Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Kareem matelephone,, jamaa alikuwa mbeba kreti za bia yeye na kaka yake muba pale magomeni kagera kwa mchaga mmoja hivi alikuwa anaitwa kimati miaka ya 97/98 hivi,,, miaka ya 2004/2005 nasikia jina lake linaimbwa na twanga redioni,, kuuliza naambiwa ni Kareem huyu mdogo wake na muba aliyekuwa mbeba makreti ya bia kwa kimati,, na nilikuwa nikiwaona baadhi ya wanamuziki wa twanga wakija pale kagera mikoroshini karibu na ccm ilipokuwa bar ya blue leaf, zamani sana ikiitwa ndaga bar hasa yule kibonge mtu mzima alikuwa akinyoa pank kwa sasa ni marehemu jina nimemsahu wakila gambe pamoja.
 
Ila jamani wakati ni ukuta. Ukijiuliza kwenye hii dunia tunahangaika na nini hupati jibu. Kuna wazee wamepiga hela hapo mjini mpaka basi tena. Leo hata kwenda kwa Mangi apate beer mbili hawezi.

unfortunately kila zama na mambo yake. Tupendane na tufurahie maisha. Hakuna kipya chini ya jua. Zaidi kwa wenye dhamana na kazi za serikali au fursa nyinginezo……do your job well and try to be nice to people…hata usipowasaidia. Hii dunia ni ya ajabu mnooooo.

sidhani kama Ndugai na wenzake wangefikiria kwamba ipo siku watatoka kwenye reli kizembe namna hii.

vijana na wote ambao tuna pumzi bado….tuna mengi ya kujifunza.
 
umezungumza jambo la msingi sana. tuishi tukijua kesho hatutakuwepo kwenye nafasi tulizonazo sasa.

lakini pia tufahamu itafika wakati miili yetu itadhoofika na kupoteza nguvu kwa either maradhi au umri.
 
umezungumza jambo la msingi sana. tuishi tukijua kesho hatutakuwepo kwenye nafasi tulizonazo sasa.

lakini pia tufahamu itafika wakati miili yetu itadhoofika na kupoteza nguvu kwasababu mbalimbali, ikiwemo maradhi na umri.
Na Hilo ndo wengi tunalisahau. Ardhi imemeza miamba na miamba. Hakuna kipya chini ya jua.

nikikumbuka wenye vyeo na kejeli….Salmini aka komandoo…IGP Mahita, Sumaye…list ni ndefu. Leo wako wapi?

mzee fanya yako. Furahia maisha. Kikubwa upunguze regrets uzeeni.
 
Mahita Mzee wa (Ngunguli)

Salmin Komandoo (Jogoo)

Sumaye pindi akiwa PM alikuaga mbabe kweli aiseee

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Palm beach
 
Fikiri Madinda Mimi ndiyo Boss wake hapa Kilimo na Ushirika Dodoma. Ni Dereva wa Wizara ya Kilimo na Ushirika, hataki kabisa umuite Papaaa Fikiri Madinda NI swahiba mkubwa Sana na RC wa DSM wa Sasa hivi
Mwamba mbona madini Yuko wizara ya madini ni dereva pale au alihama? maana ni mtu wa karibu kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…