Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

....kikubwa cha Balhabou, mali zao zisikufanye upagawe, ukaniweka roho juu...

Kassim Mganga.
 
Maisha yanachange maza alikua na duka hapo mbele ya AM mtaa wa swahili,naona bdae mtaji ulikata ila maza ananyumba zake za kutosha
 
We jamaa kweli born town,unajua mishe nyingi sana za Jiji la Amos Makala! Nakupa salute! Sijawahi jua kama Merey Balhabou ana undugu na Mzee Azam!

Hawa watoto wa mjini,aka mapedeshee watarudi kwa kasi sana kipindi hiki! Jack Pemba alikimbilia Uganda awamu ya Tano,nasikia karudi town!
 
Kuna Mzee mmoja mmasai alikua chuga,pesa alikua nayo yakutosha sana,alikua ana miliki timu ya mpira wa miguu ya Parison ya Arusha,Mzee alikua anapanda juu ya ghorofa anaanza kugawa pesa! Sasa hivi sijui yuko wapi,pesa ilikata!

Mwanza kulikua na Pedeshee Mteka teka, Mhasibu wa Polisi Mwanza,jamaa alikua anakula wanawake balaa
 
...Wanawake! Unaupata Ubunge wa Kuteuliws na une Mume kama huyo Zimemtembelea, halafu unaishia kutembea na Dereva Wako!!
Yuko wapi' Sasa?
Alikuwa anaitwa Mbunge nani?
 
niseme tu wewe ni mwana der es alaam. borntown wa nyota tano. umefunguka vizuri.

naikumbuka vizuri sana ile showroom ya salim chicago. ilikuwa mitaa ile ya clock tower/station, inatazamana na jengo la tanesco.
 
...Na Coffee Bar ilivyokuwa chili Extecomms. Siku hizi ni Ofisi!
 
Mkuu
Mkuu mitaa ya sinza star iyo, mudi nondo kabebesha Sana watu bwimbi, morisi mtu wa kazi kazi
 
...Na Wewe eleza Pepe Kalle alisema lini na wapi hayo unayoyasema kuhusu wimbo wa Hidaya kwamba una maana hio unayoisema wewe?...
 
Kweli nakubali
 
Marehemu Nasm Khamis Kidogo
 
Baraka Kapuya ni mtoto wa Prof.Kapuya.Alivyotoka Marekani ndo akawa meneja wa bendi ya baba yake.Wakifanyia mazoezi Kinondoni shamba.
 
Una leseni ya kuendesha hizi freightliner?
Kuna dada mmoja, Zulfa Said Seif kule bukoba (marehem) size hizi mwanamme asipomridhisha anamlamba makofi!
Hata handsome ex president anamjua!
Leseni ninayo Kaka😁, dah huyo alimlamba makofi Mzee Nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…