mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Inasemekana ni mke wa waziri mkuu wa Israel yule aliyekuwa kwenye koma mda mrefu ndio aliingizwa mjinimichongo yote ambayo hawa mapedeshe na wajanja wa mujini wa zamani walikuwa wanapiga ilikuwa inafahamika vizuri tu na vijana wa Tiss.
shida ni kwamba kwa utawala ule wa JK ilikuwa hakuna mtu wa kumfunga paka kengele kwasababu the whole system was corrupt.
halafu hawa mapedeshee kwa kugundua weakness hiyo, wakajipenyeza mpaka kwa wakubwa wa hao vijana wa Tiss na jeshi la polisi. wakipiga madeal yao, mgao ulikuwa unaenda kwa wakubwa.
kwa mfano afande alfred tibaigana wakati huo akiwa RPC wa dar es salaam, alifaidika sana na matukio ya upigaji ya papaa msofe.
kuna kisa kimoja niliwahi kusimuliwa, msofe aliwapiga waisrael mamilioni fedha baada ya kuwauzia almas fake.
wale waisrael walihangaika sana kutafuta haki yao. hilo suala lilipofika mezani kwa tibaigana likafia hapo. jamaa wakarudi kwao kichwa chini.
Kutokana na wao kuja kimagumashi msala ukawa hauna nguvu sana kwa kuchafua reputation ya nchii
Pia kuna wakili mmoja ndio alikuwa nyuma ya kina msofe ku endooze stamp na signature
Currently huyu wakili alisha rudisha namba kwa sir GOd