Gily ana minyweleπππHakawii kutafuta picha yoyote inayofana na gruu! Ilikuleta maana ππππ mchaga wa mwisho kupewa nyweleπππ
Hahahahah! najua utakataa tu but ni ukweli na nimeexprience hicho kitu mara nyingi sasa leo uvumilivu umenishinda nimeona niulizesiyo kweli
Sorry to say ila ni kama humpendi huyu mwanaume.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bas bhana mkifika uko ye atachagua penye kagizagiza atatulia huko utamsimulia vyoote utamwonesha vyoote ila ye atakuwa anakenua tuuu kama ndo mchana atavaa kapelo ohooo chezea ukimya wew
za kataa ndoa ndiyo nawahi nipigilie msumari vizuriHahahahah! najua utakataa tu but ni ukweli na nimeexprience hicho kitu mara nyingi sasa leo uvumilivu umenishinda nimeona niulize
au macho yako asilimia kubwa yapo kwa hili jukwaa kuangalia new threads
Ametisha kama sokwe πππGily ana minyweleπππ
Mimi ni huyu sasa ila nitaifuta mdaa si mrefu..
View attachment 2626476futa tu huyu sio wewe
Mimi siwezi kukutendaππna mimi masub ntapata wapi ukinitenda π
huwezi kuweka picha yako matangazo kibao kama jezi ya yangaπ€£Mimi ni huyu sasa ila nitaifuta mdaa si mrefu..
View attachment 2626476
Nywele za wap? utaleta taaruki kwa mshamba_hachekwi π€£Gily ana minyweleπππ
kaziona nywele zangu wapi.huyu binti?πAmetisha kama sokwe πππ
nami sitokutenda babeπMimi siwezi kukutendaππ
π HapanaAmetisha kama sokwe πππ
binti anataka ku-burst moyo wanguπNywele za wap? utaleta taaruki kwa mshamba_hachekwi π€£
Hiyo nilitumiwa mwaka jana na ofisi niweke status kwa ajili ya birthday ππππhuwezi kuweka picha yako matangazo kibao kama jezi ya yangaπ€£
Hata ufanye nini mwanamke akishakuzoea ataishia kukuona boya tu labda upate yule anayejielewa na aliyepitia mengi.ukitaka kuwawin wanawake wengi jitahidi kila kitu kwako kiwe neutral (..be centered) usiwe mkorofi sana uwe kiasi, usiwe mwongo sana uwe kiasi, usiwe mpole sana uwe kiasi, usiwe na michepuko sana uwe kiasi, usiwe mjuaji sana uwe kiasi usiwe zuzu sana uwe kiasi.. usiwe kiherehere sana uwe kiasi.. na umri huu sijui mwanamke gani nayemtaka na sitamkosa ila asiwe mke wa mtu au demu wa mtu.. chukueni code hiyo hangaikeni nayo..
Anauliza hiyo minywele ya wapi uliyoionaππππ Hapana
hapa nikiwa nimenyoaHakawii kutafuta picha yoyote inayofana na gruu! Ilikuleta maana ππππ mchaga wa mwisho kupewa nyweleπππ