Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

Asante mkuu. Ukame ni kazi ya Maulana. Hakuna haja ya kuchekana.
Karibu mkuu

Watu wanasahau juzi tu serekali imetangaza baadhi ya mikoa itakumbwa na upungufu wa mvua hivo italeta athari katika uchumi wetu halafu anakuja mtu anadhhihaki wengine
 
Hiyo njaa imeletwa na ukame (natural drought ) kitu ambacho hata Tz au mahali popote kinaweza kutokea, ingalikuwa hiyo njaa imetokana na human activities hapo ingekuwa sahihi kuwashutumu.

Tuwe tunaangalia tunashutumu nini.

Kama drought ni janga baya, mbona hushangai wenyewe kupewa chakula na Misri ambayo ni jangwa mwanzo mwisho.

Shida ya Kenya ni kutojua vipau mbele. Wanaacha mradi wa Galana Kalalu, mkombozi wa kuleta chakula, wanajenga SGR inayoishia porini.
 
Asante mkuu. Ukame ni kazi ya Maulana. Hakuna haja ya kuchekana.

Acha kujifariji, baa la njaa si force majoure.
Ona hawa walio jangwani wanavyowalisha.

1635708013419.png
 
Kama drought ni janga baya, mbona hushangai wenyewe kupewa chakula na Misri ambayo ni jangwa mwanzo mwisho.

Shida ya Kenya ni kutojua vipau mbele. Wanaacha mradi wa Galana Kalalu, mkombozi wa kuleta chakula, wanajenga SGR inayoishia porini.
Nyinyi mnajuaa vipaumbele? -- Badala ya kuchimba chuma cha Liganga na Mchuchuma ili kutengeneza mataruma ya reli yenu ya SGR ili kuokoa pesa za KIGENI kuagiza mataruma kutoka TURKEY sasa mmekwama na mmeanza KUPORA pesa za miamala ya simu za wananchi ili kukidhi mahitaji ya miradi mikubwa isiyokuwa na mikakati ya kiakili.

Kweli Nyani haoni kundule.🙉
 
Hiyo njaa imeletwa na ukame (natural drought ) kitu ambacho hata Tz au mahali popote kinaweza kutokea, ingalikuwa hiyo njaa imetokana na human activities hapo ingekuwa sahihi kuwashutumu.

Tuwe tunaangalia tunashutumu nini.
Hizo ni excuses

Ni fedheha kwa nchi inayojinasimu imeendelea kutegemea kilimo cha Mvula.

Tanzania ambayo kimsingi haina historia ya ukame imewekeza sana kwenye kilimo cha umwagiliaji kuliko Kenya.

acha njaa iwapige, wajinga wale.
 
Hizo ni excuses,
Ni fedheha kwa nchi inayojinasimu imeendelea kutegemea kilimo cha Mvula.
Tanzania ambayo kimsingi haina historia ya ukame imewekeza sana kwenye kilimo cha umwagiliaji kuliko Kenya..
acha njaa iwapige, wajinga wale.
Acha kudanganya, wapi mmewekeza katika kilimo cha umwagiliaji?---- unajua kilimo cha umwagiliaji??. Kilimo cha Tz hakitofautiani na kilimo cha nchi nyingi za Africa, kilimo kinachotegemea mvua.
 
Anyway, nipewe mchongo wa kuwapelekea mahindi mbona tunayo mengi tu.
 
Nyinyi mnajuaa vipaumbele??!!----- Badala ya kuchimba chuma cha Liganga na Mchuchuma ili kutengeneza mataruma ya reli yenu ya SGR ili kuokoa pesa za KIGENI kuagiza mataruma kutoka TURKEY sasa mmekwama na mmeanza KUPORA pesa za miamala ya simu za wananchi ili kukidhi mahitaji ya miradi mikubwa isiyokuwa na mikakati ya kiakili.

Kweli Nyani haoni kundule.[emoji86]
Hahahaha, tatizo lenu ni uwezo wa kufikiria, unadhani mradi mkubwa Kama wa mchuchuma hadi kupata chuma inachukua miaka mingapi?, Sio chini ya miaka 5, kwahiyo muda wote huo tusijenge reli tusubiri chuma cha mchuchuma?.

Kumbuka chuma kikitoka mchuchuma lazima kipelekwe kiwandani kwa ajili ya kutengeneza hizo reli, kwahiyo unataka tujenge kiwanda kwa ajili ya reli yetu tu, reli ikiisha hatujui Kama tutaweza Kupata soko, huwezi kujenga kiwanda kikubwa bila kufanya "feasibility study".
 
Dawa ya ukame ni nini Kama sio kujenga miuondombinu ya umwagiliaji, unadhani ukame hutokea Kenya pekee?, Egypt 90% ya nchi Yao ni jangwa lakini kamwe hujasikia wakilia njaa
Egypt ni dola la wachapa kazi, acha kuifananisha Egypt na uharoo kama kunyaland
 
Nyinyi mnajuaa vipaumbele??!!----- Badala ya kuchimba chuma cha Liganga na Mchuchuma ili kutengeneza mataruma ya reli yenu ya SGR ili kuokoa pesa za KIGENI kuagiza mataruma kutoka TURKEY sasa mmekwama na mmeanza KUPORA pesa za miamala ya simu za wananchi ili kukidhi mahitaji ya miradi mikubwa isiyokuwa na mikakati ya kiakili.

Kweli Nyani haoni kundule.🙉

Uzuri hatufi njaa
🤣🤣🤣
 
Egypt ni dola la wachapa kazi, acha kuifananisha Egypt na uharoo kama kunyaland
Wewe unaita Kenya uharo ilhali Mkenya mmoja ana pesa kushinda Mtanzania mmoja? Mtanzania mmoja ni masikini kushinda Mkenya mmoja. Hio ni fact. Katazame Gni per capita kati ya Kenya na Tanzania nani ana Gni per capita ya juu kushinda mwingine. Kisha utazame HDI kati ya Kenya na TZ uone nani ana HDI ya juu kushinda mwingine.
 
Mwananchi anayeishi kwenye nchi inayoongoza kwa USALAMA wa CHAKULA AFRIKA huwezi kulinganisha mwananchi anyeishi kwenye nchi ambayo haina USALAMA wa CHAKULA kama Kenya.

Halafu hizo economic ratios, hazitegemeki kwa sababu hazioneshi the real citizens welfare of a given country.
 
Wewe unaita Kenya uharo ilhali Mkenya mmoja ana pesa kushinda Mtanzania mmoja? Mtanzania mmoja ni masikini kushinda Mkenya mmoja. Hio ni fact. Katazame Gni per capita kati ya Kenya na Tanzania nani ana Gni per capita ya juu kushinda mwingine. Kisha utazame HDI kati ya Kenya na TZ uone nani ana HDI ya juu kushinda mwingine.
acha ulimbukeni wewe, ulishawahi kusikia Mtanzania analia njaa? jitafakari. uchumi wa kenya siyo shirikishi, wakenya wengi ni watwana!
 
Acha kudanganya, wapi mmewekeza katika kilimo cha umwagiliaji??---- unajua kilimo cha umwagiliaji??. Kilimo cha Tz hakitofautiani na kilimo cha nchi nyingi za Africa, kilimo kinachotegemea mvua.

Mkuu jitahidi sana uwe na takwimu kabla hujawekeza muda kuandikaandika humu

Tanzania pamoja na kuwa mvua hunyesha kila mwaka hadi sasa tuna ekari 1.1m za umwagiliaji wa kisasa
Kenya hawana hata laki 3

Hapo Nani yuko serious?

Mwananchi anayeishi kwenye nchi inaoongoza kwa USALAMA wa CHAKULA AFRIKA huwezi kulinganisha mwananchi anyeishi kwenye nchi ambayo haina USALAMA wa CHAKULA kama Kenya.

Halafu hizo economic ratios, hazitegemeki kwa sababu hazioneshi the real citizens welfare of the country.
Wewe wiki mbili zilizopita ulisema kwamba tusitegemee Gni per capita kwamba ina matatizo ukasema tutegemee HDI kwamba HDI ndio bora zaidi. Nilienda nikaangalia hio HDI na nikagundua kwamba Kenya ina HDI index ya juu kushinda TZ. Halafu HDI hawaangalii tu chakula bali hata afya ya watu, na pia kiwango cha masomo na mambo mengine. So kigezo cha chakula ni kigezo kimoja tu na HDI inazingatia vigezo kadhaa. Kwa hivyo Kenya ina higher level of development kushinda TZ.
 
acha ulimbukeni wewe, ulishawahi kusikia Mtanzania analia njaa? jitafakari. uchumi wa kenya siyo shirikishi, wakenya wengi ni watwana!
Chakula sio kigezo pekee kinachozingatiwa katika kupima hali ya umasikini. Unaweza kuwa na chakula na uwe masikini kushinda jirani yako asiyelima chakula ila ana pesa kukushinda kwa sababu yeye anafanya kazi kwa benki hana muda wa kupanda chakula shambani.
 
Back
Top Bottom