Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

UN imeangalia mahitaji muhimu ikaamua hizo tatu ndio muhimu. Mambo ya chakula wala UN haina haja nayo. Ujue chakula ambayo huwa mnaringa nayo haitumiki kucalculate HDI. Kamwambie mwenzako eliakeem anayependa kuzungumza kuhusu chakula.
Msinikasirikie mimi kasirikieni UN.
UN haitimii chakula Wala hewa ya Oxygen kwasababu hivi sio maendeleo, wao wanaamini hivi ni lazima kwa maisha ya binadamu, huwezi kufikiria maendelea katika taifa lisilo na chakula [emoji23][emoji23]
 
Wewe unaita Kenya uharo ilhali Mkenya mmoja ana pesa kushinda Mtanzania mmoja? Mtanzania mmoja ni masikini kushinda Mkenya mmoja. Hio ni fact. Katazame Gni per capita kati ya Kenya na Tanzania nani ana Gni per capita ya juu kushinda mwingine. Kisha utazame HDI kati ya Kenya na TZ uone nani ana HDI ya juu kushinda mwingine.
Sio kweli.
 
UN haitimii chakula Wala hewa ya Oxygen kwasababu hivi sio maendeleo, wao wanaamini hivi ni lazima kwa maisha ya binadamu, huwezi kufikiria maendelea katika taifa lisilo na chakula [emoji23][emoji23]
Hahaha
 
Si walileta propaganda kuwa mahindi yetu🇹🇿 na ya ndugu zetu wa damu🇺🇬 yanasumu? sasa watakuja na magoti lakini hatutawsikiliza
 
Hii sio sawa kufurahia shida za mwenzio.

Hawa wanatuchallenge vile tulivyotakiwa kuwa kimaendeleo kama tungetumia akili zetu ipasavyo, inatakiwa tujiongeze sio kuchukia wanachokisema kuhusu sisi.

Ndio wanatustua tuamke na tutumie vijembe vyao kujiweka sawa kiuchumi kwani asilimia kubwa ya wanayosema ni sahihi.
 
Back
Top Bottom