Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
[emoji23][emoji23][emoji23]Fikiri madinda kanichekesha sana1.Fikiri Madinda
2.Pedeshee Mudi Nondo
3.Moris Mariaga
Hapa pedeshee kidogo ni #3,hao 1&2 walikua ni janja janja tu,tuliowahi kuishi nao Sinza_Madukani tunawajua vizuri
Huyo Mudi Nondo BSS aliyoshinda Jumanne Iddi,nafikiri ilikua ndio BSS ya kwanza,siku ya Fainali aligawa pesa hatari,cha kushangaza nyumba aliyopanga ilikatiwa umeme kwa kushinda kulipa bili kwa wakati(enzi hizo hakuna LUKU) [emoji38][emoji38][emoji38]
Fikiri Madinda aliishi kwenye upangaji na nyumba ya kawaida mno tofauti na jina alilokuwa nalo mjini.
Nshawah kumilik kiofis mitaa hio ikawa nikiwapa adress ya ofis clients wangu wanajua mimi ninja sometimes wananilitea michongo yao tata niwasaidie nikawa nashangaa inamaana ninamuonekano wa kininja? Ndio baadae nikaja kujua niko kwa empire ya maninja na mengine yashakua majamaa yangu since then huniambii kitu kuhusu huu mjiumenikumbusha late 90s nimemaliza O-Level, nipo home idol nasubiri majibu yatoke. mshua akanitafutia temporary job mitaa ya mjini posta kwenye ofisi ya rafiki yake.
ofisi ilikuwa mtaa wa jamhuri jirani na ile round about ambayo inakutanisha india street na mkwepu street, almaarufu mitaa ya azam take away.
ilikuwa kila ikifika mida ya saa tatu mpaka saa nne asubuhi, lile eneo walikuwa wanatokea mabroo smart kwelikweli kimuonekano. mkononi wamebeba vi-diary.
walikuwa wanavaa mashati nadhifu, surauli za kadeti na viatu safi vya ngozi. kwa ujumla walikuwa wanapendeza sana, mimi mwenyewe nilikuwa nawa admire.
siku moja nikamuuliza broo mmoja ambaye tulikuwa tunafanya kazi pale, kwamba hawa jamaa ni akina nani,mbona mda mwingi wanautumia kakaa kwenye vijiwe vya shoe shiners, hawana kazi ya kufanya?.
akanijibu ukisikia mission town ndio hao, na hapo kwenye vijiwe vya shoeshiners ndio sehemu zao za kupanga mipango na kupeana deals mbalimbali.
akaniambia kile kipande chote cha mtaa wa mkwepu kinachokatiza club ya billicanas mpaka kule kwenye maungio ya samora avenue, ni territory ya ma-mission town.
hata papaa msofe alianza kujifunzia upigaji mitaa hiyo.
Umemsahau Andrew Sekediamziki wa dansi ulikuwa na mambo matatu
kwanza kulikuwa na mapedeshee hawa watuzaji
ndio hao aliowataja mtoa mada
halafu kulikuwa na mashabiki damu
kama hapo unemtaja
MAMA MINGOI CHESCO MAZEE WA MATUNDA kuna pia Kina MANKA MUSHI
ambao ndo waliikuwa navijiwe vyao au CAMP zao
karanga camp
HOME ALONE
VINGUNGUTI TIMBERLAND
DALADALA CAMP
SWAZI INTER
n CAMP nyingine nyingi sana
ambazo hizo CAMP zina mashabiki haswa na mapedeshee wajanjawajanja ndo zilikiwa maskani zao na watoto wa mjini na wakati mwingine hata wanamuziki wenyewe pia huweka vijiwe katika hizo CAMP
hizo CAMP kulikuwa na mashabiki WAZARENDO
nakumbuka kuna SHABIKI MMOJA wa VINGUNGUTI TIMBERLAND huyo Mdau alikuwa anaipenda sana TWANGA kiasi alikuwa mpk anapanda NDEGE kuifuata TWANGA ikiwa NJE ya MKOA haswa ARUSHA au MWANZA
halafu kundi Jingine sasa ni la wanaofanikisha BENDI kuwa na Mziki bora
mfano HUSSEIN MIUNDOMBINU
huyu alikuwa fundi mitambo(umeme)
Twanga popote itakapopiga huyu alikuwa anahakikisha mambo yote ya umeme yako sawa mziki unatoka vizuri
THABITI MTOTO ILALA huyu alikuwa mkali wa kucheza na Keyboad
lakini pia kulikuwa na mkali mwingine wa KEYBOAD
ukisikia PROFESHENARI TARIBONARI VIctor mkambi huyu mkali wa KEYBOAD hata kama akifa inapaswa TWANGA wamjengee Sanamu lake maana alikuwa PROFESHENO haswa kaipaisha sana twanaga na UFUNDI wake wa KEYBOAD
Ukisikia MCD basi hapo anatajwa SUDI MOHAMED TIMBO(marehemu)
huyu alikuwa mpiga tumba matata sana
halafu ukisikia SHAKASHAKA SHAKUZURU hapa alikuwa anapaishwa MIRAJI SHAKASHIA huyu ni mpiga gitaa matata sana
halafu kulikuwa kulikuwa na mkung'uta DRUM hatari sana BABA DIANA BABAA SHARIFA BABAA ZAITUNI basi alikuuwa anatwaja ABUU SEMHANDO mpiga DRUM hatari
sasa utakuj kugundua kulikuwa na makundi matatu yalikuwa yanatwaja sana kwenye nyimbo
wngine walikuwa mashabiki damu wengine ndi hao watu wa wanamuziki wenyewe
Wakati huo mambo yalikuwa ni moto, pale Salender club pink coconut kuanzia ijumaa ni bolingo la kufa mtu, huku Radio one unakuta DJ Rankim Ramadhani Nyamka yuko hewani anaachia Bolingo za hatari.sijui kwanini huwa napenda sana stori za kitambo.za wajanja wa zamani na vituko vyao.
majamaa zamani walifaidi sana maisha.
Njoo Dodoma nikukutanishe nae[emoji23][emoji23][emoji23]Fikiri madinda kanichekesha sana
Huyo ni producer tu kwenye studio hana issue, wa juzi tu.Kuna kina Said Komolie sijui alikuwa nani huyu
Mwenye picha ya Hidaya Aiweke tumuoneHidaya kafariki mwaka jana
[emoji23]Aah Wajanja wa zamani hao vijana wa sasa tutawaambia niniNjoo Dodoma nikukutanishe nae
Wanamuziki wa bendi za bongo ukiwapa hata kreti 2 tu za bia kila wiki , unatungiwa nyimboKumbe,lazima azeeke aise maana wakati anaimbwa Ni Miaka ya 2004 huko
Alikuwa naye Ni pedeshee au aliwapa msaaada gani Hawa wanamuziki Hadi aimbwe Sana ?
Hao Wanamuziki wa Congo wote break yao kuna Don wa Ki Ivory coast anaishi Paris anaitwa Hemed Bakayoko, huyu ndio funga kazi, hii treasure.Nasikiliza Maria nyimbo ya Fali Ipupa sasa hivi mwisho naskia anamtaja Erick Mandala.
uyu Erick Mandala ni mwanasia,mfanya biashara ama nani kule Congo?
Kweli huyu bakayoko kwnye twanga fotoo nimesikia jina lakeHao Wanamuziki wa Congo wote break yao kuna Don wa Ki Ivory coast anaishi Paris anaitwa Hemed Bakayoko, huyu ndio funga kazi, hii treasure.
Huyu ndio hakauki mdomoni mwa Boss ya Mboka Koffi Ollomide then ndio anakula shavu Samuel Etoo, hizi ni international level.
kuna siku nilishuhudia tukio la kusikitisha na kuchekesha pia.Nshawah kumilik kiofis mitaa hio ikawa nikiwapa adress ya ofis clients wangu wanajua mimi ninja sometimes wananilitea michongo yao tata niwasaidie nikawa nashangaa inamaana ninamuonekano wa kininja? Ndio baadae nikaja kujua niko kwa empire ya maninja na mengine yashakua majamaa yangu since then huniambii kitu kuhusu huu mji
Huyo atakuwa Ni mfanyabiashara, hata huo wimbo Maria PM Ni dedication kwa MKE wa Eric mandala (the doctor of ignorant)Nasikiliza Maria nyimbo ya Fali Ipupa sasa hivi mwisho naskia anamtaja Erick Mandala.
uyu Erick Mandala ni mwanasia,mfanya biashara ama nani kule Congo?
Huo ni uzembe wa mtu binafsi, angalau enzi za Nyerere na Mwinyi pale Empress Cinema wazungu walipigwa sana kwenye kuchange Dollar maana zamani maduka ya kubadili pesa za kigeni yalikuwa yamebaniwa.kuna siku nilishuhudia tukio la kusikitisha na kuchekesha pia.
tukio lenyewe lilitokea mtaa wa india street mkabala na jengo la haidary plaza jirani na bureau change moja maarufu wakati huo.
mission town walikuwa wamempiga mkenya vidollar vyake. walimuwahi nje akiwa anaelekea kuingia ndani ya ile bureau ku exchange dollar zake.
wakamwambia ndani ya bureau atapata pesa kidogo, ila wao watamfanyia exchange rate na atapata pesa nyingi za ktz.
mkenya akakubali. masikini hakujua kama zile fedha za ktz alizopewa na wale mission town zilikuwa fake.
baadae akarudi pale hakukuta mtu, akabaki anatukana tu hovyo hovyo, jasho la hasira linamtoka kalowa chapachapa.
watu wanamtazama tu.
hamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.Hao Wanamuziki wa Congo wote break yao kuna Don wa Ki Ivory coast anaishi Paris anaitwa Hemed Bakayoko, huyu ndio funga kazi, hii treasure.
Huyu ndio hakauki mdomoni mwa Boss ya Mboka Koffi Ollomide then ndio anakula shavu Samuel Etoo, hizi ni international level.
Mkuu Mboni alitisha nashindwa kuamini kama ndio huyu Mboni wa sasa kwenye runinga au yule wa fally Ipupa ni Mboni mwingine, sidhani kama siku ile alienda kulala kwao au kwake..Jasmine alikuwa full package mguu mjazo. Ule mguu lazma hakuwa mchaga!
Lakin ile show aliyekuwa hot girl ni Mboni! Hata fally alicheza nae kwa hisia na adabu za matamanio na kale ka suti ka kung'aa bei mbaya kitovu nje km halagi chips!
Mboni popote ulipo pole. huwez kurudsha nyuma saa!
Nadhan watu maarufu wanaotoaga vitabu vya maisha yao, mboni atatusimuliaga walifanya nini na Fally thereafter!