Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Advocate Nyombi sijamuona kwenye orodha.
 
Hamed Bakayoko
Daida kodjia
umesahau kutaja jina la Alita Tchamala.
hili jina limekuwa likiimbwa na wanamuziki wakubwa wa drc tangu miaka ya 80.

hawa wa kizazi cha sasa akina ferre na fally ipupa halibanduki vinywani mwao, wanalitaja sana.

msikilize ferre gola hapa[emoji116][emoji116]
Alita | Boomplay Music

marehemu Josky Kiambukuta alilitaja sana hilo jina kwenye track yake iliyotoka mwaka 1983 yenye jina hilohilo la alita tchamala.

nataka kufahamu, influence yake ni kubwa kiasi gani mpaka wanamuziki wa drc kuamua kukutaja jina lake ktk mziki wao tangu miaka ya 80?.

mwenye data tafadhali ashushe hapa
 
Hata boda boda hazikuwepo kubeba abiria
Nami nakumbuka hivyo, japo kuna wadau wamesema walipanda siwezi bisha huwenda mimi ndio sikukutana nazo au kumbukumbu sina vizuri.

Yes, hata bodaboda sidhani, ila pikipiki za kichina zilikuwa tayari, haya ma SANLG yalikuwa tayari, nilienda sehemu moja kunaitwa mang'ula huko, mtu akivuna mpunga wake ananunua SANLG au yale masimu ya kichina yenye memorikadi na misauti mikuubwa, zilikuwa ni za TOUCH SCREEN zile, NOKIA bado anakimbiza soko na BLACKBERRY ndio zimeanza kwa huku kwetu kama sikosei
 
Kama CIA wakitaka wapitishe mambo yao wanaongea na mhusika wa siku hiyo.

Kiufupi hela ndo huongea tu
 
[emoji119][emoji119][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ufaransa na Marekani walisanda, aliwafungulia kesi ya Madai ya kumdhalilisha kwa kukamata Mali zake akatoa ushahidi ulionyooka...wakarudisha Mali zake zote na kesi akaifuta
Thubutu!!! Hata kukatiza kwa bahati mbaya hawezi!
 
Hata boda boda hazikuwepo kubeba abiria
MH CHENGE APATA AJALI MBAYA NA KUUA WATU WAWILI HUKU BIMA YA GARI LAKE IKIWA IMEISHA MUDA WAKE.
Mbunge wa CCM wa jimbo la Bariadi Mashariki , Mh, Andrew Chenge majira ya saa 10 alfajiri kuamkia leo amepata ajali ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Totota Hillux lenye namba za usajili T512ACE katika maeneo ya makutano ya barabara za Haillesalasie na Karume eneo la Oysterbay jijini.

Gari la Mh Chenge liligonga Bajaj yenye namba za usajili T736AHC na kusababisha vifo vya watu wawili ambao walikuwa abiria katika bajaj hiyo.

Hii hapa ni insurance ya gari la Mh Chenge, kwa muonekano inaonyesha kuwa imeisha mwaka juzi tarehe 6 Mwezi wa Aprili 2007. Sasa sijui sheria zinasemaje ukiwa umegonga na hauna insurance.

Damu iliyoganda kwenye gari la Mheshimiwa.

Chenge alikuwa akitokea maeneo ya St Peter na dereva wa bajaj alikuwa ikitokea katika ukumbi wa maisha klabu iliyopo pia oysterbay, chenge ambaye kwa sasa anashikiriwa katika mkituo cha polisi cha oysterbay wakati akihojiwa na maafisa wa jeshi la polisi wakiongozwa na Naibu Kamishina wa makosa ya Jinai DCI Peter Kivuyo alisema kuwa chanzo cha ajari ni dereva wa bajaj alijalibu kuovateki magari.

Naye mmoja wa ndugu wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la January Constantine akisema kuwa mmoja wa marehe ni dada yake ambaye alimtaja kwa jina la Beatrice Costantine mwenye umri wa miaka 38,ambaye ni mkazi wa mwanza aliuja juzi Dar es Salaam, kwa ajili ya kwenda Zanzaibar kufuata biashara ya Vitambaa ambayo ndiyo shughuli yake ya kila siku,pia aliendelea kwa kusema tukio hilo lilitokea wao wakiwa safarini kuekekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jk Nyerere wakijandaa kuelekea Zanzaibar ambapo mwenzake alitegemea kufunga.
 
kutoka maktaba....dadeki!!.

hizo picha unaweza sema tukio lilitokea juzi, kumbe ni miaka kadhaa iliyopita.

hii ndio maana halisi ya usemi "the internet never forgets but people do".
 
kutoka maktaba....dadeki!!.

hizo picha inaweza sema tukio lilitokea juzi, kumbe ni miaka kadhaa iliyopita.

hii ndio maana halisi ya usemi "the internet never forgets but people do".
Yaani acha kabisa mkuu! Hii picha ni mwaka 2009! Ni zaidi ya miaka 13! Kama ni mtoto yuko form two
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…