Ni mkomoro sidhani kama bado yupo bongo kwa sasaHuyo ni producer tu kwenye studio hana issue, wa juzi tu.
Bora hata ungeuliza Master Jay.
Aisee sikuwa najuwa hili mkuu ndio unanitowa gizani.hamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.
bakayoko alikuwa ni raia wa ivory coast. a rich politician, music promoter, financiar and prominent figure ktk nchi za francophone.
nilikuwa nafatilia sana habari zake wakati angali hai.
View attachment 2273735
Mzee wa kinoHahaha
Ova
https://youtu.be/xbqGKeT86-gAisee sikuwa najuwa hili mkuu ndio unanitowa gizani.
Na kwenye Sebene lake la Papaa Mobimba Boss ya Mboka amemtaja sana Meddy Bakayoko.
Device yangu nashindwa kulipandisha sebene la Papaa Mobimba, hebu pandisha wadau wamsikie vizuri Bakayoko.
Kwa kifupi mtu kama Hemed Bakayoko huwa wanaitwa Philanthropist.
Nilitaka niilete video hapa kwenye screen, mtu aplay akiwa hapa bila kwenda Youtube.
basi ulikuwa umekuja LIKIZO kutoka kijijini SITIMBI km hauijui STORY ya mtoto mzuri HIDAYAHahaha. Mimi nilikuwa miongoni mwa waliojipanga barabara ya City Drive kuuaga mwili wa kiongozi mmoja maarufu Sana Tanzania. Mwaka 1999 Rais Mkapa akitangaza kifo cha Mwalimu, mimi nipo kikaoni napiga per diem. Matukio haya mawili yanatosha kwa wewe kukadiria mimi wa miaka gani.
Ali choki alikuwa MWANZA now yupo DARHivi Ali Choki yuko wapi now days? Mwinjuma mumini je?
THABITI hakuwa nguzo ya TWANGAAndrew Sekidea mama yake alikuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Ubungo NHC huyu mwamba ndiyo nguzo ya Twanga Pepeta Enzi Hizo, alikuwa ni hatari sana
Master jay Mwenyewe alikuwa anakaa pembeni kujifunzaHuyo ni producer tu kwenye studio hana issue, wa juzi tu.
Bora hata ungeuliza Master Jay.
huyo mjomba tangu EDHI ya EXTRA MUSICAKweli huyu bakayoko kwnye twanga fotoo nimesikia jina lake
bakayoko mi nilijua aina mpya ya miondoko ya dansi au rhumba..Kweli huyu bakayoko kwnye twanga fotoo nimesikia jina lake
Ni myahudi huyo jamaa na anadeal zaidi na madini adimu na hataridrc ndio nchi inayoongoza kuwa na mapedeshe maarufu wanaotajwa sana katika nyimbo za rhumba.
nje ya umaarufu wao, watu hawa ni matajiri kwelikweli. wameendelea kabaki ktk himaya zao za utajiri kwa muda mrefu.
hapa nazungumzia majina ya watu wazito kama tchatcho mbala, moise katumbi chapwe , mamaa tabou fatou na wengineo.
miaka ya hivi karibuni pale kinshasa ameibuka kijana mmoja wa kiarabu mwenye asili ya lebanon anayekwenda kwa jina la abed achour.
abed ni kijana tajiri sana, amekuwa msaada mkubwa ktk kuwapromote na kuwawazesha baadhi ya wanamuziki vijana wa mziki wa rhumba.
jina lake linaimbwa sana siku hizi.huyu hapa ktk video.
View attachment 2273822
Hivi Ali Choki yuko wapi now days? Mwinjuma mumini je?
Huyu ndio alikuwa awe mrithi wa kiti cha Urais wa Ivory Coast baada ya Rais Ouattarrahamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.
bakayoko alikuwa ni raia wa ivory coast. a rich politician, music promoter, financiar and prominent figure ktk nchi za francophone.
nilikuwa nafatilia sana habari zake wakati angali hai.
View attachment 2273735