Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Yeah ni Sinza madukani pale opposite na vunja Bei ya sasa.. ilikua ina twiga wa sanamu na mataa (glopu za Rangi rangi) nyingi hv..

Ilipovunjwa Ambwene Yesaya (AY) akafunguaga duka lake maeneo hayo halikudumu sana sahv nimafremu kama yote.

Sinza ilikua nzuri Sana kipindi kile jamani.
 
Nachukua fursa hii kuwakumbuka watu woliotajwa na Rayvanny kwenye Natafuta Kiki.

Sina muda wa kumanisha majina yao hapa.
 
[emoji1787][emoji1787]
Mkuu nimetoka kusikiliza album ya Ferre gola ile iliweka pale juu hatari sana, nimezipenda tungo kadhaa Liberte, Pakadjuma na Chichiwash....
Jana nilipanda gari kwenda kahama aisee waliweka wimbo mmoja Werrason Ngaima " Zenga Luketo hatari sanaaa.... wenzetu wanajua kutunga, wanajua kupangilia mziki
 
ukipata mda msikilize ferre kupitia wimbo unaitwa marathon unaopatikana kwenywe album yake mpya ya dynastie.
 
Daaah umenikumbusha sana mbali nmepiga sana tuition kwa mzee mzima 'Ibunga the law' hapo mabibo... ama kwl maisha ni safari
 
Nawakumbusha sifa kadhaa za watoto wa mjini, hawana shobo na vitu vidogovidogo kama madem yaani demu unaemuona mkali wewe ulietoka shamba wao washapita nae kitambo wakikutana club ni cheers tu nakuachia njia, mtoto wa mjini mchongo wowote atakupa upambane nao lakini na wewe ukipata mchongo mpatie mtaenda sawa, mtoto wa mjini akikosa sawa akipata sawa tu maisha yanasonga, mtoto wa mjini unaweza kumtukana akakuchekea lakini revange yake hutoisahau maisha yako yote, mtoto wa mjini hata akajenge ifakara siku akirudi mjini lazima atawatafuta wanae wawili watatu awape japo tano,
 
Kuna mmoja unaitwa 100Kilo aiseee! Unaweza park ndinga road nakuanza kukata mauno!

Njoo kwa mnyama Fally Ipupa!
1. Sweetheart
2. Akabhanja
3. Associe
4. Nidja
ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo za ferre including hiyo 100 kilos, uwe ktk long drive ndani ya ndinga kali unatoka mji mmoja kwenda mji mwingine.
 
thanks God for another saturday.

ameimbwa sana na wanamuziki wakubwa wa congo dr. amesifiwa kwa sifa za kila aina,
wenge musica, jb mpiana, werrason, koffi olomide, fally ipupa, ferre gola na wengineo, mara nyingi wamesikika wakitaja jina lake kwemye nyimbo zao.

si mwingine, ni mwana dada maarufu zaidi congo dr, mfanyabiashara/tajiri Tabu Fotou aka sherry, aka top model

mcheki kwenye video.
Your browser is not able to display this video.


Listen to Top modele ft. Papa Wemba...e/music/18635282?srModel=byWH&srList=ANDROID

https://youtu.be/Mz9rsvCFIVg
 

Wa kawaida sana labda kwakuwa ana mshiko anawapa tips ndio maana anatajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…