akiwa mbali na lile shati jeupe utadhani ni li katuni fulani, halafu tumbo kubwaaaa kalio hamna!

Skirt ziliwafichia mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…