Kamwe sitakuja Kuvaa Mashati ya Vitenge au kujichubua Ila Kuwa mwanaume siyo ruhusa ya Mimi kuwa Mchafu Uso kama fenesiMwanamke wa mkoani ana baraka zote za mungu,ole kwa wanaume wa Dar wanaojichubua,kurembua macho,kupiga selfie na fimbo ndefu,kuvaa milegezo,kupiga robo bao,kusuka nywele kama wadada,kuvaa mashati ya vitambaa vya khanga na kuuza tigo!!.......amen amen nakumbia tayari laana iko juu yao!
Jamani mbona mnataka kupendeza wenyewe tu ah[emoji5] [emoji5] . Nasisi tunataka kupendeza kama nyinyi[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka pua wanatoa maana hereni wameona haziwatoshi. mwanamke tunavaa modo kutokana na maumbile yetu sasa hili la mwanaume unavaa modo ili? kiukweli wanaume wa sasa mnafika mahali mnajidhalilisha sana mwanaume unatoboa pua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Woiiii.....Anakurushia pesa tuu tayari ushalegea..
Yaani unawatukana baba zako?haaaaaaaa
hivi mnajisikiaje kuona hao wanaume wenzenu wakiwa hivyo?
Wengi wenye huo ujinga ni wanaume wa dar wengine sasa hivi wanashinda kabisa kwenye saloni za kike na dada zao!View attachment 415076
Hakuna tatizo lolote, ila ni mambo ya wanawake hayo.Kuna tatizo gani kujipulizia marashi/cologne/perfume/body spray?
Kazi ipo.Hakuna tatizo lolote, ila ni mambo ya wanawake hayo.
Tayari walishavaa Mkuu.Bado kidogo wanaume wa Dar wataanza kuvaa sketi!