Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Michongo yote ilikuwa inaletwa na wahusika wenyewe kama ni bandari,tra,ttcl nk
Sasa watoto wa mjini kazi kwao
Ni kama wanatumika tu

Mjini kuna mambo mengi
Unaweza ukawa sehem au ukapatwa
Na shida fulani hujuwi wapi uanzie

Nakumbuka kulikuwa na watu wao kazi yao ni mambo ya dhamana ya kesi yyt ila syo ya kuua au bunduki
Mjini mipango

Ova
 
last week nilipita ile mitaa, aisee mitaa imepooza sana. zile mishemishe za miaka ile hakuna tena.zile vurugu za mission town hazipo tena.

nadhani imetokana na mji kutanuka na kusambaa kwa huduma za kiserikali mpaka huku chini kwenye kata.

siku hizi baadhi ya huduma sio lazima uzifate mjini posta kama zamani. hususan huduma za kupata vibali, leseni za biashara, passport, huduma za kibank nk. kila kitu kinapatikana kwenye ngazi za wilaya.
 
Mchawi control number.
 
Kuna Advocate Nyombi
Rpc iringa kama sijakosea
Kaimbwa sana na bushoke
 
Alex Massawe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…