Salamander lazima utie timuHuwezi kuwa kiongozi Simba, Yanga au TFF kama hujawahi kupiga piga winga maeneo ya salamander, samora, posta yoote ile na kariakoo...
Kizaizai pesa ilikuwa inakosea njia tu kuja kwake...mrangi kamsagia sana kunguni kizaizai [emoji1787][emoji1787]
huyo madenge unayemzungumzia wewe ni yupi, ni yule jamaa mfupi mwenye kichwa kikubwa? anaongea sana.
dress code yake anapenda kuvaa kaunda suti, cheni kubwa shingoni na mapete vidoleni. halafu ally choki alikuwa anamtaja sana kwa kibwagizo cha "papaa madenge".
kuna wakati nilikuwa nakutananae mitaa ya temeke wailes na mitaa ya mkwepu street, posta mpya.
Yuko ununio kwao
Kawa ustaz [emoji1]
Ova
Akili 0 yuledah hatari sana, dallaz alitusumbua sana leaders na hela yake ya bond umangani.....hahahaha.
Ha ha ha ha ha watu mna full info aiseee! Balhabou alikua mhuni sana yule jamaa!Balhabou hana undugu na azam
Wakina balhabou asili yao moro
Huyu alikuwa anachezea hela maana
Walikuwa na line ya mafuta ya trasit
Kuna mkubwa fulani walipozinguana nao akawakatia line
Ila kwa mate ndomana aliyokuwa anafanya merey hata warabu wenzake
Walikuwa wanamshangaa
Ova
Jack Pemba ni hatari sana huyu jamaaYupo mlevi tu analewa sana Juliana pub na bar nyingine za Mbezi kule Target, Amsterdam, Jangwani Sea breeze etc..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] bongo ukiwa na mkono wa mnene serikalini,hawakufanyi kituJackpemba usani hajaanza leo
Alishawaliza watoto wa donbosco upanga akidai anawafanyia mpango
Wa kwenda nje si unajua wakat ule safari michongo ilikuwa upande wa scout na mambo ya summer camp
Jamaa alichikichia na hela za watu
Akasafiri yeye
Ova
Hii statement imenichekesha sana🤣Kizaizai pesa ilikuwa inakosea njia tu kuja kwake...
Ova
Mzee Cheyo au Isack?? Lakini hawa wazee wahuni sana!Mzee mapesa nilishakutana nae Maisha club Dom akiwa amevaa heleni sikioni na pisi mbili kashikilia huku na huku.
Last time nimemuona kwny msiba wa mtoto wa Mabeyo akiwa kwny Ile Hummer yake lkn afya naona haijakaa poa sana.
huyu merey balhabou kuna MISS TANZANIA wa miaka iliyopita mdogo wake wa damu kabisa alikutwa kafia kwenye SWIMMING POOL ya nyumba yakeduh..umenirudisha mbali sana mzee. nitaandika machache ninayoyakumbuka kuhusu huyo jamaa.
well, merey balhabou alikuwa ni mmiliki wa timu ya mpira ya moro united ya morogoro.
pia alikuwa ni mjasiriamali mkubwa tajiri aliyewekeza ktk sector ya nishati. ana undugu wa damu na tajiri namba moja nchini, salim bakhresa, nahisi anamuita mzee bakhresa mjomba(sina uhakika).
huyu jamaa ni mfaidika mkubwa yale mabilioni ya aliyewahi kuwa rais wa libya muamar ghadaf aliyokuwa anayatuma hapa tz ili kuwekeza ktk miradi mbalimbali.
yeye na wenzie waliokuwa kwenye system wakati huo ndio walikuwa wanayapiga yale mabilioni.
alifilisika baada ya kuwa na madeni mengi aliyoshindwa kulipa. pale tabata tioti zilizopo ofisi za azamtv, ilikuwa ni yard yake ya malori. alimuuzia mjomba wake mzee bakhresa ili kupata fedha ya kulipa madeni aliyokuwa anadaiwa.
kwa sasa sidhani kama yupo nchini, nahisi anaishi dubai au south africa.
hayo mengine sijui ya kulawiti wananume wenzie mimi siyajui, nilikuwa nayasikia tu. nawaachia wajuzi wa mambo watiririke.
Nawajua vzr..kuna ndg yao alikuwa anaitwa awadh balhaboue huyo ndyHa ha ha ha ha watu mna full info aiseee! Balhabou alikua mhuni sana yule jamaa!
Duh! RIP kwake aiseeee! Hawa wazee walikua na pesa,lakini wakachezeaAlijulikana almaarufu kwa jina la askofu,jina lake lilikua Ni Thomas Mollel na Alifariki akiwa Dom alipoenda kwny kuapishwa kwa mbunge wa Meru Mashariki mwaka 2019.
Pemba si mtoto wa upanga yule[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] bongo ukiwa na mkono wa mnene serikalini,hawakufanyi kitu
huyu sio BABA DIANA huyu AMIGIROS marehemu pia
Ha ha ha ha! Kibonde marehemu wa Clouds yule na usela wake,kumbe alikarishwa na Pemba?? Hebe nipe hii story ilikuaje mkuuPemba si mtoto wa upanga yule
Kibonde mwenyewe aliumizwa naye
Alipoenda UK ndy akapata PhD ya upigaji [emoji1]
Ova
Magu alipoingia aliwashughulikia sana,ingawa baadhi yao walimshinda! Enzi za Jakaya watu walikua wanapiga sana pesa,Mtaa wa Samora ndiyo kulikua na kila aina ya mihuri! Kuna msela mmoja alipewa pesa za kampuni x,akaweke kwenye account,bwana wewe jamaa akaenda kutengeneza fake slip ya bank,akapiga mpunga akawapelekea slip fake,ilikua jumamosi,jumatatu wanaenda kucheki mpunga,haupo,na jamaa kesharuka zake mbele! Wahindi walilia kama watoto! Zilikua 40M za Mauzo! Watu wahuni sana jamaniNawajua vzr..kuna ndg yao alikuwa anaitwa awadh balhaboue huyo ndy
Alikuwa na ukwasi
Kwanza kwa mate do ya merey familia yao ilikuwa hawapendi maana alikuwa kma anawapakaza,baada ya kuanguka kibiashara kutokana na sababu 1,2,3 ndg kma walimpunguzia
Connection ya hela ndomana unaona sahv katulia
Ova
Mkuu wangu,sijasikia kabisa story za Liyumba na mtoto wake Mose pale Magomeni plus mwanae aliyeshikwa na poda kule Lindi yule LindaPemba si mtoto wa upanga yule
Kibonde mwenyewe aliumizwa naye
Alipoenda UK ndy akapata PhD ya upigaji [emoji1]
Ova
kaharibikiwa akili uzeeni...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.
Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.