Le Mutuz siyo mzee bhana.Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.
Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.
Mzee wa A.M HotelAlex Massawe mkuu
Hizo zama za watu kupiga hela,zinarejea kwa kasi ya 5GMagu alipoingia aliwashughulikia sana,ingawa baadhi yao walimshinda! Enzi za Jakaya watu walikua wanapiga sana pesa,Mtaa wa Samora ndiyo kulikua na kila aina ya mihuri! Kuna msela mmoja alipewa pesa za kampuni x,akaweke kwenye account,bwana wewe jamaa akaenda kutengeneza fake slip ya bank,akapiga mpunga akawapelekea slip fake,ilikua jumamosi,jumatatu wanaenda kucheki mpunga,haupo,na jamaa kesharuka zake mbele! Wahindi walilia kama watoto! Zilikua 40M za Mauzo! Watu wahuni sana jamani
huyo Demu hakuwahi kumiliki hata daladala 1Ustadhi Juma Namusoma, huyu Hadi alikuwa meneja wa wasanii, Kuna mama Sakina Trans alimiliki bendi ya mashujaa na midaladala mingi hapa Ukraine town pia yupo jamaa anaitwa Respect Chief Kiumbe, huyu ata huko Kanda ya ziwa wanamfahamu vizuri
Ha hah ila Wakongo na njaa zao wakiamua kukupamba utapewa kila aina ya cheo,wewe warushie buku 10 tu na usikose kwenye dansi lao.ila shida wakikuzoiea wanahamishia shida zao kwako.Baraka kapuya full boss
Huyu sio Abbu Semhando baba Diana mkuu ni Amigo Lasi ,mzee wa kistuli
Alikuwa vizuri au Serikali ilikuwa dhaifu?huyu merey balhabou kuna MISS TANZANIA wa miaka iliyopita mdogo wake wa damu kabisa alikutwa kafia kwenye SWIMMING POOL ya nyumba yake
sema ile kipindi kile jamaa alikuwa yupo VIZURI ishu ikahisha kimya kimya
Le Mutuz hayumo katika ile orodha ya mapedeshee wa mjini na wala hajawahi kuimbwa au hata kuziona hizo bendi za Wakongo enzi za kutajana majina ila ndugu yake ndie alikuwa maarufu Ipi (Ipyana)Malecela, enzi hizo jamaa alikuwa hayupo nchini na hakuna aliyekuwa anamjua, Le Mtuz ni sawa tu na akina Jack Pemba ni wa jana na hawana umujini tunaousema.Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.
Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.
Huyo alishachoka mpka anakufa alikua kabaki na hotel ya pallson tu,toka ainunue mpka leo haijawahi kupigwa rangi au kufanyiwa matengenezo...alifariki kma sikosei 2019Kuna Mzee mmoja mmasai alikua chuga,pesa alikua nayo yakutosha sana,alikua ana miliki timu ya mpira wa miguu ya Parison ya Arusha,Mzee alikua anapanda juu ya ghorofa anaanza kugawa pesa! Sasa hivi sijui yuko wapi,pesa ilikata!
Mwanza kulikua na Pedeshee Mteka teka, Mhasibu wa Polisi Mwanza,jamaa alikua anakula wanawake balaa
Asha mwanamke wa shoka alisimamia bendi za kaka yaka Baraka Msilwa,kuanzia MK Ssound ,bendi aliyoanzisha baada ya Boziana kuja na wakongo akina Elyston Angai, Dodoo la Buche na kama sikose Nyoshi, baadae wakawa na MK Beats wana Tukunyema chini ya Shem Karenga ila bendi yao ya kwanza ni hii African Stars ilianza na akina Mafumu,Andy swebe halafu wakaja akina Mponda ,Banza stone Masanja(Mzee wa ''Uro'')Asha kweli alipambana sana kuhusu twanga,wakati wa show kuna wakati alikuwa anakomaa mlangoni,vingilio
Mimi mwenyewe twanga nlikuwa mdau kwelikweli
Bendi ina raha yake bana
Ova
Sahihi kabisa alikuwa anamuendesha wazir wa mifugo au katibu mkuu wa wizara hyoNi dereva Wizara flan hapa tz
Yeye ndio kachapia, hao mapacha wote walifanya kazi hiyo kwa pamoja wakiwa pale ofisi za trafiki kwa nyuma kipindi hicho RTO ni Mkwama. Dotinata akachangamka zaidi na kuinyanyua biashara yao.basi sawa ndg.[emoji1360][emoji1360]
kwa vp kuhusu dotnata decoration, ilikuwa ya huyo pacha wake?.
Diddy Kinuani aliimbwa sana kwenye Albam ya NDOMBOLO 1997: Wenge Musica BCBGdrc ndio nchi inayoongoza kuwa na mapedeshe maarufu wanaotajwa sana katika nyimbo za rhumba.
nje ya umaarufu wao, watu hawa ni matajiri kwelikweli. wameendelea kabaki ktk himaya zao za utajiri kwa muda mrefu.
hapa nazungumzia majina ya watu wazito kama adam bombole, tchatcho mbala, moise katumbi chapwe, mamaa tabou fatou na wengineo.
miaka ya hivi karibuni pale kinshasa ameibuka kijana mmoja wa kiarabu mwenye asili ya lebanon anayekwenda kwa jina la abed achour.
abed ni kijana tajiri sana, amekuwa msaada mkubwa ktk kuwapromote na kuwawazesha baadhi ya wanamuziki vijana wa mziki wa rhumba.
jina lake linaimbwa sana siku hizi.huyu hapa ktk video.
View attachment 2273822
Huyo ndio mtoto wake mkubwa moses,zamani alikuaga fala tu baada ya mzee wake kufariki ndio akili ikafunguka ya kutafuta pesaKumbe alitoka Moreen,kuna mtoto wake na Liyumba jina lake Mose,kala sana tender za BOT na kala sana bata
Mambo yameenda kwa kasi sana,siku hizi unalipa bili /ankara kwa control number ule udalali wa viwanja hewa pale City hall ulisha siku nyingi, teknolojia imeharibu sana dili za watu kwani enzi za makaratasi ndio watu walikuwa wanapiga pesa kweli,ukiwa na kesi unahonga tu masjala faili linachomolewa na kesi kwisha, pia ujio wa mwamba Jiwe ambaye alisema hadharani kwamba kama huna kazi mjini inabidi urudi tu kijijini ukalime, mitaa ya posta na viunga vyake imedorora ,mitaa ya pale Billicanas ya Mbowe ndio palikuwa kilinge kikuu cha nyaraka magumashi, ukitaka paspoti, kitabu cha ubaharia,hati ya kuzaliwa, digrii na bank statement (hizi zilikuwa almasi hasa ukitaka kuingia ubalozini kwa ajili ya viza) na zamani ubalozi wa Uingereza ulikuwa pale karibu kabisa na mzunguko wa sanamu la Bismini, he kustuka Jiwe kaingia kila mianya ikaanza kufungwa mara eh tunahamia Idodomya mara eh sasa mambo yote Mlimani city mara eh pasiport za kielektoniki basi kama alivyosema mwamba Jiwe ikabidi watu warudishe majeshi ingawa sasa kuna dalili za kurudi tena zama za kulamba asali. Mliowahi kuomba viza ubalozi wa Uingereza miaka ile mnamkumbuka mama wa kihindi ambaye yeye alikuwa anatoa tu viza kwa wahindi wenzake, pia pale ubalozi wa bwana mkubwa kuna jamaa mmoja alikuwa poa sana watu walikuwa wanamfuata kwenye kinywaji kule Masaki anakwambia njoo kesho uchukue viza yako, mambo yalikuwa moto sana miaka ile kabla ya Osama hajaharibu dunia.last week nilipita ile mitaa, aisee mitaa imepooza sana. zile mishemishe za miaka ile hakuna tena.zile vurugu za mission town hazipo tena.
nadhani imetokana na mji kutanuka na kusambaa kwa kuduma za kiserikali mpaka huku chini kwenye kata.
siku hizi baadhi ya huduma sio lazima uzifate mjini posta kama zamani. hususan huduma za kupata vibali, leseni za biashara, passport nk. kila kitu kinapatikana kwenye ngazi za wilaya.
Du unamjua vyema mtalika ni jamaa yangu alikuwa songea kabla hajaamishiwa tunduma nadhani kwa sasa yupo kwao nyangao lindi kama sijakoseaHuu uzi mwandishi atakuwa na IQ nzuri.
Hapa JF unatakiwa upewe hata mji kama ile mitaa ya Nape.
Papaa Mutarika Mzee wa Mambo mengi:
Huyu brother wa umri wa akina papaa Msofe.
Ni wa Tunduma alikuwa mwajiriwa wa TRA na mke wake fundi cherehani.
Upapaa wake ni kama uliisha baada ya ajira ile kukomeshwa, umaarufu ulimponza.
Uzi mzuri sana huu.
Hata Bobis Makono alikuwa wa TemekeHuyu gwiji (RIP) ni pedejee pekee kutokea pande za TMK alikuwa na gereji Temeke kisha akawa na daladala zinaitwa Kitendawili. Baadae alihamia Sinza Morina kumuoa Amina Chifupa wa Mpakanjia
Asha akukuwa sharpsharp tokea yuko NIC kama sijakosea,maana alikuwa active sana pia na kucheza netballAsha mwanamke wa shoka alisimamia bendi za kaka yaka Baraka Msilwa,kuanzia MK Ssound ,bendi aliyoanzisha baada ya Boziana kuja na wakongo akina Elyston Angai, Dodoo la Buche na kama sikose Nyoshi, baadae wakawa na MK Beats wana Tukunyema chini ya Shem Karenga ila bendi yao ya kwanza ni hii African Stars ilianza na akina Mafumu,Andy swebe halafu wakaja akina Mponda ,Banza stone Masanja(Mzee wa ''Uro'')
Mkuu wewe lazima ni msomi mbobezi katika fani ya uandishi hongera sanshukrani sana Madwari. comment yako imenipa faraja sana.[emoji1431][emoji1431][emoji1431]