Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,676
- 4,693
....kikubwa cha Balhabou, mali zao zisikufanye upagawe, ukaniweka roho juu...duh..umenirudisha mbali sana mzee. nitaandika machache ninayoyakumbuka kuhusu huyo jamaa.
well, merey balhabou alikuwa ni mimiliki wa timu ya mpira ya moro united ya morogoro.
pia alikuwa ni mjasiriamali mkubwa tajiri aliyewekeza ktk sector ya nishati ya mafuta. ana undugu wa damu na tajiri namba moja nchini, salim bakhresa, nahisi anamuita mzee bakhresa mjomba(sina uhakika).
huyu jamaa ni mfaidika mkubwa yale mabilioni ya aliyewahi kuwa rais wa libya muamar ghadaf aliyokuwa anayatuma hapa tz ili kuwekeza ktk miradi mbalimbali.
yeye na wenzie waliokuwa kwenye system wakati huo ndio walikuwa wanayapiga yale mabilioni.
alifilisika baada ya kuwa na madeni mengi aliyoshindwa kulipa. pale tabata tioti zilizopo ofisi za azamtv, ilikuwa ni yard yake ya malori. alimuuzia mjomba wake mzee bakhresa ili kupata fedha ya kulipa madeni aliyokuwa anadaiwa.
kwa sasa sidhani kama yupo nchini, nahisi anaishi dubai au south africa.
hayo mengine sijui ya kulawiti wananume wenzie mimi siyajui, nilikuwa nayasikia tu. nawaachia wajuzi wa mambo watiririke.
Kassim Mganga.