Kwani hili jambo lina umuhimu gani kwenye hii nchi?.maana yako mambo mengi ya msingi yametushinda leo tunafanya ubadhirifu wa pesa kwa jambo ambalo halina chochote cha maana kwa maendeleo ya nchi na wananchi.usifikiri wanaokosoa wanakua hawana hoja ya msingi.ila pia ata wewe hujakatazwa kusifia kila kitu.uzuri nikwamba wewe unayesifia iko siku utakuja kulalamika kwa jambo flani litakalokugusa.Mapambio hayana nafasi kwenye nchi inayopambana kujikomboa.Wazee wa ambush nawaona mnavizia kila event mpinge na kukosoa tuu, hatari sana hii.
Msingi wakisiasa wa nini,msingi wakisiasa ni kupambana kulikomboa taifa sio kufuja pesa bila ulazima.Sidhani kama Rais analeta issue za ukabila ila nachokiona mimi ni kuwa kwakua aliingia madarakani bila kuwa na msingi wake wa kisiasa.
Muda huu ndio anautumia kujenga msingi wake.
Hivyo tumzoee na kuzoea events kama hizo.
Kwani kwasbb ni utaratibu wa tangu enzi km unavyosema ndo unaondoa ukweli kuwa ni ,uchawi,ushirikina,mizimu?
Hii haiondoi ukweli huu,haijalishi uliwekwa na kufuatwa na nani!
Haufai kenye nchi,tunamhitaji Mungu muumba wa mbingu na nchi sio machifu
angerudisha na usultan zanzibarHana cha kupoteza,kwao Zanzibar hali ni shwari
Kwenye uongozi wa nchi Kuna mengi Sana, tusije tukajiona tunajua sana. Mpaka rais kuamua kufanya alichofanya basi ujue kuna kitu kinawekwa sawa.
Uongozi sio rahisi tumtie Moyo mama atufikishe kwenye maendeleo
No hard feelings, I respect your opinion Boss.Kwani hili jambo lina umuhimu gani kwenye hii nchi?.maana yako mambo mengi ya msingi yametushinda leo tunafanya ubadhirifu wa pesa kwa jambo ambalo halina chochote cha maana kwa maendeleo ya nchi na wananchi.usifikiri wanaokosoa wanakua hawana hoja ya msingi.ila pia ata wewe hujakatazwa kusifia kila kitu.uzuri nikwamba wewe unayesifia iko siku utakuja kulalamika kwa jambo flani litakalokugusa.Mapambio hayana nafasi kwenye nchi inayopambana kujikomboa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ni kiki?Nani kasema analeta uchifu???....angalieni mambo kwa uhalisia.
Msikurupuke.,uchifu hakuna hizo unazoona ni minjonjo tu.....
Visiwa siku zote havina mwenyewe. Mtu wa zenji asili yake ni huku pwani ya Tanzania.Ivi huko kwao Zanzibar Kuna machifu, au masultani. Na sisi wabara tuanze kuwaenzi masultan
Nahisi ana lengo la utamaduni zaidi kuliko uchifu. Itakuwa ni matunda ya wale wamarekani walioanda kipindi maalum, mojawapo ya masharti itakuwa ni kufufua masuala ya utamaduni.Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.
Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.
Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa ya ukabila kwasababu yalishindwa kumaliza tawala za kichifu.
Mungu saidia taifa letu liepukane na hili tatizo la ukabila ambalo wanasiasa wanataka kulizalisha,kulipalilia na kulikuza.
Wasalamu Ngongo kwasasa Uru Kushumundu.
Sidhani kama Rais analeta issue za ukabila ila nachokiona mimi ni kuwa kwakua aliingia madarakani bila kuwa na msingi wake wa kisiasa.
Muda huu ndio anautumia kujenga msingi wake.
Hivyo tumzoee na kuzoea events kama hizo.