mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Ni kweli mkuuMichongo yote ilikuwa inaletwa na wahusika wenyewe kama ni bandari,tra,ttcl nk
Sasa watoto wa mjini kazi kwao
Ni kama wanatumika tu
Mjini kuna mambo mengi
Unaweza ukawa sehem au ukapatwa
Na shida fulani hujuwi wapi uanzie
Nakumbuka kulikuwa na watu wao kazi yao ni mambo ya dhamana ya kesi yyt ila syo ya kuua au bunduki
Mjini mipango
Ova
Kuna wazee wana hati mkononi kwa ajili ya bond ya mahakama
Ni wewe na pesa yako tuu
Mahakama kama kisutu ndio kilikuwa kilinge chao