mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Ni kweli mkuuMichongo yote ilikuwa inaletwa na wahusika wenyewe kama ni bandari,tra,ttcl nk
Sasa watoto wa mjini kazi kwao
Ni kama wanatumika tu
Mjini kuna mambo mengi
Unaweza ukawa sehem au ukapatwa
Na shida fulani hujuwi wapi uanzie
Nakumbuka kulikuwa na watu wao kazi yao ni mambo ya dhamana ya kesi yyt ila syo ya kuua au bunduki
Mjini mipango
Ova
👏👍Uncle Saleh huyo sidhani kama ni Ali Saleh mwandiahi wa habari. Huyu alikuwa akiitwa Saleh Jabir??, (kama nimepatia jina la ubini wake) maarufu uncle Saleh mtangazaji wa TVZ enzi hizo akitangaza kipindi cha miziki na dada mmoja akiitwa princess Selme.
Hapa umechapia: Dotnata ni mapacha, anayefanya cataring ni mwingine na aliyekuwa msanii ni mwingineMamaa Dotnata:
Bila shaka wengi mnamkumbuka, aliwahi kuwa muigizaji maarufu kupitia ITV, baadae akaingia kwenye ujasiriamali wa kutoa huduma za catering, shughuli hizi zilimpatia mafanikio sana. sijui kwa sasa yupo wapi huyu mama. FM Academia waliwahi kumtungia wimbo wenye jina lake.
Nimesoma na mwanae Fatuma Advocate NyombiMwenye kumfahamu atufahamishe..
Advocate Nyombi...
Na kuondoa malipo ya cash serikalini kumesaidia sana, halafu siku hizi nyaraka za kawaida zinapatikana mpaka mtandaoni. Mambo ya mihuri nk hayana dili siku hizi.last week nilipita ile mitaa, aisee mitaa imepooza sana. zile mishemishe za miaka ile hakuna tena.zile vurugu za mission town hazipo tena.
nadhani imetokana na mji kutanuka na kusambaa kwa kuduma za kiserikali mpaka huku chini kwenye kata.
siku hizi baadhi ya huduma sio lazima uzifate mjini posta kama zamani. hususan huduma za kupata vibali, leseni za biashara, passport nk. kila kitu kinapatikana kwenye ngazi za wilaya.
Mahakamani ipo sanaNi kweli mkuu
Kuna wazee wana hati mkononi kwa ajili ya bond ya mahakama
Ni wewe na pesa yako tuu
Mahakama kama kisutu ndio kilikuwa kilinge chao
Hakukutana na damme angekaaUmenikumbusha Haji Mbabe alitusumbuwa sana Sinza enzi hizo
Huyo Baraka kapuya full boss sasa hivi yuko Urambo kaliua tabora huko kuna lodge ana simamiabaraka kapuya alikuwa anatajwa sana na wanamuziki wa kundi la akundo sound.
mmiliki wa akudo alikuwa ni prof. juma kapuya ambaye wakati fulani aliwahi kuwa waziri wa elimu na mbunge.
inawezekana huyu baraka ni family member au mtoto wa mzee kapuya. wajuzi wa mambo watajazia nyama.
Kulikuwa na daladala zinaitwa Madinda Trans je zilikuwa zake? Halafu jamaa nadhani alishadanja. Aliwahi kuishi na Aisha Mbegu (Aisha Madinda) ila walikuja kuachana1.Fikiri Madinda
2.Pedeshee Mudi Nondo
3.Moris Mariaga
Hapa pedeshee kidogo ni #3,hao 1&2 walikua ni janja janja tu,tuliowahi kuishi nao Sinza_Madukani tunawajua vizuri
Huyo Mudi Nondo BSS aliyoshinda Jumanne Iddi,nafikiri ilikua ndio BSS ya kwanza,siku ya Fainali aligawa pesa hatari,cha kushangaza nyumba aliyopanga ilikatiwa umeme kwa kushinda kulipa bili kwa wakati(enzi hizo hakuna LUKU) [emoji38][emoji38][emoji38]
Fikiri Madinda aliishi kwenye upangaji na nyumba ya kawaida mno tofauti na jina alilokuwa nalo mjini.
Huyu aliimbwa sana na Muumin MwinyijumaChuki Shabani mzee wa Tabata
Huyu gwiji (RIP) ni pedejee pekee kutokea pande za TMK alikuwa na gereji Temeke kisha akawa na daladala zinaitwa Kitendawili. Baadae alihamia Sinza Morina kumuoa Amina Chifupa wa MpakanjiaMpakanjia.
Said Comorie alikuwa mtengeneza beat MJ Records kama sijasahauKuna kina Said Komolie sijui alikuwa nani huyu
Badi Bakule alikuwa mwimbaji nilisoma nae KibasilaNyoshi mselela
Hussein makabureta
Yussufu mbwana
Badi bakule
JONA MVAMBA(shabiki wa twaga pepeta)
Hadija mnoga kimobitel
Aisha alikuwa pisi kweliHuyu gwiji (RIP) ni pedejee pekee kutokea pande za TMK alikuwa na gereji Temeke kisha akawa na daladala zinaitwa Kitendawili. Baadae alihamia Sinza Morina kumuoa Amina Chifupa wa Mpakanjia
Ni dereva Wizara flan hapa tzKulikuwa na daladala zinaitwa Madinda Trans je zilikuwa zake? Halafu jamaa nadhani alishadanja. Aliwahi kuishi na Aisha Mbegu (Aisha Madinda) ila walikuja kuachana
Vipi,ana hela mpaka leo?Huyu aliimbwa sana na Muumin Mwinyijuma
Msofe ni zulumatiHuyo ni wa kizazi cha sasa cha machawa.
ni aina ya vijana ambao majina yao yamefahamika kwa msaada mkubwa wa social media hususani instagram.
bila mitandao ya kijamii, hakuna ambaye angewafahamu.
Wakati akina Msofe wanasumbua mjini, yeye alikuwa primary may be.