Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

na ndugu yake rose ,watoto wa oystebay police
 
Uzi huu sijaona watu wawili..
Rwegalulira ... nafikiri na mkewe Kama sikosei na kampuni Yao ya Heineken..

Halafu mishe town Rahim Zamunda ...jamaa alikuja nunua timu ya Mo dewji ya African Lyon
ila zamunda mtu mmoja mjanja-mjanja halafu smart sana.

ukimuona vile anavyojiweka rafu, nywele hachani na kile kiswahili chake cha kihaya, unaweza sema mshamba fulani hivi.

ukikaanae ukaanza kusikia story zake, ndio unajua jamaa ana mipango mingi mizuri, shida utekelezaji.

ile timu yake ya mpira african lyon sijui imefia wapi siku hizi. msimu wa 2021-2022, alipambana sana kuirudisha ligi kuu, ikakwamia ligi daraja la kwanza(first division).

yeye na alex kajumulo ni marafiki sana, nadhani tangu ujana wao wakiwa wote huko kwao bukoba na baadae wote wakaenda zao US, zamunda akarudi zake nchini. halafu nasikia jamaa ana uraia wa US, bongo anazuga tu.
 
rose aisee cjui yuko wapi?

Kajala na rose walifanya balaa msasani beach pale ktk summer jam,sisahau mbunye zote nje
Enzi hizo concert za wanafunzi zinafanyika Diamond jubilee,..... wakati wa fashion show kajala alipanda stejini alipofika katikati ya steji akavua khanga aliyojifunga kiunoni akabaki mtupu..[emoji17]..[emoji17].... ukumbi wote ulizizima.....

Naona safari yake ya kuvua nguo stejini ndio ilianziaga hapo.....ikawa kila concert lazima awepo na lazima avue nguo[emoji26]
 
Langata/club asset alishavua sana pale ilikuwa ndiyo kama style yake

Ova
 
hahahahaha nakumbuka sn
 
Wasanii wa bongofleva usiwaamini hata kidogo, huyo mmakonde hana uwezo wa kumnunulia kajala Range, hyo gari alipewa na tajiri mmoja kino mwenye yard ya magari amsaidie kumtafutia wateja.
😁😁😁 Kijana konde tangu nione amepelekwa mahakama kwa kushindwa kulipa Kodi la Ile ghorofa alilokua amepanga hua nampuuza tu akijifanya Ni don.Angekomaa na kuimba tu maana kipaji anacho.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kijana konde tangu nione amepelekwa mahakama kwa kushindwa kulipa Kodi la Ile ghorofa alilokua amepanga hua nampuuza tu akijifanya Ni don.Angekomaa na kuimba tu maana kipaji anacho.
Hivi hiyo Range aliyompa Kajala vipi??

Ile pesa aliyoambiwa kulipa Wasafi Label,sijui zaidi ya 500M kumbe zote ni kamba tu!

Hua nawaza kitu kimoja tu,kama mtu una pesa zaidi ya 500M iweje upange?? Jamani hapo dsm,kiwanja cha 30M, tena kikubwa kabisa unapata, unajenga house yako ya 200M na bado chenji inabaki
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nadhani ndio maana wakaitwa wasanii yaani Ni waongo waongo,waigizaji Maisha ,πŸ˜„πŸ˜„
 
Labda nyota kwenye mambo ya kishirikina, wanayopita kwa wataalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…