Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
na ndugu yake rose ,watoto wa oystebay policeKajala nmeanza kmjua tokea kanasoma kumbukumbu primary school...
Enzi hzo beach alikuwa na team yake wanasasambua tu,club asset pale wasasasambua sana...
Sema ndy hivyo Ana zali la watu kumzimikia...
Na maisha hya anayapenda ya spotlight .....bata
Kabla ya konde kumbuka aliolewa na smbdy faraji yule jamaa aliyekuwa na issue ya benki...na kilichomkuta nafikiri unakikumbuka...
Ova