Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

George Mayenga??
nina historia fupi na george mayenga ilitokea kati ya 2002 au 2003.

ni ile miaka ambayo ukikutana na vijana 10 wa dar wanafunzi wa sekondari, basi watatu au wanne watakuwa na interest na masuala ya mziki wa kufokafoka(rap).

sekondari niliyosoma ilibahatika kuwa na makundi kadhaa ya wanamziki wa rap, baadhi walifanikiwa kuwa wasanii maarufu japo kwa sasa wamepotea hawasikiki tena, life imewachapa mbaya, wengine wameishia kuwa mateja.

basi na mimi nikatekwa na trend, nikaanza harakati za kuandika mashairi. siku moja nikiwa nasikiliza redio,sikumbuki ni redio gani, nikasikia tangazo la kusaka vipaji.

tangazo lilitaja terehe na location ambayo ni maeneo ya sinza kwa remmy. siku ya siku dogo-rasi(kipindi hicho nilikuwa na mwili mdogo) nikajichanganya mpaka maeneo ya sinza.

nikafika mpaka eneo husika halafu nikajikuta peke yangu,nikakutana na mjomba kipande cha mtu, kaenda hewani kidogo, nywele zake kama za shombeshombe wa kiarabu au msomali.

kavaa raba kali, suruali ya jinsi, t-shirt kubwa kama zile wanazovaa wacheza basketball na cheni kubwa shingoni.

akajitambukisha kwa jina la george mayenga, muuandaji wa hiyo project ya kusaka vipaji. pembeni yake alikuwepo saigon wa kundi la diplomatz.

kipindi hicho saigon wa moto sana nadhani alikuwa ndio kwanza karudi zake kutoka sijui UK. nahisi pia hata george mwenyewe alikuwa hana mda mrefu nchini, alikuwa zake nje ya nchi.

baada ya maswali mawili matatu tukaingia kwenye gari ndogo mpaka mitaa ya magomeni kwenye mgahawa mmoja maarufu sana wakati huo kwa biriani, jina la mgahawa nadhani ni butiama(sikumbuki vizuri).george akaninunulia biriani.

tukiwa tunakula nikamwambia bro mimi kipaji changu sio kurap, ni kutunga mistari. kwenye kibegi changu nilikuwa na kidaftari kina mistari mingi, nikawaonyesha yeye na saigoni.wakaniambia wao interest yao ni kutafuta vijana wenye vipaji vya kutunga pamoja na kurap.

wakaniambia watanitafuta, george akanipa nauli nikasepa zangu. interest yangu ya kuwa mwanahipop ikaishia hapo. nilipoteza kabisa hamu ya kuwa mwanamziki na sijawahi kujutia.

baada ya tukio hilo sikuwahi tena kuonana na george mayenga zaidi tu ya kusikia jina lake likitajwa na wanamuziki wa band hususani ally choki enzi zile akiwa twanga pepeta.

kama Kaka yangu George Mayenga anapitia uzi huu, ajaribu kurudisha kumbukumbu nyuma, atanikumbuka.[emoji1787]
 
nina historia fupi na george mayenga ilitokea kati ya 2002 au 2003.

ni ile miaka ambayo ukikutana na vijana 10 wa dar wanafunzi wa sekondari, basi watatu au wanne watakuwa na interest na masuala ya mziki wa kufokafoka(rap).

sekondari niliyosoma ilibahatika kuwa na makundi kadhaa ya wanamziki wa rap, baadhi walifanikiwa kuwa wasanii maarufu japo kwa sasa wamepotea hawasikiki tena, life imewachapa mbaya, wengine wameishia kuwa mateja.

basi na mimi nikatekwa na trend, nikaanza harakati za kuandika mashairi. siku moja nikiwa nasikiliza redio,sikumbuki ni redio gani, nikasikia tangazo la kusaka vipaji.

tangazo lilitaja terehe na location ambayo ni maeneo ya sinza kwa remmy. siku ya siku dogo-rasi(kipindi hicho nilikuwa na mwili mdogo) nikajichanganya mpaka maeneo ya sinza.

nikafika mpaka eneo husika halafu nikajikuta peke yangu,nikakutana na mjomba kipande cha mtu, kaenda hewani kidogo, nywele zake kama za shombeshombe wa kiarabu au msomali.

kavaa raba kali, suruali ya jinsi, t-shirt kubwa kama zile wanazovaa wacheza basketball na cheni kubwa shingoni.

akajitambukisha kwa jina la george mayenga, muuandaji wa hiyo project ya kusaka vipaji. pembeni yake alikuwepo saigon wa kundi la diplomatz.

kipindi hicho saigon wa moto sana nadhani alikuwa ndio kwanza karudi zake kutoka UK. nahisi pia hata george mwenyewe alikuwa hana mda mrefu nchini, alikuwa zake ulaya.

baada ya maswali mawili matatu tukaingia kwenye gari ndogo mpaka mitaa ya magomeni kwenye mgahawa mmoja maarufu sana wakati huo kwa biriani, jina la mgahawa nadhani ni butiama(sikumbuki vizuri).george akaninunulia biriani.

tukiwa tunakula nikamwambia bro mimi kipaji changu sio kurap, ni kutunga mistari. kwenye kibegi changu nilikuwa na kidaftari kina mistari mingi, nikawaonyesha yeye na saigoni.wakaniambia wao interest yao ni kutafuta vijana wenye vipaji vya kutunga pamoja na kurap.

wakaniambia watanitafuta, george akanipa nauli nikasepa zangu. interest yangu ya kuwa mwanahipop ikaishia hapo. nilipoteza kabisa hamu ya kuwa mwanamziki na wala sijutii.

Yeah uko sahihi kabisa Mr George alikuwa mtu wa watu enzi hizo sijui sasa na sijui yuko wapi? pia alikuwa HUSLER haswaa na mtu wa totos tena pisi kali , na tabia ya kutoa offer ya kula kula kwake ilikuwa kawaida sana yaani hakuwa selffish kabisa , Mie muda huo nilkuwa naishi sinza mori jirani na kwake kiasi, Baadae alikuwa na shughuli za ukandarasi na alipata tenda za serikali kiani, alikuwa na mpunga kiaina,
 
Pepe Kale hakumuimba Hidaya mwanamke, aliimba HEDAYA wema na mapokezi makubwa aliyoyapata Tanzania (Kule Arusha, Kule Morogoro, Kule Mwanza). Alitumia kiswahili sanifu tu. Na huo wimbo hakuutunga Tanzania ila aliuandaa na mahsusi baada ya ziara ya Tanzania. Kumbuka kipindi hicho haikuwa rahisi kuipata bendi au mwanamuziki wa Congo (Pepe Kale, Boziboziana, BongoMan, Loketo/ Aurlus Mabel), Papa Wemba, Wenge Musica BCBG nk). Kumbuka soko lao lilikuwa Afrika yote hasa Afrika Magharibi. It was so amazing!!
SINA HAKIKA LAKINI HAUKO SAHIHI !!!!!!! PEPE KALE ALIMWIIMBA HIDAYA WA ARUSHA TANZANIA NA WACHAMBUZI WENGI WA MUSIKI WAKONGWE WANASEMA HIVYO , SASA WEWE HIYO HEDAYA UMETOA WAPI? KAMA ALIIMBA YANGA NDIYO ASHINDWE KWA MTOTO WA KIKE? RIP PEPE KALE & HIDAYA.
 
nina historia fupi na george mayenga ilitokea kati ya 2002 au 2003.

ni ile miaka ambayo ukikutana na vijana 10 wa dar wanafunzi wa sekondari, basi watatu au wanne watakuwa na interest na masuala ya mziki wa kufokafoka(rap).

sekondari niliyosoma ilibahatika kuwa na makundi kadhaa ya wanamziki wa rap, baadhi walifanikiwa kuwa wasanii maarufu japo kwa sasa wamepotea hawasikiki tena, life imewachapa mbaya, wengine wameishia kuwa mateja.

basi na mimi nikatekwa na trend, nikaanza harakati za kuandika mashairi. siku moja nikiwa nasikiliza redio,sikumbuki ni redio gani, nikasikia tangazo la kusaka vipaji.

tangazo lilitaja terehe na location ambayo ni maeneo ya sinza kwa remmy. siku ya siku dogo-rasi(kipindi hicho nilikuwa na mwili mdogo) nikajichanganya mpaka maeneo ya sinza.

nikafika mpaka eneo husika halafu nikajikuta peke yangu,nikakutana na mjomba kipande cha mtu, kaenda hewani kidogo, nywele zake kama za shombeshombe wa kiarabu au msomali.

kavaa raba kali, suruali ya jinsi, t-shirt kubwa kama zile wanazovaa wacheza basketball na cheni kubwa shingoni.

akajitambukisha kwa jina la george mayenga, muuandaji wa hiyo project ya kusaka vipaji. pembeni yake alikuwepo saigon wa kundi la diplomatz.

kipindi hicho saigon wa moto sana nadhani alikuwa ndio kwanza karudi zake kutoka UK. nahisi pia hata george mwenyewe alikuwa hana mda mrefu nchini, alikuwa zake ulaya.

baada ya maswali mawili matatu tukaingia kwenye gari ndogo mpaka mitaa ya magomeni kwenye mgahawa mmoja maarufu sana wakati huo kwa biriani, jina la mgahawa nadhani ni butiama(sikumbuki vizuri).george akaninunulia biriani.

tukiwa tunakula nikamwambia bro mimi kipaji changu sio kurap, ni kutunga mistari. kwenye kibegi changu nilikuwa na kidaftari kina mistari mingi, nikawaonyesha yeye na saigoni.wakaniambia wao interest yao ni kutafuta vijana wenye vipaji vya kutunga pamoja na kurap.

wakaniambia watanitafuta, george akanipa nauli nikasepa zangu. interest yangu ya kuwa mwanahipop ikaishia hapo. nilipoteza kabisa hamu ya kuwa mwanamziki na wala sijutii.

baada ya tukio hilo sikuwahi tena kuonana na george mayenga zaidi tu ya kusikia jina lake likitajwa na wanamuziki wa band hususani ally choki enzi zile akiwa twanga pepeta.

kama Kaka yangu George Mayenga anapitia uzi huu, ajaribu kurudisha kumbukumbu nyuma, atanikumbuka.[emoji1787]
Hivi bado yuko sinza George mayenga

Teh teh .....

Ova
 
Yeah uko sahihi kabisa Mr George alikuwa mtu wa watu enzi hizo sijui sasa na sijui yuko wapi? pia alikuwa HUSLER haswaa na mtu wa totos tena pisi kali , na tabia ya kutoa offer ya kula kula kwake ilikuwa kawaida sana yaani hakuwa selffish kabisa , Mie muda huo nilkuwa naishi sinza mori jirani na kwake kiasi, Baadae alikuwa na shughuli za ukandarasi na alipata tenda za serikali kiani, alikuwa na mpunga kiaina,
Aise,nmecheka sana

Ova
 
binafsi sifahamu lolote kuhusu habari za huyo jamaa. labda kidodosi anaweza kuchangia mawili matatu kumuhusu.
Aisee mie pia kitambo sana toka nihame sinza 2006, nilikuwa naishi jirani kabisa na HOTEL moja kali sana QUEEN OF SHEBA kwa enzi hizo ila kwa sasa nasikia imekufa na sasa wanapangisha vyumba kwa mwezi Daaaah, ilikuwa ya mama mmoja wa Kihaya, alikuwa mfanyakazi wa SWISSAID!!! Nae alikuwa mtu wa heka heka sana tu!!!!
So toka 2006 sina taarifa za mr George Mayenga. i hope he is doing very well.

ILA KWA SASA MTU AKINIAMBIA NIKAISHI SINZA HATA KWA KUNILIPA HAPANA KABISA!!!!!
 
Fikiri Madinda, alikuwa ni dereva wa serikali pale Mifugo na uvuvi kwa sasa Temeke. shughuli yake kubwa ilikuwa ni kufunga mitambo ya bendi. alikuwa anafanya kazi ikifika saa tisa gari imeshapaki anaaga anakwenda kwenye kazi za bendi ambazo mara nyingi ilikuwa inaanza kutumbuiza mida ya jioni.
AISHA MADINDA ALIKUWA DADA YAKE AU?
 
Na kuna yule jamaa kwa jina Kajumulo nae alikuwa na issue kama hizi za mambo ya soccer sijui aliishia wapi nae
WAKATI NIPO SINZA NDIYO KAJUMULO KAINGIA MJINI KWA FUJO SANA , SASA ALIKUWA NA WAPAMBE WAKE WANAGAWA T SHIRTS NA MA TRUK SUITS YENYE MAJINA YAKE, MIE NIKAWAAMBIA KAMA MNATAKA NIVAA NGUO ZENYE MAJINA YA KAJUMULO WANALIPE LA HAPANA KABISA KUVAA NGUO ZENYE MAJINA YA WATU MAARUFU WENYE PESA ZA UJANJA UJANJA !!!!!
 
hii mitandao japo inafaida ila imekuja na hasara zake. moja wapo ni "kuleta utengano".

mfano siku hizi unaweza kupanga miadi na rafiki zako mkutane jioni sehemu flani kupata kinywaji na kula nyama choma.

halafu mkikutana mnasilimiana, baada ya hapo hakuna story, ukimya unatawala, kila mtu anahamia kwenye simu yake.

zamani marafiki mkikutana kweye starehe ilikuwa ni full kupiga story, kufurahi na kukumbushana mambo mbalimbali.
Unawakumbuka Zero brain?!![emoji3526][emoji3526]wa pale Posta
 
Aise hyo sijaonana naye miaka mingi sana,mara ya mwisho kumuona alikuwa amedhoofu kdg
Zaman nlipiga naye sana dili za sim za magumashi titisiel intanational calls....huyu
Ila baba yake ndiyo mshikaji wangu sana maana mpaka leo napiga mtungi
Kwenye grocery yake pale
Napo nna muda sijapita,na nkiendaga sijawahi muliza khs mwanae

Ova
Du!!kwl ww mko

Da!!Andrew yupo juzi nimekutana na mdogo wake ni fundi umeme wa magari maarufu sana Kidedea,ww jamaa wa kitambo sana mitaa hiyo utakuwa unamfahamu mpaka jamaa anaitwa Chipande Likongo mtoto wa Ada Estate nae katwanga sana simu za nje na wakina Andrew
 
SINA HAKIKA LAKINI HAUKO SAHIHI !!!!!!! PEPE KALE ALIMWIIMBA HIDAYA WA ARUSHA TANZANIA NA WACHAMBUZI WENGI WA MUSIKI WAKONGWE WANASEMA HIVYO , SASA WEWE HIYO HEDAYA UMETOA WAPI? KAMA ALIIMBA YANGA NDIYO ASHINDWE KWA MTOTO WA KIKE? RIP PEPE KALE & HIDAYA.
Umeanza lini kuwaamini wachambuzi mchongo wa Bongo? Huyo Hidaya wa Arusha alijichomeka kukimbilia fursa. Hebu jiulize kama alikuwa anajua Hidaya mwenyewe yuko Arusha, why amtafute Morogoro, Mwanza na Arusha? Ile sanaa, na pale alitumia fasihi kufikisha ujumbe kwa mapokezi aliyoyapata. Kiukweli Pepe Kale, Boziboziana na Kanda Bongo Man walipata mapokezi yasiyo kifani.
 
Aisee mie pia kitambo sana toka nihame sinza 2006, nilikuwa naishi jirani kabisa na HOTEL moja kali sana QUEEN OF SHEBA kwa enzi hizo ila kwa sasa nasikia imekufa na sasa wanapangisha vyumba kwa mwezi Daaaah, ilikuwa ya mama mmoja wa Kihaya, alikuwa mfanyakazi wa SWISSAID!!! Nae alikuwa mtu wa heka heka sana tu!!!!
So toka 2006 sina taarifa za mr George Mayenga. i hope he is doing very well.

ILA KWA SASA MTU AKINIAMBIA NIKAISHI SINZA HATA KWA KUNILIPA HAPANA KABISA!!!!!
Huko nlikuwa na wanangu wengi sana
Unamjua smbdy fish
Alafu yule mama anayemiliki qeen of sheba sjui kafeli vp
Kweli sinza kuna life fulani siyo
Kama kinondoni pia...

Ova
 
Unawakumbuka Zero brain?!![emoji3526][emoji3526]wa pale Posta
nawakumbuka sana, posta mpya mkabala na stand ya daladala. ni kipindi cha mwaka 2000-2003.

ile maskani ilikuwa ni meeting point ya wanafunzi vijana wa sekondari za dar waliokuwa wanasoma makongo, jitegemee, forodhani, azania na kibasila.

ikifika jioni utaawaona wanarandaranda pembezoni mwa kituo cha daladala, wengine walikuwa wanakuja mpaka upande wa club bilicanas.

pia ilikuwa ni maskani ya wasanii waliokuwa wanachipukia wakati huo, mfano q cheif alikuwa hakosekani zero brain.

wanafunzi walikuwa wanaitumia zero brain kama platform ya kupeana update mbalimbali kuhusu school parties na sport. pia ilikuwa sehemu ya kuanzisha urafiki na wenzao wa shule nyingine.

kuna jamaa mmoja tulikuwa tunamuita Mzushi, mjanja-mjanja wa town, mda wote kavaa kibegi. yeye na wenzie walikuwa wanahusika sana kuandaa vi-school bashes. sijui yuko wapi siku hizi. natamani kujua alipo.
 
Hahahaaa!!!!!jamani acha tu pale ndo story za town zote kwa vijana zilipatikana!!!
Muda unakimbia sana
 
Back
Top Bottom