Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Daah basketball umenikumbusha Hunter - Rip.Kuna watu walikuwa na uwezo sana nashangaa hawakupata nafasi NBA
Au college hko USA
Wengi waliyokuwa na uwezo walienda USA walifanya mambo mengine naona walikosa nafasi au zali huko
Hasheem thabeet nasemaga siku zote
Hakuwa mchezaji wa kikapubsema alitengenezwa ,kapata bahati kaichezea
Kuna watu walikuwa nanuwezo sana
Sema talent ilipotea tu
Ova