Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

mrangi kamsagia sana kunguni kizaizai [emoji1787][emoji1787]

huyo madenge unayemzungumzia wewe ni yupi, ni yule jamaa mfupi mwenye kichwa kikubwa? anaongea sana.

dress code yake anapenda kuvaa kaunda suti, cheni kubwa shingoni na mapete vidoleni. halafu ally choki alikuwa anamtaja sana kwa kibwagizo cha "papaa madenge".

kuna wakati nilikuwa nakutananae mitaa ya temeke wailes na mitaa ya mkwepu street, posta mpya.
Kizaizai pesa ilikuwa inakosea njia tu kuja kwake...

Ova
 
dah hatari sana, dallaz alitusumbua sana leaders na hela yake ya bond umangani.....hahahaha.
Akili 0 yule

Hakuna kitu muhimu kwa binadam

Kama akili na maarifa

Hivi wanangu wa texts wakina Mike na Charles mziray wapo kweli

Ova
 
Balhabou hana undugu na azam
Wakina balhabou asili yao moro
Huyu alikuwa anachezea hela maana
Walikuwa na line ya mafuta ya trasit
Kuna mkubwa fulani walipozinguana nao akawakatia line
Ila kwa mate ndomana aliyokuwa anafanya merey hata warabu wenzake
Walikuwa wanamshangaa

Ova
Ha ha ha ha ha watu mna full info aiseee! Balhabou alikua mhuni sana yule jamaa!
 
Jackpemba usani hajaanza leo
Alishawaliza watoto wa donbosco upanga akidai anawafanyia mpango
Wa kwenda nje si unajua wakat ule safari michongo ilikuwa upande wa scout na mambo ya summer camp
Jamaa alichikichia na hela za watu
Akasafiri yeye

Ova
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] bongo ukiwa na mkono wa mnene serikalini,hawakufanyi kitu
 
Mzee mapesa nilishakutana nae Maisha club Dom akiwa amevaa heleni sikioni na pisi mbili kashikilia huku na huku.

Last time nimemuona kwny msiba wa mtoto wa Mabeyo akiwa kwny Ile Hummer yake lkn afya naona haijakaa poa sana.
Mzee Cheyo au Isack?? Lakini hawa wazee wahuni sana!
 
duh..umenirudisha mbali sana mzee. nitaandika machache ninayoyakumbuka kuhusu huyo jamaa.

well, merey balhabou alikuwa ni mmiliki wa timu ya mpira ya moro united ya morogoro.

pia alikuwa ni mjasiriamali mkubwa tajiri aliyewekeza ktk sector ya nishati. ana undugu wa damu na tajiri namba moja nchini, salim bakhresa, nahisi anamuita mzee bakhresa mjomba(sina uhakika).

huyu jamaa ni mfaidika mkubwa yale mabilioni ya aliyewahi kuwa rais wa libya muamar ghadaf aliyokuwa anayatuma hapa tz ili kuwekeza ktk miradi mbalimbali.

yeye na wenzie waliokuwa kwenye system wakati huo ndio walikuwa wanayapiga yale mabilioni.

alifilisika baada ya kuwa na madeni mengi aliyoshindwa kulipa. pale tabata tioti zilizopo ofisi za azamtv, ilikuwa ni yard yake ya malori. alimuuzia mjomba wake mzee bakhresa ili kupata fedha ya kulipa madeni aliyokuwa anadaiwa.

kwa sasa sidhani kama yupo nchini, nahisi anaishi dubai au south africa.

hayo mengine sijui ya kulawiti wananume wenzie mimi siyajui, nilikuwa nayasikia tu. nawaachia wajuzi wa mambo watiririke.
huyu merey balhabou kuna MISS TANZANIA wa miaka iliyopita mdogo wake wa damu kabisa alikutwa kafia kwenye SWIMMING POOL ya nyumba yake
sema ile kipindi kile jamaa alikuwa yupo VIZURI ishu ikahisha kimya kimya
 
Ha ha ha ha ha watu mna full info aiseee! Balhabou alikua mhuni sana yule jamaa!
Nawajua vzr..kuna ndg yao alikuwa anaitwa awadh balhaboue huyo ndy
Alikuwa na ukwasi
Kwanza kwa mate do ya merey familia yao ilikuwa hawapendi maana alikuwa kma anawapakaza,baada ya kuanguka kibiashara kutokana na sababu 1,2,3 ndg kma walimpunguzia
Connection ya hela ndomana unaona sahv katulia

Ova
 
Alijulikana almaarufu kwa jina la askofu,jina lake lilikua Ni Thomas Mollel na Alifariki akiwa Dom alipoenda kwny kuapishwa kwa mbunge wa Meru Mashariki mwaka 2019.
Duh! RIP kwake aiseeee! Hawa wazee walikua na pesa,lakini wakachezea
 
Umenikumbusha mbali sana.maisha yanaenda kasi sana.Zile zama zilikua katika ubora wa kiwango kikubwa sana kwenye tasnia ya burudani na maisha kwa ujumla.
 
Nawajua vzr..kuna ndg yao alikuwa anaitwa awadh balhaboue huyo ndy
Alikuwa na ukwasi
Kwanza kwa mate do ya merey familia yao ilikuwa hawapendi maana alikuwa kma anawapakaza,baada ya kuanguka kibiashara kutokana na sababu 1,2,3 ndg kma walimpunguzia
Connection ya hela ndomana unaona sahv katulia

Ova
Magu alipoingia aliwashughulikia sana,ingawa baadhi yao walimshinda! Enzi za Jakaya watu walikua wanapiga sana pesa,Mtaa wa Samora ndiyo kulikua na kila aina ya mihuri! Kuna msela mmoja alipewa pesa za kampuni x,akaweke kwenye account,bwana wewe jamaa akaenda kutengeneza fake slip ya bank,akapiga mpunga akawapelekea slip fake,ilikua jumamosi,jumatatu wanaenda kucheki mpunga,haupo,na jamaa kesharuka zake mbele! Wahindi walilia kama watoto! Zilikua 40M za Mauzo! Watu wahuni sana jamani
 
Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.

Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.
kaharibikiwa akili uzeeni...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom