EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
GDP ya KE inaweza kuagiza mahindi popote duniani hawa sio wa kuwapea msaada😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anaongoza Africa katika "Economic inclusivity, food security, water availability, better housing and security hapa EA?Wewe unaita Kenya uharo ilhali Mkenya mmoja ana pesa kushinda Mtanzania mmoja? Mtanzania mmoja ni masikini kushinda Mkenya mmoja. Hio ni fact. Katazame Gni per capita kati ya Kenya na Tanzania nani ana Gni per capita ya juu kushinda mwingine. Kisha utazame HDI kati ya Kenya na TZ uone nani ana HDI ya juu kushinda mwingine.
Hivi vigezo vitatu ndivyo vinazingatiwa katika kucalculate HDI kisha average yao inachukuliwa. Kenya tuna higher HDI index kushinda TZ.Nani anaongoza Africa katika "Economic inclusivity, food security, water availability, better housing and security hapa EA?
Tumewashinda kwenye utajiri japo hatuna rasilimali ya madini kama nyinyi. Tuna rasilimali ya watu (human resource). Kiwango cha masomo hapa Kenya kipo juu na Wakenya wamesoma kuwashinda. Wanafanya kazi duniani kote na kutuma nyumbani hela na kuinvest katika real estate. Pia tuna-attract a lot of foreign direct investment. Kwa sasa barabara za Kenya ni nzuri kushinda zenu. Tunajitosheleka kwenye suala la uzalishazi umeme.Mimi ninachojua hapa africa nchi 4 tuu zinapita utajiri tanganyika . Ni vile tuu tuna viongozi washamba wa maendeleo. Ila kenya ni nchi maskini sana
Utajiri gani wakati kenya ni mali ya malkia wa uingereza. Na familia chache wengine wote ni watumwa ndio maana mpo nje cha kenya kuliko nchi kwenuTumewashinda kwenye utajiri japo hatuna rasilimali ya madini kama nyinyi. Tuna rasilimali ya watu (human resource). Kiwango cha masomo hapa Kenya kipo juu na Wakenya wamesoma kuwashinda. Wanafanya kazi duniani kote na kutuma nyumbani hela na kuinvest katika real estate. Pia tuna-attract a lot of foreign direct investment. Kwa sasa barabara za Kenya ni nzuri kushinda zenu. Tunajitosheleka kwenye suala la uzalishazi umeme.
Punguza maneno, nimekuuliza kuhusu mahitaji muhimu ya binadamu, how can you compare education vs food?Hivi vigezo vitatu ndivyo vinazingatiwa katika kucalculate HDI kisha average yao inachukuliwa. Kenya tuna higher HDI index kushinda TZ.
Fuata link hapa usome zaidi
- A long and healthy life: Life expectancy at birth
- Education index: Mean years of schooling and Expected years of schooling
- A decent standard of living: GNI per capita (PPP international dollars)
![]()
Human Development Index - Wikipedia
en.wikipedia.org
CC Mtanzania mtundu eliakeem
Tumewashinda kwenye utajiri japo hatuna rasilimali ya madini kama nyinyi. Tuna rasilimali ya watu (human resource). Kiwango cha masomo hapa Kenya kipo juu na Wakenya wamesoma kuwashinda. Wanafanya kazi duniani kote na kutuma nyumbani hela na kuinvest katika real estate. Pia tuna-attract a lot of foreign direct investment. Kwa sasa barabara za Kenya ni nzuri kushinda zenu. Tunajitosheleka kwenye suala la uzalishazi umeme.
Wamekuja katavi juzi taarifa ya habari walikuwa wanaongelea hiyo.Hadi wanyama wao haswa Tembo washaanza kusumbua
Hivi viburi vyenu ndo maana hatuwapi msosi mbuzi nyie.Uharo uliomwagwa hapa utachukua miaka kumi kuupanguza.
Halafu wewe una kiburi sana. Unajua tutawanyima msosi. Hivi unajua maghala yetu ya msosi yamejaa misosi....?!Nyinyi pandeni chakula sisi tutanunua kutoka kwenu.
Eti bana.... Yaani vina jeuri za kimasikini halafu vinataka tuvibembeleze.Mlikataa mahindi yetu mkidai yana sumu ya Mycotoxins sasa kuleni uharo wenu
Huku sasa ni kujipendekeza na kujikomba kusiko na maana wala faida.Karibu mkuu
Watu wanasahau juzi tu serekali imetangaza baadhi ya mikoa itakumbwa na upungufu wa mvua hivo italeta athari katika uchumi wetu halafu anakuja mtu anadhhihaki wengine
UN imeangalia mahitaji muhimu ikaamua hizo tatu ndio muhimu. Mambo ya chakula wala UN haina haja nayo. Ujue chakula ambayo huwa mnaringa nayo haitumiki kucalculate HDI. Kamwambie mwenzako eliakeem anayependa kuzungumza kuhusu chakula.Punguza maneno, nimekuuliza kuhusu mahitaji muhimu ya binadamu, how can you compare education vs food?
2.5 million out of 48 million Kenyans ni wachache sana. Hao ni 2.5/48×100= 5% ya Wakenya.Ndiyo, unaweza kusema mko juu kwenye riadha, remittances, n.k. lkn hujiulizi, kwa nini mpaka karne hii mnawatu zaidi ya 2.5 milioni wana taka kufa njaa? Wewe huoni hizo takwimu haziwasaidii?? Iwapo tu mlo, a very basic need for the human being can not be afforded by a good number of individual kenyans???
Wacha mwenzako ajieleze. Ana haki ya kujieleza anavyotaka.Huku sasa ni kujipendekeza na kujikomba kusiko na maana wala faida.
Wewe unasikiaga maneno ya hawa viumbe wanapotuongelea?! Hivi vijamaa vina dharau na sisi bila sababu na ni wao ndo wameanza vimbwanga wakati sisi ni very friendly.
Lets call it spade a spade. Acha kuvunga unatuaibisha.
Hatutaki msosi wenu sisi tutanunua kutoka Mexico.Halafu wewe una kiburi sana. Unajua tutawanyima msosi. Hivi unajua maghala yetu ya msosi yamejaa misosi....?!
Sasa nyie tunataka kuwapa msosi wewe unakuja kuleta kiburi chako hapa pumbavu kabisa wewe.
2.5 million out of 48 million Kenyans ni wachache sana. Hao ni 2.5/48×100= 5% ya Wakenya.
Ila tutawasaidia kupata chakula usijali.
UN imeangalia mahitaji muhimu ikaamua hizo tatu ndio muhimu. Mambo ya chakula wala UN haina haja nayo. Ujue chakula ambayo huwa mnaringa nayo haitumiki kucalculate HDI. Kamwambie mwenzako eliakeem anayependa kuzungumza kuhusu chakula.
Msinikasirikie mimi kasirikieni UN.