Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Ubalozi wa marekani alikuwepo mama mmja anaitwa nafisa,alishawahi kuninyima visa
Ila nkaja pataga..round ya pili
Baada ya ubalozi kuhamishia kwa muda nyuma kule ya ubalozi wa Swiss
Nakumbuka wakat naenda sugu naye alikuwepo
Yule mama alikuwa mkuda sana,sema nlichonga na kupanga dokomaa hakuchomoaa kidume huyo ndani ya dc,cleverly md,nlisafisha macho

Ova
 
Ndie alikua mmiliki wa Extra bongo au?
EXTRA BONGO choki aliyewezeshwa na mdada fulani hivi alikuwa demu wake
huyo mdada alivyofiwa na mumewe alimuachia pesa nyingi na mari na BIASHARA
pesa za huyo dada ndio zilizokuwa zinamtia KIBURI CHOKI mpk akaazisha BENDI
yule mdada akafariki mari zake zote ndugu wakaziichukua CHOKI akayumba
inasemekana akaachiwa GITA LA DARI KIMOKO na huyo mdada
mana mmewe huyo dada alikufa kwa GITA LA DARI KIMOKO na huyo dada pia hivyohivyo sasa unadhani GITA LA DARI KIMOKO(in GENTAMYCINE voice) CHOKI nae akurithishwa kulichalaza

mdhamini wake kafa CHOKI maisha yakamshinda BONGO akakimbilia MWANZA

unaambiwa huyo DADA alimpenda CHOKI kinoma mpaka anafariki CHOKI yupo pamoja nae
hii pia ya upendo ilimuathiri pia CHOKI ukiachana na pesa mana huyo dada alikuwa na mapenzi ya dhati kwa CHOKI
 
Yah twanga tulikuwa tunaingia bure
Ilikuwa bendi yangu kubwa,nikiwa mjijini nlikuwa sikosi

Ova
 
Ukiachana na ASHA BARAKA mwenyewe kuna yule dada anaitwa LUIZA NYONI huyu dada alitoka nayo TWANGA MBALI sana
licha ya kuwa mnenguaji pia likuwa kama mpishi
anakwambia some time hata pesa ya kula kambi tabu inabidi atoke na vitu kama mafuta mchele nk NYUMBANI ili wakifika kambini wapike wale
EDHI HIZO ASHA anafanya kazi serikalini akitoka job jioni ndio anapitia KAMBI kama kapata CHOCHOTE kitu anawaachia wanamuziki
edhi hizo ndio kachukua jukumu la hiyo band mana ndugu zake waliona miyeyusho yeye akakomaa nayo hvyohvyo
 
Asha kweli alipambana sana kuhusu twanga,wakati wa show kuna wakati alikuwa anakomaa mlangoni,vingilio
Mimi mwenyewe twanga nlikuwa mdau kwelikweli
Bendi ina raha yake bana

Ova
BANZA alivyoondoka TWANGA wadu tukajua TWANGA itakufa aisee kumbe Ndio kwanza kunakucha BAADA mtu badi CHOKI kuchukua USUKANI
asikeambie mtu CHOKI alitupa raha twanga ilikuwa hatari sana TWANGA ikipiga MANGO GARDEN
 
Zamani nliuza sana sim za mkononi mitaa ya azam na salamander
Na sim nliwauzia sana mashuwa
Mabosi wa bandari,tra,mapolisi yaani vurugu mechi
Nlitengeneza sana faida kwenye sim
Mitaa ya azam kulikuwqga na fundi sim maarufu sana anaitwa yahaya hata solo thang alimuimba kwenye ngoma yake ya sim yangu,nkiwa na sm kimeo tunampelekea yahaya

I Ikajaga michongo ya international call kupiga mizazabe ttcl [emoji1]
Vijana wengi walingia
We kazi yako kuwaunganisha watu tu wanaongea nakumbka wateja wengi walikuwa wadosi tena wale heavyweight,we ukimaliza unapitia mpunga wako tu makwao

Sasa wakat wao wanaongea we maongezi yao unasikia yaani wanongea dili mwanzo mwisho
Hiyo ilinifanya nkajuana na wadau wengi,nakumbka nlipataga msala
Tuko kitega uchumi juu tukaisha
Kesi uhujumu uchumi lkn tulimaliza
Na sikutaka tena masuala hayo

Sasa sahv teknolojia imerahisisha mambo zamani kupiga sim nje mtihani

Ova
 
Alikuwepo yule jesca
Alikuwa smart sana alikuwaga
Na bwana mzungu

Ova
 
Luiza alikuwa machine
Sema mm bado naliaga na aisha

Ova
 
hahaha kama nawaona vile vijana wa kaunda suti black eagle wakiperuzi hizi nyuzi ku unlock code wapate historia ya namna hela ilikua inatafutwa na kutumiwa.
2015 kama membe angemrithi mzee wa msoga basi hali ya mishen town, muziki, starehe trend ingekuwa juu sana..sababu hivyo vyote vinahusiana.

magu alifanya mapedeshee wakimbilie kununua mapori mabwepande wakajenge kujistiri plus mixer ufugaji..
walioshindwa kusoma alama za nyakati either kukubali life linachange ndo hao mara kakamatwa na kete, mara kakamatwa kampiga mzungu jiwe, duh.
 
Yeye ndio kachapia, hao mapacha wote walifanya kazi hiyo kwa pamoja wakiwa pale ofisi za trafiki kwa nyuma kipindi hicho RTO ni Mkwama. Dotinata akachangamka zaidi na kuinyanyua biashara yao.
ndio maana nimemtega kwa kumuuliza kuhusu mmiliki wa dotnata decoration.naona kakaa kimya kutoa jibu.

hii dotnata docoration ilikuwa inatumika kupiga mishe zote za upambaji kwenye masherehe sambamba kutoa huduma za catering. supervisor mkuu alikuwa ni dotnata mwenyewe.

familia yangu ilishawahi kumpa tenda ya upambaji na catering kwenye harusi mbili za ndugu zangu na malipo alikuwa anapokea dotnata mwenyewe.
 
Kulikuwa na daladala zinaitwa Madinda Trans je zilikuwa zake? Halafu jamaa nadhani alishadanja. Aliwahi kuishi na Aisha Mbegu (Aisha Madinda) ila walikuja kuachana
Aisha alipoachana na fikiri
Ndy akaenda kwa jamaa mmj anaitwa
Ibra alikuwa pusha huyo ndy alimuingiza aisha kwenye madawa
Walikuw wanajifunngia ndani ni kuvuta na kufany mambo mengine

Ova
 
Sasa michongo,idea yote ya mjini watu waliyopo kwenye taasisi za serikali wao ndy wanawapa watu

Ova
 
Umewasahau wezi wa kutumia funguo....wezi hao wanatia Tim mpk
Mahotelini wakat mwingin walikuwa wanasafiri mpk nje ya nchi,dah
Nao walisumbua sana

Ova
 
Sasa michongo,idea yote ya mjini watu waliyopo kwenye taasisi za serikali wao ndy wanawapa watu

Ova
yeah uncle wangu rip ndo zilikua mishe zake, yeye mtu wa nje lakini ndo anadirect mtu wa wizarani kama fungu liliwe au la moto limetegeshwa hahaha.. kipindi hicho hamna control number kaka..risiti za njanoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…