ni wimbo mzuri sana wa mahadhi ya rhumba, kule tiktok una trend sana. nimeona mpaka wadada weusi wa kimarekani na wazungu wanavutiwanao. kinachovutia zaidi ni ile melody na sauti ya fally.
huu wimbo umefanya nimkubali sana fally japo mimi ni shabiki wa ferre.
ktk intro, fally anasikikia akitaja jina la jamaaa anaitwa Adolphe Muteba Tshilamwina. wengi hata wacongo wenyewe wanajiuliza,huyu Adolphe Muteba Tshilamwina ni nani kiasi cha fally kumtaja ktk kila wimbo ndani ya album.
Adolphe Muteba Tshilamwina ni mfanyabiashara wa kicongo mwenye makazi yake paris, kinshasa na nairobi kenya.
jamaa ana deal na biashara ya madini.ni mdau mkubwa wa biashara hiyo mwenye utajiri mkubwa.
amejielezea mwenyewe ktk ukurasa wake wa LinkedIn.pia mcheck hapo kwenye video.
View attachment 2532802View attachment 2532803View attachment 2532804