Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Mikoa 14 ya kenya imetangazwa kuwa na ukame mkali na wametangaza njaa kama janga la kitaifa

Hiyo nchi sijui ina laana gani?Si wanajifanyaga wameendelea hawa kumbe hawana lolote

Ardhi yote wamewapa mabeberu wakalima GMO ambazo zinaharibu ardhi. Kenya ni failed regime

Hawa mabeberu weusi wameshindwa kabisa yaani, sasa ninyi mnaofananisha kenya na Tz mshindwe, msifananishe Tz na vitu vya ajabu ajabu msifananishe tz na nchi ambayo hadi leo wameshindwa kustaarabika

Nchi ambayo masikini wapo wa kutupwa nchi ambayo vitu ni ghali sana, nchi ambayo wao hujikweza kwamba ni mabeberu weupe na kiinglish chao ambacho hakiwasaidii chochote

Hiyo nchi imeshindwa na hawatokaa waendelee milele, na matajiri watabaki matajiri na maskini watazidi kuumia na kubaki wanyonge

Ni nchi isiyo na fursa hata kidogo wanaofaidi ni wale waligawana ardhi kipindi cha uhuru na ukoloni

Hakuna maendeleo kenya wanayo, fao ni failed regime wanajitapaga bure mabeberu wale lakini hawana lolote hujikwezwa kwa miradi ya mikopo tu

Wapo radhi wakope trilioni 5 wajenge barabara za juu huku raia wakila nyasi halafu hujitapa na hizo barabara wanaoenjoy ni mabeberu tu

Ubepari ni unyama alisema baba wa taifa, haya tuwapelekee hawa mabepari wa east africa msosi maana njaa mbaya sana
 
Hiyo njaa imeletwa na ukame (natural drought ) kitu ambacho hata Tz au mahali popote kinaweza kutokea, ingalikuwa hiyo njaa imetokana na human activities hapo ingekuwa sahihi kuwashutumu.

Tuwe tunaangalia tunashutumu nini.
 
Dawa ya ukame ni nini Kama sio kujenga miuondombinu ya umwagiliaji, unadhani ukame hutokea Kenya pekee?, Egypt 90% ya nchi Yao ni jangwa lakini kamwe hujasikia wakilia njaa
 
IMG_0275.jpg
 
Tofautisha kati ya desert /arid land na drought, desert na arid land ni jambo la permanent hadi pale litakapofanyiwa ukarabati kama wafanyavyo wachina, Israel na Saudia, lakini drought ni matukio ya msimu pale ambapo mvua haikunyesha bila matarajio, jambo kama hilo limepata kutokea mara kadhaa hata hapa Tz.
 
Dawa ya ukame ni nini Kama sio kujenga miuondombinu ya umwagiliaji, unadhani ukame hutokea Kenya pekee?, Egypt 90% ya nchi Yao ni jangwa lakini kamwe hujasikia wakilia njaa
Tofautisha kati ya jangwa na ukame,wao ni ukame yaani mvua hazikunyesha, ukame hata hapa Tz umepata kutokea si mara moja na hata msimu huu kuna dalili za ukame kutokea hapa Tz, kama suala ni kuweka miundo mbinu ya umwagiliaji kwanini msianze ninyi ambao mnayo zaidi ya 14% ya Arable land?
 
Tofautisha kati ya jangwa na ukame,wao ni ukame yaani mvua hazikunyesha, ukame hata hapa Tz umepata kutokea si mara moja na hata msimu huu kuna dalili za ukame kutokea hapa Tz, kama suala ni kuweka miundo mbinu ya umwagiliaji kwanini msianze ninyi ambao mnayo zaidi ya 14% ya Arable land??
Wewe kichwa yako ni mbovu Sana, Kati ya nchi yenye kusumbuliwa na ukame mara kwa mara na nchi ambayo haisumbuliwi na ukame mara kwa mara, ipi ndio inapaswa kuwekeza zaidi katika umwagiliaji?

Sasa kwa taarifa yako, Tanzania imejenga "Permanent and modern irrigation projects which cover over 800K hecters of land, Kenya only 200K hector's[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uharo uliomwagwa hapa utachukua miaka kumi kuupanguza.
 
Hiyo njaa imeletwa na ukame (natural drought ) kitu ambacho hata Tz au mahali popote kinaweza kutokea, ingalikuwa hiyo njaa imetokana na human activities hapo ingekuwa sahihi kuwashutumu.

Tuwe tunaangalia tunashutumu nini.
Mzee una akili sana.
 
Si vyema kuwacheka na kuwadhihaki kwan wanapitia kipind kigumu sana ambacho hata wao hawakukiomba kitokee.
Tunapaswa kuwaombea kwa Mungu awaondoshee dhahama hii.
Asante mkuu. Ukame ni kazi ya Maulana. Hakuna haja ya kuchekana.
 
Wewe kichwa yako ni mbovu Sana, Kati ya nchi yenye kusumbuliwa na ukame mara kwa mara na nchi ambayo haisumbuliwi na ukame mara kwa mara, ipi ndio inapaswa kuwekeza zaidi katika umwagiliaji?.

Sasa kwa taarifa yako, Tanzania imejenga "Permanent and modern irrigation projects which cover over 800K hecters of land, Kenya only 200K hector's[emoji23][emoji23][emoji23],
Nyinyi pandeni chakula sisi tutanunua kutoka kwenu.
 
Back
Top Bottom