Joseph Rwegasira kaokoka nowdaysWakati Mustahiki Meya wa Jiji Allan Mulumba Kashama anatuchezesha Dar es salaam kibinda nkoyi ndani ya Silent in Mwenge ulikuwa darasa la ngapi?
Unamjuwa Joseph Rwegasira?
Ndio Jose Kongolo"Sadam Hussein"Umesema kweli kabisa mkuu! Wanamziki wengi sana wa Congo hua wanataja majina ya watu maarufu! Kuna wimbo mmoja nadhani ni Masuwa wa JB Mpiana,kuna sehemu anamtaja mtoto wa Mobutu,nadhan anaitwa Joseph aka Sadam Sele,ukisikiliza vibaya unaweza sema anamtaja Sadam Hussein aliyewahi kua Rais wa Iraq
Mkuu hivi macheni bar ilikuwa huku mapipa Morogoro Road au kule mikumi?Uzi huu pia umemsahau baharia mzoefu handsome marehemu Hussein Macheni wa Macheni Bar pale migomigo
hapana sio kweli, tusichanganye madesa. jose kongolo na sadam hussein ni watu wawili tofauti.Ndio Jose Kongolo"Sadam Hussein"
Wao wanasema Sada misele kwa lafudhi yao
Mm nimesoma shule ya msingi kimara baruti nilimaliza 2002 mwalimu mkuu alikua Evodius KanyaiyagingiroMimi nimesoma shule iko karibu na sekondari ya saranga[emoji2]
Umenikumbusha kwenye nyimbo nyingi za marehemu Madilu System, amemtaja sana Pedeshee Emmanule Sammuele.... Mpaka Kuna wimbo nadhani unaitwa hivyo... Naupenda sana wimbo huu.....
alisharudisha number kwa sir God. may his soul rest in peace. aliimbwa sana na akina moshi william na mzee gurumo.isiaka kibene mzee wa dubai
Hahahah basi kimara baruti tumekutana nao sana kwa shabani ngalawa aka kiroba[emoji2] tukipiga pepa.Mm nimesoma shule ya msingi kimara baruti nilimaliza 2002 mwalimu mkuu alikua Evodius Kanyaiyagingiro
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]Umetisha watoto wa mjini tunawaelewa hao Sema sshv wametulia
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sio huyu alikuwa anaitwa "mwalimu kitabu"?Umemsahau Papaa Shabani Ngalawa (R.I.P). Huyu alikua mwalimu mzuri wa tution miaka ya 1995-2001 hizi za shule ya msingi. Miaka ambayo mtaa mzima unakuta waliofaulu la saba ni wawili au hakuna na katika hao waliofaulu wote walisoma tution kwa huyu mwalimu shabani..
Nakumbuka alichukuaga mkopo wa milioni 200 lengo likiwa kujenga shule yake binafsi maeneo ya kibamba. Akaweka rehani nyumba na shamba lake. Mwisho wa siku pesa zote zikaishia kuwatunza akina ally choki na mwinjuma muumini ktk mabendi na nyingine akanunulia toyota baloon. Benki ikaja ikapiga mnada nyumba na shamba wakamfilisi mazima.
Alitajwa sana kwenye nyimbo za Mwinjuma hasa ile ya Kilio cha Yatima. Alikuja kuugua mda mrefu na aliisha akawa kama mtoto. Amefariki akiwa hana hata pa kulala. Sad!
"Saaadam Hussein paapa, cavalier solitaire eeh, tumba masikini eeh, cavalier solitaire eeh". Mkono matata Sana huu featuring Papa Wemba (R.IP).Umesema kweli kabisa mkuu! Wanamziki wengi sana wa Congo hua wanataja majina ya watu maarufu! Kuna wimbo mmoja nadhani ni Masuwa wa JB Mpiana,kuna sehemu anamtaja mtoto wa Mobutu,nadhan anaitwa Joseph aka Sadam Sele,ukisikiliza vibaya unaweza sema anamtaja Sadam Hussein aliyewahi kua Rais wa Iraq
Ilikuwa hapo mapipa barabaran kabisaMkuu hivi macheni bar ilikuwa huku mapipa Morogoro Road au kule mikumi?
Aisee! Umenikumbusha mbali sana. Early 90's hiyo alijiunga primary niliyosoma, alikuwa anatembeza stick sijawahi ona. Hatari Sana.Mm nimesoma shule ya msingi kimara baruti nilimaliza 2002 mwalimu mkuu alikua Evodius Kanyaiyagingiro
Daahh [emoji16][emoji16][emoji16]Mtawali-Yadi yake ya Magari inatazamana na Ostabay Police- alikuwa matata kwa totoz! Ila aliwai kutwa na skendo ya kufumaniwa na mke wa jamaa mmoja hivi ambae nae alikuwa mtoto wa Mujini .Ilimfanya siku moja anunue magazeti yote yaliokuwa na hii storyNchi nzima?? Ilikuwaje?? Siku nyingine[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pedeshee Samia, mama ya kodi.
Aiseee , huyu ndiye alikuwa na Kampuni ya Aurora??Nani anamkumbuka pedeshee Ali Aurora? Maisha ya huyu jamaa yalitawaliwa na visa vingi vya utapeli na dhuluma.
Halafu akaja kufariki kwa maradhi yaliyomtesa sana. Inadaiwa aliowadhulumu walimpiga "msumali".
[emoji16][emoji16][emoji16]Kizaizai naona hali si nzr sahv
Ashukuru Ana kibanda kigamboni
Alafu kizaizai kama anajua kusoma
Na kuandika labda atakuwa amejifunza sahv
Ova
Yap ndo mwenyewe- aliwapiga Wasomali wakamtengeneza .Aliteseka sana mpaka umauti unamkutaAiseee , huyu ndiye alikuwa na Kampuni ya Aurora??
First lady of FM ACADEMIA, alifariki nadhani huyu dada (sina uhakika)mirayesa alikuwa muimbaji pekee wa kike kutoka fm academia