Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Wakati Mustahiki Meya wa Jiji Allan Mulumba Kashama anatuchezesha Dar es salaam kibinda nkoyi ndani ya Silent in Mwenge ulikuwa darasa la ngapi?
Unamjuwa Joseph Rwegasira?
Joseph Rwegasira kaokoka nowdays
 
Umesema kweli kabisa mkuu! Wanamziki wengi sana wa Congo hua wanataja majina ya watu maarufu! Kuna wimbo mmoja nadhani ni Masuwa wa JB Mpiana,kuna sehemu anamtaja mtoto wa Mobutu,nadhan anaitwa Joseph aka Sadam Sele,ukisikiliza vibaya unaweza sema anamtaja Sadam Hussein aliyewahi kua Rais wa Iraq
Ndio Jose Kongolo"Sadam Hussein"
Wao wanasema Sada misele kwa lafudhi yao
 
Ndio Jose Kongolo"Sadam Hussein"
Wao wanasema Sada misele kwa lafudhi yao
hapana sio kweli, tusichanganye madesa. jose kongolo na sadam hussein ni watu wawili tofauti.

Najikita kumuelezea zaidi Jose Kongolo.
Jose Kongolo ni mwanamama maarufu wa kicongo na mfanyabiashara anayemiliki mgahawa mkubwa na lounge jijini paris, pia ni mdau mkubwa wa mziki wa rhumba.

jina lake limetajwa sana na wanamuziki wa kicongo wakitamka "JOSÉ KONGOLO FBI MIBEKO LA LOI".

wengi kwa kutokujua wemekuwa wanachanganya jina lake na jina la Kongulu Mobutu "Sadam Hussein", ambaye alikuwa mtoto wa Mobutu Sese Seko.

mgahawa anaoumiliki huyu mama umekuwa ni meeting point ya wacongo wengi ndani ya ufaransa.

kwanini wanamuita FBI mibeko la loi au kwa kiswahili FBI wa Yesu?(wanaojua kikongo vizuri watasaidia kutafsiri). ni kwasababu Jose Kongolo ni born again christian au tuseme mlokole.

licha ya kwamba ni mfanyabiashara, pia ana miliki kanisa lake pale paris. kanisa hili limekuwa msaada mkubwa kwa vijana wa kicongo waliopoteza matumaini ya kimaisha ndani ya ufaransa na nchi nyingine za europe.

yeye huwapokea, huwafanyia counseling, huwapa chakula,maradhi, hawachangia michango mbalimbali ya kibinadamu na baadae huwashawishi waokoke.

baadhi ya wanamuziki wameokoka baada ya kushawishiwa na huyu mama. wengine huwa wanaendelea na career yao ya mziki huku yeye akiendelea kuwapa support.

hapo ndio umaarufu wake unapokuja na ndio maana jina lake linatajwa sana na wanamuziki wa rhumba

kuhusu Kongulu Mobutu "Sadam Hussein".
Kongulu Mobutu almaarufu sadam hussein, huyu sitaki kumuelezea kwasababu hapa JF zipo nyuzi kadhaa ambazo amezungumziwa kiundani. ni wewe tu kuzipitia ili kuongeza knowledge.

nakuwekea link hapa chini:
Mjue Saddam Hussein wa Zaire

Fahamu machache kuhusu special presidential division: Kikosi maalumu kilichomlinda Mobutu Seseseko enzi za utawala wake

katika picha huyu ndio mamaa JOSÉ KONGOLO FBI MIBEKO LA LOI.
InShot_20220704_081654778.jpg
 
Umenikumbusha kwenye nyimbo nyingi za marehemu Madilu System, amemtaja sana Pedeshee Emmanule Sammuele.... Mpaka Kuna wimbo nadhani unaitwa hivyo... Naupenda sana wimbo huu.....

manuele samuele ni jina la mtu, madilu alilitumia kama title kwenye wimbo wake. binafsi sina information kuhusu profile yake
 
isiaka kibene mzee wa dubai
alisharudisha number kwa sir God. may his soul rest in peace. aliimbwa sana na akina moshi william na mzee gurumo.

alikuwa ni mtu wa watu, enzi za uhai wake niliwahi kufika kwake pale mwananyamala, mwinyijuma road.
 
Mm nimesoma shule ya msingi kimara baruti nilimaliza 2002 mwalimu mkuu alikua Evodius Kanyaiyagingiro
Hahahah basi kimara baruti tumekutana nao sana kwa shabani ngalawa aka kiroba[emoji2] tukipiga pepa.

Ukitoka na banda la hesabu unachukua buku la enzi zile na pepa ijayo unagonga bure.

Mimi nimepiga ssna pepa kule,kwa ibunga mabibo, msimbazi centre, ali hassani mwinyi, ilinifanyi nikatoa VII enzi zile shule za kata hazipo hapo dar.
 
Umemsahau Papaa Shabani Ngalawa (R.I.P). Huyu alikua mwalimu mzuri wa tution miaka ya 1995-2001 hizi za shule ya msingi. Miaka ambayo mtaa mzima unakuta waliofaulu la saba ni wawili au hakuna na katika hao waliofaulu wote walisoma tution kwa huyu mwalimu shabani..

Nakumbuka alichukuaga mkopo wa milioni 200 lengo likiwa kujenga shule yake binafsi maeneo ya kibamba. Akaweka rehani nyumba na shamba lake. Mwisho wa siku pesa zote zikaishia kuwatunza akina ally choki na mwinjuma muumini ktk mabendi na nyingine akanunulia toyota baloon. Benki ikaja ikapiga mnada nyumba na shamba wakamfilisi mazima.

Alitajwa sana kwenye nyimbo za Mwinjuma hasa ile ya Kilio cha Yatima. Alikuja kuugua mda mrefu na aliisha akawa kama mtoto. Amefariki akiwa hana hata pa kulala. Sad!
Sio huyu alikuwa anaitwa "mwalimu kitabu"?
 
Umesema kweli kabisa mkuu! Wanamziki wengi sana wa Congo hua wanataja majina ya watu maarufu! Kuna wimbo mmoja nadhani ni Masuwa wa JB Mpiana,kuna sehemu anamtaja mtoto wa Mobutu,nadhan anaitwa Joseph aka Sadam Sele,ukisikiliza vibaya unaweza sema anamtaja Sadam Hussein aliyewahi kua Rais wa Iraq
"Saaadam Hussein paapa, cavalier solitaire eeh, tumba masikini eeh, cavalier solitaire eeh". Mkono matata Sana huu featuring Papa Wemba (R.IP).
 
Mm nimesoma shule ya msingi kimara baruti nilimaliza 2002 mwalimu mkuu alikua Evodius Kanyaiyagingiro
Aisee! Umenikumbusha mbali sana. Early 90's hiyo alijiunga primary niliyosoma, alikuwa anatembeza stick sijawahi ona. Hatari Sana.
 
Mtawali-Yadi yake ya Magari inatazamana na Ostabay Police- alikuwa matata kwa totoz! Ila aliwai kutwa na skendo ya kufumaniwa na mke wa jamaa mmoja hivi ambae nae alikuwa mtoto wa Mujini .Ilimfanya siku moja anunue magazeti yote yaliokuwa na hii storyNchi nzima?? Ilikuwaje?? Siku nyingine[emoji23]
Daahh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kizaizai naona hali si nzr sahv
Ashukuru Ana kibanda kigamboni
Alafu kizaizai kama anajua kusoma
Na kuandika labda atakuwa amejifunza sahv

Ova
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom