Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Kweli Sinza imebadilika. Nimekulia Makaburini, jirani na kwa L. Tenga na J. Ikangaa! Tenga pesa anayo toka enzi hiyo. Jamaa alikuwa akinunua gari mpya. Nakumbuka alinunua hizi Premio mpya miaka ya 1990! Alinunua Range Rover 2nd generation kutoka CMC!

Sinza Kumekucha kulikuwa na video library ya kuazima latest movies kwa membership!
Yeah ni Sinza madukani pale opposite na vunja Bei ya sasa.. ilikua ina twiga wa sanamu na mataa (glopu za Rangi rangi) nyingi hv..

Ilipovunjwa Ambwene Yesaya (AY) akafunguaga duka lake maeneo hayo halikudumu sana sahv nimafremu kama yote.

Sinza ilikua nzuri Sana kipindi kile jamani.
 
Nachukua fursa hii kuwakumbuka watu woliotajwa na Rayvanny kwenye Natafuta Kiki.

Sina muda wa kumanisha majina yao hapa.
 
leo nimeamka na mzuka wa kusikiliza nyimbo za fm academia.

naanza na wimbo unaitwa dotnata,waliuimba kama dedication kwa mamaa dotnata decoration. good old days.

mbele ya huu wimbo inapigwa sebene moja kali sana ikienda sambamba na ghani za Totoo ze Bingwa.
Listen to Dotnata Sebene by Fm Acad...re/music/9189185?srModel=byWH&srList=ANDROID
IMG_20221015_080909.jpg
 
[emoji1787][emoji1787]
Mkuu nimetoka kusikiliza album ya Ferre gola ile iliweka pale juu hatari sana, nimezipenda tungo kadhaa Liberte, Pakadjuma na Chichiwash....
Jana nilipanda gari kwenda kahama aisee waliweka wimbo mmoja Werrason Ngaima " Zenga Luketo hatari sanaaa.... wenzetu wanajua kutunga, wanajua kupangilia mziki
 
ukipata mda msikilize ferre kupitia wimbo unaitwa marathon unaopatikana kwenywe album yake mpya ya dynastie.
 
Hahahah basi kimara baruti tumekutana nao sana kwa shabani ngalawa aka kiroba[emoji2] tukipiga pepa.

Ukitoka na banda la hesabu unachukua buku la enzi zile na pepa ijayo unagonga bure.

Mimi nimepiga ssna pepa kule,kwa ibunga mabibo, msimbazi centre, ali hassani mwinyi, ilinifanyi nikatoa VII enzi zile shule za kata hazipo hapo dar.
Daaah umenikumbusha sana mbali nmepiga sana tuition kwa mzee mzima 'Ibunga the law' hapo mabibo... ama kwl maisha ni safari
 
Nawakumbusha sifa kadhaa za watoto wa mjini, hawana shobo na vitu vidogovidogo kama madem yaani demu unaemuona mkali wewe ulietoka shamba wao washapita nae kitambo wakikutana club ni cheers tu nakuachia njia, mtoto wa mjini mchongo wowote atakupa upambane nao lakini na wewe ukipata mchongo mpatie mtaenda sawa, mtoto wa mjini akikosa sawa akipata sawa tu maisha yanasonga, mtoto wa mjini unaweza kumtukana akakuchekea lakini revange yake hutoisahau maisha yako yote, mtoto wa mjini hata akajenge ifakara siku akirudi mjini lazima atawatafuta wanae wawili watatu awape japo tano,
 
Kuna mmoja unaitwa 100Kilo aiseee! Unaweza park ndinga road nakuanza kukata mauno!

Njoo kwa mnyama Fally Ipupa!
1. Sweetheart
2. Akabhanja
3. Associe
4. Nidja
ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo za ferre including hiyo 100 kilos, uwe ktk long drive ndani ya ndinga kali unatoka mji mmoja kwenda mji mwingine.
 
thanks God for another saturday.

ameimbwa sana na wanamuziki wakubwa wa congo dr. amesifiwa kwa sifa za kila aina,
wenge musica, jb mpiana, werrason, koffi olomide, fally ipupa, ferre gola na wengineo, mara nyingi wamesikika wakitaja jina lake kwemye nyimbo zao.

si mwingine, ni mwana dada maarufu zaidi congo dr, mfanyabiashara/tajiri Tabu Fotou aka sherry, aka top model

mcheki kwenye video.

Listen to Top modele ft. Papa Wemba...e/music/18635282?srModel=byWH&srList=ANDROID

https://youtu.be/Mz9rsvCFIVg
 
thanks God for another saturday.

ameimbwa sana na wanamuziki wakubwa wa congo dr. amesifiwa kwa sifa za kila aina,
wenge musica, jb mpiana, werrason, koffi olomide, fally ipupa, ferre gola na wengineo, mara nyingi wamesikika wakitaja jina lake kwemye nyimbo zao.

si mwingine, ni mwana dada maarufu zaidi congo dr, mfanyabiashara/tajiri Tabu Fotou aka sherry, aka top model

mcheki kwenye video.
View attachment 2394365

Listen to Top modele ft. Papa Wemba & Wenge Musica BCBG by JB Mpiana on Boomplay. https://www.boomplaymusic.com/share/music/18635282?srModel=byWH&srList=ANDROID

Wa kawaida sana labda kwakuwa ana mshiko anawapa tips ndio maana anatajwa.
 
Back
Top Bottom