Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Alimwimba Hidaya. Nakumbuka alipokuja Arusha mara ya kwanza Pajero ya Hidaya ndo ilienda kumchukua KIA, enzi hizo Pajero ndo gari Bomba. Na hapo ndo alimwona Hidaya enzi hizo akiwa na "wowowo" kuliko demu yoyote chuga, alikua mweupeee, alivaa "mbera":za kutosha, Yani dhahabu zimemjaa kiunoni, masikioni na kifuani. Alikua na hela zake na migod ya Tanzanite. Unawajua wacongo wanavyopenda wanawake wa hivyo, na ule ukarimu aliopewa ndo akaamua kumuimbia wimbo Hidaya.

Nakumbuka aliporudi Tena pale stedimu alipiga huo wimbo na alimwita Hidaya pale mbele.

JOSEPHU KABASELE YAMPANYA ALIMWIMBIA HUO WIMBO HIDAYA MWANAMUKE WA OLOLOO HAPO CHUGA
 
Kweli kabisa
 
Pia atuambie alifanyaga nini na samwel etoo, watu Wana madudu matamuu
 
Pia atuambie alifanyaga nini na samwel etoo, watu Wana madudu matamuu
Hilo la eto hata asipotuelewesha maana linafahamika utadhan walifanyia uwanja wa mkapa!
....mlioko mjini hivi siku hizi homa ya jiji ni nani mana ni kama maisha yamesinyaa! Ni kama watu wengi hawaishi bali wanapatikana dunian!
Au bas miundombinu imedhibiti uwepo wa mzuri wa jiji maalum. wengi wamekidhi vigezo. Hakuna kibarua kigumu siku hizi mtu akutume umletee mwanamke mbaya jijini! Itabid upande bas kumsaka kishapu
 
Juma Kapuya alikuwa ni mbunge wa Kaliuwa Tabora, amewahi kuwa waziri wa wizara ya kazi, jamaa ni Profesa pia na ndiye mmiliki wa Akudo band.

Tanzania one Mohammed Mwameja amekula sana fadhira za huyu mzee mnazi wa Simba, nahifadhi privacy.
Waziri wa elimu na mtihani 7kavuja nchi nzima 1998 hiyo.Mzee alioa kabinti juzi hapa.
 
Hemed bakayokoo hakufa na corona kweli? Kuna mmoja niliona kafa na bacongo waliumia sana
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Askofu wa kwanza...
 
Zilipunguaga, na alikwishafariki. Aliitwa pedeshee Askofu
 
Madilu system kwenye nyimbo yake moja hivi inaitwa KUPANDA alimtaja
 
Umenikumbusha mpaka hapa namsikiliza marehemu_kupanda madilu
 
Umemsahau JACK PEMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…