Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

Mkuu nimecheka sana aisee uchambuzi wako
 
Chifu ni neno lenye asili ya kiswahili???
Unamuulizaje mjinga maswali magumu. "Clan Chief" ni mnyapara aliyewekwa na serikali ya kikoloni kutawala kabila au eneo ili kumrahisishia DC (mzungu) kuwatawala.

Hawa machifu na familia zao walisomeshwa Kingereza tu (siyo hisabati, wala sayansi, wala jiografia, wala sheria), ili wawe watoa taarifa za wale wananchi vichwa ngumu, wawindwe na kuuliwa kama swala wa porini.

Tatizo letu watanzania, hasa wana CCM ni watu wasiofuatilia mambo kwa kina. Wengi wanaamini propaganda kuliko facts. Akili walizojaliwa na Mwenyezi Mungu wanazipuuza na kuamua kufuata maneno ya uongo ya wanasiasa.

Miaka 60 bado mtu analishwa maneno ya propaganda na anayaamini hata kama yapo kinyume na uhalisia unaomzunguka. Ni aibu kubwa sana mtu kuishi kwenye taifa ambalo asilimia kubwa ni wajinga na wanashabikia ujinga.

HII NCHI INAHITAJI UKOMBOZI MPYA.
 
umeongea kweli, lakini tambua huyo Hangaya mwenyewe ni Mchawi.
 
CCM wao wanawaza chaguzi tu siku zote. Yaani maadam itawapa political mileage basi wao hawana shida na mengine.....
 
Kwenye uongozi wa nchi Kuna mengi Sana, tusije tukajiona tunajua sana. Mpaka rais kuamua kufanya alichofanya basi ujue kuna kitu kinawekwa sawa.
Uongozi sio rahisi tumtie Moyo mama atufikishe kwenye maendeleo
tumtie moyo kwa uchawi?
 
tumtie moyo kwa uchawi?
Hapana, kwa yale anayofanya kama kiongozi wa nchi. Kwanini una uhakika kilichofanyika ni uchawi? Je na wewe ni mchawi? Je rais Kama ataamua kutumia uchawi kuongoza nchi wananchi wote tutaenda motoni kwa ajili ya uchawi wake yeye? Imani ya rais ina msaada gani kwako
 
Yaani mambo ya uchifu ni uchawi na ushirikina tu hakuna kingine,kiongozi anapotaka kuwa mkuu wa wachawi ni hatari sana,kazi tunayo.

Mungu anamuondoa muovu anaingia muovu mwingine,anyway Mungu hashindwi...tena huyu ataadhirika sana.
 
Je hawa Machifu miaka yote iyo walikua wapi? Kwann kipindi hiki? Je Hawa walozi wanaoitwa Machifu watamsaidia Chifu Hangaya kukusanya Mapato? Je watamsaidia kulipa Deni la Taifa na kumalizia Miradi yote mikubwa iliyoachwa na Mtangulizi wake?
 

 
Navo fahamu mangi Marialle mpaka kesho ana chaguliwa huku uchagani sema hawana nguvu kama zamani ni ceremonial tu, watu wana hofu isiyo na msingi ila ina eleweka

Hakuna uchaguzi wa Mangi wala ujinga wowote,kifupi watu wanataka kupiga hela kirahisi.
 
Acha kuzunguuka mbuyu mkuu, wanasiasa wangapi?! sema ” mwanasiasa Samia al-maarufu Chui jike ” ananda kuipasua Tanganyika . Na huo ndio ukweli..
Kibibi cha kiarabu kitakimbilia kwao Oman kituachie DHIKI. LAANAKUM.
Kuwaepuka haiwezekani. Siasa ni shughuli ya kila siku. La msingi kama tunaona wanaenda ndivyo sivyo tuwakemee na tiwaadhibu througj ballot boxes
 
Kwenye uongozi wa nchi Kuna mengi Sana, tusije tukajiona tunajua sana. Mpaka rais kuamua kufanya alichofanya basi ujue kuna kitu kinawekwa sawa.
Uongozi sio rahisi tumtie Moyo mama atufikishe kwenye maendeleo
Uongozi haujawa mgumu kiasi cha kutumia uchawi/ulozi/ushirikina.
Viongozi wachawi/washirikina ni wale ambao Bwana Mungu wa Mbinguni amewatenga kwa kutowapa ushirikiano katika uongozi wao.
Viongozi wanaopromote ushirikina ni mawakala wa yule aliyetupwa duniani toka kule mahali patakatifu.
Hawana uwezo wa kushawishi mpaka watumie nguvu za giza.
 
Kuwaepuka haiwezekani. Siasa ni shughuli ya kila siku. La msingi kama tunaona wanaenda ndivyo sivyo tuwakemee na tiwaadhibu througj ballot boxes
Ballot Box ipi inayotoa kile wananchi wakitakacho!!??? Wakina Mahera na Jecha hawapo!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…