Tuwafahamu baadhi ya Masensei wetu wakongwe waliofanya kazi kubwa na wanaoendelea kueneza Misingi ya Karate Tanzania

Kuna watu wanachangia hata hawajui mada inahususu nini.
Kwenye hoja/
O Sensei Jango
O Sensei Ngonyani.
Sensei Beka
Sensei Taifa.
 
Sensei Geoffrey Kalonga
Pic courtesy Morogoro Shotokan 💪
Also Sensei Mwalimu Sitta salute
 
kama hivi au??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanya mazoezi saaana halafu ndani ya miaka kumi unagombana mara moja tu!

Ya nini kuumiza misuli yangu.
acha kufikiri kijinga, nani alikwambia body fitness ni kwa ajili ya kugombana?.
 
Sensei maanake nn

Click to expand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…