Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.

Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.
Le Mutuz siyo mzee bhana.
 
Kulikuwa na daladala zinaitwa Madinda Trans je zilikuwa zake? Halafu jamaa nadhani alishadanja. Aliwahi kuishi na Aisha Mbegu (Aisha Madinda) ila walikuja kuachana
yupo dodoma bukheri wa afya.
 
Magu alipoingia aliwashughulikia sana,ingawa baadhi yao walimshinda! Enzi za Jakaya watu walikua wanapiga sana pesa,Mtaa wa Samora ndiyo kulikua na kila aina ya mihuri! Kuna msela mmoja alipewa pesa za kampuni x,akaweke kwenye account,bwana wewe jamaa akaenda kutengeneza fake slip ya bank,akapiga mpunga akawapelekea slip fake,ilikua jumamosi,jumatatu wanaenda kucheki mpunga,haupo,na jamaa kesharuka zake mbele! Wahindi walilia kama watoto! Zilikua 40M za Mauzo! Watu wahuni sana jamani
Hizo zama za watu kupiga hela,zinarejea kwa kasi ya 5G
 
Ustadhi Juma Namusoma, huyu Hadi alikuwa meneja wa wasanii, Kuna mama Sakina Trans alimiliki bendi ya mashujaa na midaladala mingi hapa Ukraine town pia yupo jamaa anaitwa Respect Chief Kiumbe, huyu ata huko Kanda ya ziwa wanamfahamu vizuri
huyo Demu hakuwahi kumiliki hata daladala 1
zote zilikuwa za bwana wake alikuwa anaitwa MAISHA ni KIJANA mdogo alimzidi umri na hata MASHUJAA haikuwa BAND yake ni ya huyo JAMAA
sema alikuwa anapaishwa tu MAGARI yale kupigwa machata ya MAMAA SAKINA na kutajwa sana na TWANGWA PEPETA
huyu MAMAA SAKINA mzaramo NYUMBA yao BARADHANI ndio ilikuwa maskani ya CAMP ya VINGUNGUTI TIMBALAND wazee waniambieeeee edhi hizo wakipiga simu Kwenye kipindi cha AFRCA BAMBATAA edhi ya AMINA CHIFUPA

alimloga huyo jamaa akawa hasemi chochote kwa huyo mama
ni noma
 
huyu merey balhabou kuna MISS TANZANIA wa miaka iliyopita mdogo wake wa damu kabisa alikutwa kafia kwenye SWIMMING POOL ya nyumba yake
sema ile kipindi kile jamaa alikuwa yupo VIZURI ishu ikahisha kimya kimya
Alikuwa vizuri au Serikali ilikuwa dhaifu?
 
Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.

Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.
Le Mutuz hayumo katika ile orodha ya mapedeshee wa mjini na wala hajawahi kuimbwa au hata kuziona hizo bendi za Wakongo enzi za kutajana majina ila ndugu yake ndie alikuwa maarufu Ipi (Ipyana)Malecela, enzi hizo jamaa alikuwa hayupo nchini na hakuna aliyekuwa anamjua, Le Mtuz ni sawa tu na akina Jack Pemba ni wa jana na hawana umujini tunaousema.
 
Kuna Mzee mmoja mmasai alikua chuga,pesa alikua nayo yakutosha sana,alikua ana miliki timu ya mpira wa miguu ya Parison ya Arusha,Mzee alikua anapanda juu ya ghorofa anaanza kugawa pesa! Sasa hivi sijui yuko wapi,pesa ilikata!

Mwanza kulikua na Pedeshee Mteka teka, Mhasibu wa Polisi Mwanza,jamaa alikua anakula wanawake balaa
Huyo alishachoka mpka anakufa alikua kabaki na hotel ya pallson tu,toka ainunue mpka leo haijawahi kupigwa rangi au kufanyiwa matengenezo...alifariki kma sikosei 2019
 
Asha kweli alipambana sana kuhusu twanga,wakati wa show kuna wakati alikuwa anakomaa mlangoni,vingilio
Mimi mwenyewe twanga nlikuwa mdau kwelikweli
Bendi ina raha yake bana

Ova
Asha mwanamke wa shoka alisimamia bendi za kaka yaka Baraka Msilwa,kuanzia MK Ssound ,bendi aliyoanzisha baada ya Boziana kuja na wakongo akina Elyston Angai, Dodoo la Buche na kama sikose Nyoshi, baadae wakawa na MK Beats wana Tukunyema chini ya Shem Karenga ila bendi yao ya kwanza ni hii African Stars ilianza na akina Mafumu,Andy swebe halafu wakaja akina Mponda ,Banza stone Masanja(Mzee wa ''Uro'')
 
drc ndio nchi inayoongoza kuwa na mapedeshe maarufu wanaotajwa sana katika nyimbo za rhumba.

nje ya umaarufu wao, watu hawa ni matajiri kwelikweli. wameendelea kabaki ktk himaya zao za utajiri kwa muda mrefu.

hapa nazungumzia majina ya watu wazito kama adam bombole, tchatcho mbala, moise katumbi chapwe, mamaa tabou fatou na wengineo.

miaka ya hivi karibuni pale kinshasa ameibuka kijana mmoja wa kiarabu mwenye asili ya lebanon anayekwenda kwa jina la abed achour.

abed ni kijana tajiri sana, amekuwa msaada mkubwa ktk kuwapromote na kuwawazesha baadhi ya wanamuziki vijana wa mziki wa rhumba.

jina lake linaimbwa sana siku hizi.huyu hapa ktk video.


View attachment 2273822
Diddy Kinuani aliimbwa sana kwenye Albam ya NDOMBOLO 1997: Wenge Musica BCBG
 
last week nilipita ile mitaa, aisee mitaa imepooza sana. zile mishemishe za miaka ile hakuna tena.zile vurugu za mission town hazipo tena.

nadhani imetokana na mji kutanuka na kusambaa kwa kuduma za kiserikali mpaka huku chini kwenye kata.

siku hizi baadhi ya huduma sio lazima uzifate mjini posta kama zamani. hususan huduma za kupata vibali, leseni za biashara, passport nk. kila kitu kinapatikana kwenye ngazi za wilaya.
Mambo yameenda kwa kasi sana,siku hizi unalipa bili /ankara kwa control number ule udalali wa viwanja hewa pale City hall ulisha siku nyingi, teknolojia imeharibu sana dili za watu kwani enzi za makaratasi ndio watu walikuwa wanapiga pesa kweli,ukiwa na kesi unahonga tu masjala faili linachomolewa na kesi kwisha, pia ujio wa mwamba Jiwe ambaye alisema hadharani kwamba kama huna kazi mjini inabidi urudi tu kijijini ukalime, mitaa ya posta na viunga vyake imedorora ,mitaa ya pale Billicanas ya Mbowe ndio palikuwa kilinge kikuu cha nyaraka magumashi, ukitaka paspoti, kitabu cha ubaharia,hati ya kuzaliwa, digrii na bank statement (hizi zilikuwa almasi hasa ukitaka kuingia ubalozini kwa ajili ya viza) na zamani ubalozi wa Uingereza ulikuwa pale karibu kabisa na mzunguko wa sanamu la Bismini, he kustuka Jiwe kaingia kila mianya ikaanza kufungwa mara eh tunahamia Idodomya mara eh sasa mambo yote Mlimani city mara eh pasiport za kielektoniki basi kama alivyosema mwamba Jiwe ikabidi watu warudishe majeshi ingawa sasa kuna dalili za kurudi tena zama za kulamba asali. Mliowahi kuomba viza ubalozi wa Uingereza miaka ile mnamkumbuka mama wa kihindi ambaye yeye alikuwa anatoa tu viza kwa wahindi wenzake, pia pale ubalozi wa bwana mkubwa kuna jamaa mmoja alikuwa poa sana watu walikuwa wanamfuata kwenye kinywaji kule Masaki anakwambia njoo kesho uchukue viza yako, mambo yalikuwa moto sana miaka ile kabla ya Osama hajaharibu dunia.
 
Huu uzi mwandishi atakuwa na IQ nzuri.

Hapa JF unatakiwa upewe hata mji kama ile mitaa ya Nape.

Papaa Mutarika Mzee wa Mambo mengi:

Huyu brother wa umri wa akina papaa Msofe.

Ni wa Tunduma alikuwa mwajiriwa wa TRA na mke wake fundi cherehani.

Upapaa wake ni kama uliisha baada ya ajira ile kukomeshwa, umaarufu ulimponza.

Uzi mzuri sana huu.
Du unamjua vyema mtalika ni jamaa yangu alikuwa songea kabla hajaamishiwa tunduma nadhani kwa sasa yupo kwao nyangao lindi kama sijakosea
 
Asha mwanamke wa shoka alisimamia bendi za kaka yaka Baraka Msilwa,kuanzia MK Ssound ,bendi aliyoanzisha baada ya Boziana kuja na wakongo akina Elyston Angai, Dodoo la Buche na kama sikose Nyoshi, baadae wakawa na MK Beats wana Tukunyema chini ya Shem Karenga ila bendi yao ya kwanza ni hii African Stars ilianza na akina Mafumu,Andy swebe halafu wakaja akina Mponda ,Banza stone Masanja(Mzee wa ''Uro'')
Asha akukuwa sharpsharp tokea yuko NIC kama sijakosea,maana alikuwa active sana pia na kucheza netball
Na ligi zao

Ova
 
Back
Top Bottom