cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa ukoo mmojaHawa na kina sensema malunde sensema ni ndugu!?
kama hivi au??huu mchezo nikajitia kiherehere kwenda kujifunza..
eebaanaee nilipigwa teke moja LA round kick..kwenye USO, shavuni upande wa sikio,usawa wa shingo;hata sijui litokea wapi..!?
nilisikia kwa mbaliii napewa polee, poleee...huku najivunga kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kumtaja Sensei Abdalah Mkamba sitakuelewa!
Wale wa kanda ya chuchu watanielewa zaidi
Wile Gamba nishakusoma😊😊😊😊....ila si miaka hiyo, ameanza toka 1993/94
Niliwai kumpa Kichapo pale nje Uwanja wa karume mpaka akakimbiaHuyu mwamba ni hatari sana. Wazee wa ukumbi wa MCC pale Musoma wananielewa zaidi!
Ha ha ha wewe Robinchuru acha fix zako!Niliwai kumpa Kichapo pale nje Uwanja wa karume mpaka akakimbia
Nilikuwa sjajua kama tradition karate zinafundishwa pia hapa hapa TzPicha ya mwisho hiyo huyo anapatikana magomeni annex..katutrain sana GOJU RYU.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kufikiri kijinga, nani alikwambia body fitness ni kwa ajili ya kugombana?.Unafanya mazoezi saaana halafu ndani ya miaka kumi unagombana mara moja tu!
Ya nini kuumiza misuli yangu.