Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 468
- 1,116
BotanyNaomba kujua Professor Kapuya ni Professor wa nini hapa nchini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BotanyNaomba kujua Professor Kapuya ni Professor wa nini hapa nchini?
AsanteNi "RUKIA JAMES Tén Déux Liönes"
Advocate Nyombi sijamuona kwenye orodha.Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes.
Huu uzi ni wa sisi ma-seniors, maudhui yake yatagusa zaidi vijana wenzangu ambao maturity liwakuta kuanzia late 90s to early 2000s.
Mwaka 2002 mpaka 2012, mziki wa dansi ulikuwa upo kwenye prime time.
Kwa uchache tu, band zilizotamba ni FM Academia, Akudo Impact, Twanga Pepeta na Diamond Musica. Zingine zilikuwa zinaibuka na kupotea ndani ya muda mfupi.
Umaarufu wa hizi band ulienda sambamba na trend ya wanamuziki kutaja majina ya baadhi ya watu kwenye mashairi yao.
Majina ya hawa watu yalivuma na kuwa maarufu kuliko sura zao kwasababu miaka ile kulikuwa hakuna social platform za ku-share picha na video kama ilivyo hivi sasa.
Kutokana na kujichanganya kwangu ukijumlisha na ujanja wangu wa kimjini mjini wa miaka ile, nilifanikiwa kufahamiana na baadhi mapedeshee au wazee wa mujini ambao majina yao yalikuwa yanatajwa kwenye mziki wa dansi.
Nitataja ninaowakumbuka na wewe ongeza wa kwako.
Naandika majina yao kama yalivyokuwa yanatamkwa kwa mbwembwe na wanamuziki.
Kwa mfano kama mtu alikuwa anaitwa John, wanamuziki walikuwa wanatamka papaa John Young Millionaire Muzee ya ma-Range Rover[emoji3][emoji3].
Haya twende kazi:
Pedeshee Mychoice na kati ya Mbeya:
huyu sijui alikuwa anapiga mishe gani huko Mbeya, watu wa Mbeya mtatusaidia.
Braza K na kati ya Tunduma:
Watu wa Tunduma mtatusaidia kutujuza kuhusu huyu jamaa, alivuma sana.
Mamaa Rukia Soloon:
Huyu bibie namfahamu, ana saloon yake ya kike mitaa ya Mikocheni barabara ya Rose Garden. Those days she was very pretty, kwa sasa utu uzima umemchukua.
Mamaa Dotnata Decoration:
Bila shaka wengi mnamkumbuka, aliwahi kuwa muigizaji maarufu kupitia ITV, baadae akaingia kwenye ujasiriamali wa kutoa huduma za decoration and catering. shughuli hizi zilimpatia mafanikio sana. sijui kwa sasa yupo wapi huyu mama. FM Academia waliwahi kumtungia wimbo wenye jina lake.
Mamaa Juddy Moshi:
Alikuwa mmiliki wa band ya Daimond Musica kwa financial support ya mshua mmoja ambaye alikuwa ni MD wa Yellow Pages, watu wa zamani wanaelewa. Juddy alikuwa mrembo si kitoto, kwa sasa umri wake umesonga mbele.
Pedeshee Akayesu Ndama Mutoto ya Ng'ombe:
Sina haja ya kumuelezea, ni mtu maarufu wa misimu yote. Wajanja wa mujini watamuelezea zaidi. Jina lake lilitajwa sana kwenye nyimbo za dansi zilizovuma.
Young Millionaire Bill gate Muzamir Katunzi:
Christian Bella aliwahi kutunga mpaka wimbo wenye jina hilohilo la Muzamir Katunzi. I don't know him personally, but it's told he was financially successful.
Papaa Msofe Chuma cha Reli hakishiki Kutu.
Sina haja ya kuandika mengi kuhusu umaarufu wa Papaa Msofe. Itoshe tu kusema jina lake liliimbwa sana halafu ni wachache waliokuwa wanajua sura yake. Walianza kuiona kwenye media alipokuwa anahudhuria viunga vya mahakama kujibu kesi yake.
Papaa Martin Kasianju.
Ni marehemu kwa sasa, huyu mshua ndio alikuwa mmiliki wa Band ya FM Academia. Nilikuwa namfahamu personally. licha ya kwamba alikuwa ni mjasiriamali na muajirwa Serikalini, pia alikuwa ni Senior Officer wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Andrew Traders na Kariakoo Big Supply: Jamaa alikuwa ni mfanyabiashara wa kuuza tairi za gari Mtaa wa Agrey Kariakoo huku akipiga michongo yake ya "general supply". Watu wa mujini wa zamani wanaelewa vizuri maana ya kampuni kusajiliwa kwa jina la general supply. Katika biashara ya kuuza tairi, alishirikiana na kaka yake, ila yeye akawa maarufu zaidi na akaaminika na wadau.
Kinje Mutoto wa Mujini:
Najua wengi mnamfahamu na zile deal zake alizokuwa anapiga. sina haja ya kumuelezea zaidi.
Pedeshee David Kabunga:
Sifahamu alikuwa ni nani, jina lake lilikuwa linatajwa sana.
Papaa Ally Kileo:
He was a prominent lawyer in town, jina lake lilikuwa linatajwa sana kwenye nyimbo za dansi.
Papaa Mutarika Mzee wa Mambo mengi:
Binafsi simfahamu, wajanja wa mujini wa zamani watajazia nyama kumuelezea.
Chef Justice Rugaibura:
Binafsi simfahamu, wajanja wa mujini wa miaka ile watajazia nyama kumuelezea.
Chief Kiumbe le Big Boss:
Anafahamika vizuri, jina lake lilitajwa na kuimbwa sana na wanamuziki wa band. wajanja wa zamani wa mujini watajazia nyama kumuelezea
Papaa Amos Makalla mzee wa Mvomero, Babaa na Gabriele:
Kwa sasa ni RC wa Dar, jina lake lilianza kuvuma kitambo sana kabla hata hajaingia kwenye siasa.
Fikiri Madinda Mukuu wa kazi: Anafahamika vizuri, wajanja wa zamani wa mujini watajazia nyama kumuelezea
Pedeshee Abdul Mkeketa:
Huyu wakati fulani aliwahi kuwa mbunge ktk Mkoa wa Morogoro, sikumbuki ni jimbo gani. kwa sasa ni marehemu.
Charles Mutawali Muzee ya Magari.
Binafsi simfahamu, wajanja wa zamani wa mujini watajazia nyama kumuelezea.
Saidi Mukuu wa lumumba:
Jamaa alikuwa dalali wa kuuza magari pande za Lumumba.
Meddy Kitendawili....?
Ben Mulokozi....?
Salim Chicago Matelefone...?
Kizaizai....?
Omary Tolu...?
Abduli Tolu...?
Joshua Limited...?
Muddy Nyamalonda mzee wa Pamba...?
China wa China...?
Shaibu Mapajero....?
Moris Mariaga Rais wa Sinza...?
Nteze wa Nteze....?
John Nzenze....?
Papaa Madenge....?
Muddy Nyambi....?
Jimmy Chokolete....?
Note of Appreciation.
sikufikiria kama huu uzi ungepata wafuatiliaji wengi kiasi hiki. niwashukuru wote mnaoufatilia na mnaochangia maoni yenu. asanteni sana wadau.[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]
umesahau kutaja jina la Alita Tchamala.Hamed Bakayoko
Daida kodjia
Hata boda boda hazikuwepo kubeba abiriaHivi 2008 bajaj zilikjwa tayari mzee?
Umezaliwa mwaka 2010??Hata boda boda hazikuwepo kubeba abiria
Nami nakumbuka hivyo, japo kuna wadau wamesema walipanda siwezi bisha huwenda mimi ndio sikukutana nazo au kumbukumbu sina vizuri.Hata boda boda hazikuwepo kubeba abiria
Huenda kumbukumbu hana, 2008 mpaka leo ni miaka 14, yaani mimba ya mwaka huo sasa hivi anapiga NYETO 😂Umezaliwa mwaka 2010??
Kama CIA wakitaka wapitishe mambo yao wanaongea na mhusika wa siku hiyo.Licha ya ugumu kdg kwa sasa kuwepo
Na pass za sahv,lakini mwanadam hashindwi akiamua afanye jambo lake
Na jambo lolote likitaka fanyiwa lazima wahusika fulani wa kitengo hicho wanashirikishwa
Mfano labda watu fulani wanataka kutoka au kuingia Airport au border
Anaweza mtu fulani akawatoa shift fulani nankuwaingiza shift nyingine
Ilimradi watimize azma yao
Ova
[emoji119][emoji119][emoji120][emoji120]Huu uzi siyo wa wakongwe ni wa vijana wa mjini! Nimesoma kuanzia page ya kwanza mpaka mwisho. Nimejifunza mengi. Kwa upekee kabisa, shukrani kwa wahenga wenzetu mrangi Matola mfianchi Carlitos Way na wengine wengi. Heshima kwenu.
kikubwa vijana wa leo wajifunze. Babu wa leo alikuwa Kijana wa juzi. Kwa ufupi, hakuna jipya chini ya hii dunia. Na kwa wahenga, lazima tutambue siku hazigandi. Tukubali kuishi kulingana na mazingira. Kwa waliotangulia kwenye Ulimwengu wa kweli na haki, tuzidi kuwaombea pumziko la amani.
ofcourse heshima za pekee kwa Mleta mada!
tuendelee kujifunza.
Thubutu!!! Hata kukatiza kwa bahati mbaya hawezi!Ufaransa na Marekani walisanda, aliwafungulia kesi ya Madai ya kumdhalilisha kwa kukamata Mali zake akatoa ushahidi ulionyooka...wakarudisha Mali zake zote na kesi akaifuta
Sio kwelihivi ni kweli mboni alizaa na mcheza kandanda maarufu wa west africa, gorge weah/samwel eto?.
hizi habari zilikuwa zinazungumzwa sana miaka yetu ile.
MH CHENGE APATA AJALI MBAYA NA KUUA WATU WAWILI HUKU BIMA YA GARI LAKE IKIWA IMEISHA MUDA WAKE.Hata boda boda hazikuwepo kubeba abiria
kutoka maktaba....dadeki!!.MH CHENGE APATA AJALI MBAYA NA KUUA WATU WAWILI HUKU BIMA YA GARI LAKE IKIWA IMEISHA MUDA WAKE.
Mbunge wa CCM wa jimbo la Bariadi Mashariki , Mh, Andrew Chenge majira ya saa 10 alfajiri kuamkia leo amepata ajali ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Totota Hillux lenye namba za usajili T512ACE katika maeneo ya makutano ya barabara za Haillesalasie na Karume eneo la Oysterbay jijini.
Gari la Mh Chenge liligonga Bajaj yenye namba za usajili T736AHC na kusababisha vifo vya watu wawili ambao walikuwa abiria katika bajaj hiyo.
Hii hapa ni insurance ya gari la Mh Chenge, kwa muonekano inaonyesha kuwa imeisha mwaka juzi tarehe 6 Mwezi wa Aprili 2007. Sasa sijui sheria zinasemaje ukiwa umegonga na hauna insurance.
Damu iliyoganda kwenye gari la Mheshimiwa.
Chenge alikuwa akitokea maeneo ya St Peter na dereva wa bajaj alikuwa ikitokea katika ukumbi wa maisha klabu iliyopo pia oysterbay, chenge ambaye kwa sasa anashikiriwa katika mkituo cha polisi cha oysterbay wakati akihojiwa na maafisa wa jeshi la polisi wakiongozwa na Naibu Kamishina wa makosa ya Jinai DCI Peter Kivuyo alisema kuwa chanzo cha ajari ni dereva wa bajaj alijalibu kuovateki magari.
Naye mmoja wa ndugu wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la January Constantine akisema kuwa mmoja wa marehe ni dada yake ambaye alimtaja kwa jina la Beatrice Costantine mwenye umri wa miaka 38,ambaye ni mkazi wa mwanza aliuja juzi Dar es Salaam, kwa ajili ya kwenda Zanzaibar kufuata biashara ya Vitambaa ambayo ndiyo shughuli yake ya kila siku,pia aliendelea kwa kusema tukio hilo lilitokea wao wakiwa safarini kuekekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jk Nyerere wakijandaa kuelekea Zanzaibar ambapo mwenzake alitegemea kufunga.View attachment 2301493View attachment 2301494
kuna siku nikiwa mitaa ya kinondoni jamaa yangu mmoja alinisimulia namna ambavyo huyu ostaz juma na musoma alivyokuwa anaratibu michongo yake ya uganga na kuwapiga watu.Nasikitika Ostaz Juma na Musoma toka upedeshee mpaka uchawa
Yaani acha kabisa mkuu! Hii picha ni mwaka 2009! Ni zaidi ya miaka 13! Kama ni mtoto yuko form twokutoka maktaba....dadeki!!.
hizo picha inaweza sema tukio lilitokea juzi, kumbe ni miaka kadhaa iliyopita.
hii ndio maana halisi ya usemi "the internet never forgets but people do".
Hahahahaaaaa upo Sawa MkuuMkuu wizara moja wapo ni ipi hiyo wakati anajulikana yuko Tamisemi. Unaficha ficha nini sasa, ama unaona ni jambo la siri saaana.