Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

hamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.

bakayoko alikuwa ni raia wa ivory coast. a rich politician, music promoter, financiar and prominent figure ktk nchi za francophone.

nilikuwa nafatilia sana habari zake wakati angali hai.

View attachment 2273735

Aisee sikuwa najuwa hili mkuu ndio unanitowa gizani.

Na kwenye Sebene lake la Papaa Mobimba Boss ya Mboka amemtaja sana Meddy Bakayoko.

Device yangu nashindwa kulipandisha sebene la Papaa Mobimba, hebu pandisha wadau wamsikie vizuri Bakayoko.

Kwa kifupi mtu kama Hemed Bakayoko huwa wanaitwa Philanthropist.
 
https://youtu.be/xbqGKeT86-g
 
drc ndio nchi inayoongoza kuwa na mapedeshe maarufu wanaotajwa sana katika nyimbo za rhumba.

nje ya umaarufu wao, watu hawa ni matajiri kwelikweli. wameendelea kabaki ktk himaya zao za utajiri kwa muda mrefu.

hapa nazungumzia majina ya watu wazito kama adam bombole, tchatcho mbala, moise katumbi chapwe, mamaa tabou fatou na wengineo.

miaka ya hivi karibuni pale kinshasa ameibuka kijana mmoja wa kiarabu mwenye asili ya lebanon anayekwenda kwa jina la abed achour.

abed ni kijana tajiri sana, amekuwa msaada mkubwa ktk kuwapromote na kuwawazesha baadhi ya wanamuziki vijana wa mziki wa rhumba.

jina lake linaimbwa sana siku hizi.huyu hapa ktk video.

IMG_20220627_020004.jpg
 
Pedeshee Jimmy Chocolate aliimbwa na marehemu Ndanda kasovo, uyu bwana alikua na mishe gani mtujuze watu wa uko Dar tujue sisi watu wa Bariadi tulikua na Pedeshee JOHN CHEYO, A.K.A MAPESA
 
Hahaha. Mimi nilikuwa miongoni mwa waliojipanga barabara ya City Drive kuuaga mwili wa kiongozi mmoja maarufu Sana Tanzania. Mwaka 1999 Rais Mkapa akitangaza kifo cha Mwalimu, mimi nipo kikaoni napiga per diem. Matukio haya mawili yanatosha kwa wewe kukadiria mimi wa miaka gani.
basi ulikuwa umekuja LIKIZO kutoka kijijini SITIMBI km hauijui STORY ya mtoto mzuri HIDAYA
 
Hivi Ali Choki yuko wapi now days? Mwinjuma mumini je?
Ali choki alikuwa MWANZA now yupo DAR
na TWANGA hiyo ndio ratiba yao
KIINGILIO BIA yako siku yoyote ukienda unamkuta

MUUMINI anaimba SINGERI uchafu mtupu
20220627_024631.jpg

hapo SUNSET CLUB RUMO kuna lidada limoja lihudumu ni mwembamba black ila linatako moja amazing sana umbo namba 8 TWANGA ilikuwa kila ikipiga hapo lazima nitimbe yaani lile kuangalia liIvyoumbwa ni kama wale wa Walimbwende wa magazeti BONGO
Sa hivi nitakuwa naibuka MERIDIAN hapo
manavtulimiss kiwanja chetu cha NYUMBANI mango garden
 
Andrew Sekidea mama yake alikuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Ubungo NHC huyu mwamba ndiyo nguzo ya Twanga Pepeta Enzi Hizo, alikuwa ni hatari sana
THABITI hakuwa nguzo ya TWANGA
kwenye KEABOD twanga kuna mtu alikuwa anaitwa VICTO MKAMBI huyo yupo TWANGA tangu edhi ya JESCA CHARLES mpak sasa

THABITI alikuwa anahamahama sana BAND
japokuwa alikuwa na kipaji sana cha kuchalaza keyboad
mwisho akahama dansi akahamia taarab
huko akajitutumua kuazisha band baada kuachana na mzee yusuph ola ikafa kibudu sasa hivi anaungaunga tu njaa tupu
 
drc ndio nchi inayoongoza kuwa na mapedeshe maarufu wanaotajwa sana katika nyimbo za rhumba.

nje ya umaarufu wao, watu hawa ni matajiri kwelikweli. wameendelea kabaki ktk himaya zao za utajiri kwa muda mrefu.

hapa nazungumzia majina ya watu wazito kama tchatcho mbala, moise katumbi chapwe , mamaa tabou fatou na wengineo.

miaka ya hivi karibuni pale kinshasa ameibuka kijana mmoja wa kiarabu mwenye asili ya lebanon anayekwenda kwa jina la abed achour.

abed ni kijana tajiri sana, amekuwa msaada mkubwa ktk kuwapromote na kuwawazesha baadhi ya wanamuziki vijana wa mziki wa rhumba.

jina lake linaimbwa sana siku hizi.huyu hapa ktk video.

View attachment 2273822
Ni myahudi huyo jamaa na anadeal zaidi na madini adimu na hatari
 
Hivi Ali Choki yuko wapi now days? Mwinjuma mumini je?

Choki alikua mwanza akipiga live za kila weekend sijui kama asharudi mjini, Mwinjuma kuna kipindi alizamia msumbiji akawa anapiga huko baadae mwana tamtam akarudi bongo tena akatangaza kurudi lakini muziki wa dansi bongo ni kama ushakufa kabisa wanategemea kupiga live kwenye bar na hotels ambako hawalipwi vizuri na matamasha yao hayana mvuto tena hivo wanachezea hasara kila leo na mifarakano isiyoisha na wamebaki solo kama christian bella ndio wameng’ang’ania game japo wameachana na dansi ile sasa wametohoa wanaimba bongo fleva tu
 
hamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.

bakayoko alikuwa ni raia wa ivory coast. a rich politician, music promoter, financiar and prominent figure ktk nchi za francophone.

nilikuwa nafatilia sana habari zake wakati angali hai.

View attachment 2273735

Huyu ndio alikuwa awe mrithi wa kiti cha Urais wa Ivory Coast baada ya Rais Ouattarra
 
Back
Top Bottom