Tuwachangie Wakenya chakula, njaa na ukame vinawamaliza

UN haitimii chakula Wala hewa ya Oxygen kwasababu hivi sio maendeleo, wao wanaamini hivi ni lazima kwa maisha ya binadamu, huwezi kufikiria maendelea katika taifa lisilo na chakula [emoji23][emoji23]
 
2.5 million out of 48 million Kenyans ni wachache sana. Hao ni 2.5/48×100= 5% ya Wakenya.

Ila tutawasaidia kupata chakula usijali.
5% ni kubwa Sana, kuanzia 2% inahesabika kuwa ni "public problem"
 
Si vyema kuwacheka na kuwadhihaki kwan wanapitia kipind kigumu sana ambacho hata wao hawakukiomba kitokee.

Tunapaswa kuwaombea kwa Mungu awaondoshee dhahama hii.
Sawa Baba Mchungaji
 
Sio kweli.
 
UN haitimii chakula Wala hewa ya Oxygen kwasababu hivi sio maendeleo, wao wanaamini hivi ni lazima kwa maisha ya binadamu, huwezi kufikiria maendelea katika taifa lisilo na chakula [emoji23][emoji23]
Hahaha
 
Si walileta propaganda kuwa mahindi yetu🇹🇿 na ya ndugu zetu wa damu🇺🇬 yanasumu? sasa watakuja na magoti lakini hatutawsikiliza
 
Hii sio sawa kufurahia shida za mwenzio.

Hawa wanatuchallenge vile tulivyotakiwa kuwa kimaendeleo kama tungetumia akili zetu ipasavyo, inatakiwa tujiongeze sio kuchukia wanachokisema kuhusu sisi.

Ndio wanatustua tuamke na tutumie vijembe vyao kujiweka sawa kiuchumi kwani asilimia kubwa ya wanayosema ni sahihi.
 
Kwa mwendo huu hata githeri itapanda bei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…