Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Daah basketball umenikumbusha Hunter - Rip.
 
Kajala kumbe amefanya mambo nchi hii paula akasome πŸ˜€
Mitandao ya jamii ingekuwa kama sahv kipindi hicho tungekuwa tunaamka na xxx za kajala kila siku maana kama alikua anavua jukwaani ni balaaa
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Nadhani ndio maana wakaitwa wasanii yaani Ni waongo waongo,waigizaji Maisha ,[emoji1][emoji1]
Wasanii wetu ni tofauti na wasanii wa hapo Congo, wale ni matajiri kweli na wamejenga majengo ya maana na watoto au wake zao wanaishi ulaya,
Hawa wasanii wetu hua wanaact tuu lakini hawana kitu
 
Hivi huyu Andwew Fernandez yupo?? mtoto wa Kinondoni Lang'ata???
Aise hyo sijaonana naye miaka mingi sana,mara ya mwisho kumuona alikuwa amedhoofu kdg
Zaman nlipiga naye sana dili za sim za magumashi titisiel intanational calls....huyu
Ila baba yake ndiyo mshikaji wangu sana maana mpaka leo napiga mtungi
Kwenye grocery yake pale
Napo nna muda sijapita,na nkiendaga sijawahi muliza khs mwanae

Ova
 
Wasanii wetu ni tofauti na wasanii wa hapo Congo, wale ni matajiri kweli na wamejenga majengo ya maana na watoto au wake zao wanaishi ulaya,
Hawa wasanii wetu hua wanaact tuu lakini hawana kitu
Wasanii wa bongo maigizo mengi kuliko uhalisia, hebu muangalie tu huyo Uwoya anaonesha matanuzi ya mamilioni instagram lakini juzi tu kavujishiwa utupu wake, papuchi chafu utasema demu wa unga limited. Uje kwa watoto wao sasa sidhani hata kuna mtoto wa msanii wa bongo anasoma mamtoni. Huyo Diamond mwenyewe watoto wameganda South Africa, kwa mpunga wake watoto wake walitakiwa wasome high class school mamtoni. usanii mwingi sana kwa wasanii wa bongo wanasahau investment kubwa ni elimu bora kwa watoto wao ili waje wasimamie mali zao kwa weredi.
 
Hao watu mnaowataja bado wako Bongo wanapiga hela kama hawana akili. Mimi sitaki kutaja watu majina,lakini wote wako Mbezi beach. Walimkimbia Magu tu lakini bado wapo mpaka kesho
 
Watu walikausha kwasababu Makonda alikuwa anajitia kimbelembele sana. Magufuli angewadhulumu pesa zao. Si unaona Mbowe alivyolostishwa. Business kwisha
 
Unaambiwa Koffi Olomide kwake kuna petrol station yaan mafuta anaweka kwake, Fall Ipupa tajiri, Inos B kaanza juzi ila ni tajiri na fabrigas nae ni tajiri,
Familia zao zote zipo ulaya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…