Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Hawa watu wanapataje izi channel za kumiliki biashara ya madini
 
Mmeiba sana aiseee
 
Hawa watu wanapataje izi channel za kumiliki biashara ya madini
ni kawaida kwa wacongo kujihusisha na biashara ya madini. taifa lao limebarikiwa kuwa na hifadhi ya madini mbalimbali hususani cobalt and copper.

kwa kiasi kukubwa hata hii political unrest tunayoishuhudia leo ndani ya congo inachangiwa na uwepo wa hayo madini chini ya ardhi.

mataifa makubwa kama USA, france na belgium yana scramble ili yafaidike na hayo madini. vikundi vya waasi vilivyojificha ktk misitu ya congo, vingi vipo chini ya ufadhili wa hayo mataifa ili kuifanya nchi ikose utulivu, wao waendelee kuvuna hayo madini.

ili kuichambua congo na masuala yake ya kiuchumi na kisiasa, inahitaji mtu aliyebobea ktk siasa za maziwa makuu aanzishe uzi mpya.
 
Sanga nasikia alifariki sababu alibanwa na kifua hapo baa unayosema ya ashura, alikua na asthma na ile dawa yake inhaler alikua kaisahau nyumbani siku hio, Swetu Fundikira yeye nasikia alipigwa na wanajeshi - rip ,wote hao wanafariki nilikua nimeshaondoka bongo kitambo.j.ndugaina viongozi wengi tu hata Augustine Lyatonga Mrema walikua wanapenda sana vijiwe vya kinondoni pia.Anyway, bongo enzi hizo ilikua tamu sana, ila hio generation ndio imefutika kabisa. Lile group la PR camp karibu lote Kwishney, na kile kizazi cha miaka hio cha Long room na ma Clearing agents karibu nacho chote kimeishia pia. Allah aliniokoa kuniondoa bongo.Aamin.
 
Yah kweli kile kidude alikisahau
Ila siku ile alikuwa na smbdy mwakilasa,nahisi naye yuko mbele huko
Kijiwe pr camp kilikuwa cha watu wazito bana,umenikumbusha omary urembo rip naye
Huu udongo umemeza watu bana Acha kabisa....
Wengine leo wakituona wanasema ahh tulijuwa umevuta au umeishiaaa
Majela huko [emoji1]
Sahv watu tumekuwa wapole pilika tena hatuziwezi wala kuzitaka [emoji1]
Acha tuwangalie vijana na watoto fujo zao tu

Ova
 
😀😀😀 Acha upole banaa na wewe anza kwenda kidimbwi beach🤣🤣🤣
 
😀😀😀 Acha upole banaa na wewe anza kwenda kidimbwi beach[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kidimbwi na wavuvi camp tutaangalizia youtube, Mrangi anaelezea enzi zetu bado unavaa jinzi saviko, halafu ukikojoa unarusha mkojo mita kadhaa kwa sasa age imesogea ukikojoa ukichelewa kidogo unakojolea zipu ya suruali, kuruka madebe wala kupiga masanga ya fujo huwezi, unajibanza dukani kwa mangi unafyonza kidogo unaenda kulala mapema muda umesogea acha kabisa,
 
Muda bado banaa, sema kwenda hizo sehemu za vijana ndio sio poa, huku mamtoni kuna ma viwanja ya vijana wa zamani. Unakutana na watu wa age yako tu basi stories. Ndio wachache mlobakia na mrangi safi sana hio bia kwa mangi 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa sasa napiga mtungi kwa mangi

Sana sana mabosi wakisema labda tukutane viwanja vyao vya faragha
Tunajichangqnya nao
Hakuna kelele,mziki kwa mbali sanaaa

Ova
 
Mmeiba sana aiseee
hata vijana wa sasa wakipata fursa ya kuiba, wanaiba. tena wanaiba sana.

siku hizi mifumo ya tehama inayosimamia malipo serikalini imepunguza upigaji kwa kiasi fulani, rejea habari za control number na lipa number.

zamani malipo serikalini yalikuwa yanafanyika manually(from one person to another). ndio maana ilikuwa ni kawaida kumkuta muhasibu au karani wa TRA,bandari,dawasa/dawasco au TRC yupo zake bar halafu kwenye begi au buti ya gari lake kuna maburungutu ya shilingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…