Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Huko nlikuwa na wanangu wengi sana
Unamjua smbdy fish
Alafu yule mama anayemiliki qeen of sheba sjui kafeli vp
Kweli sinza kuna life fulani siyo
Kama kinondoni pia...

Ova
YAANI SINZA UMEKUWA KA MJI KAKONGWE NA WATU WAKONGWE WASIO NA UCHUMI IMARA , UJUE SINZA NADHANI IMEANZA KUJENGEKA MIAKA YA 80`S, NYUMBA ZIMECHAKAAA, MITAA MIBOVU , NYUMBA HAZINA MAINTENANCE MAANA NYINGI WANAKAA WAPANGAJI, TENA HATA RENT IMESHUKA SANA SIKU HIZI , WATU WANA PREFER MAKONGO NA GOBA AT LEAST KUNA NYUMBA ZA KISASA!!! NAJUA WAZEE WANGU KADHAA WAMEUZA NYUMBA ZAO WAMEHAMIA PEMBEZONI MWA MJI NA WENGI WA WAZEE WAMETANGULIA MBELE ZA HAKI SASA WATOTO NI MWENDO WA KUUZA TU!!!!! MZEE MWAIBULA NAE ALIKUWA ANAISHI SINZA MTAA WA LION HOTEL CHINI KABISA SIJUI BADO YUPO HAPO!>? , KWA UKU BARABARANI NDIYO NAONA KUMEIMARIKA KUTOKANA NA MADUKA , MA HALLL NA MA HOTEL.
LAKINI NAONA KIPINDI CHA AWAMU YA NNE CHA JK , WAKINGA ,WAUZA SEMBE NA MAFISADI WALINUNUA SANA MAENEO SINZA NADHANI AKIIWEMO FRED VUNJABEI NA KUNA WATU WALIJENGA SANA MA APARTMENT NA MA HOTEL , ALIVYOINGIA AWAMU YA TANO JPM KILA MTU ANAJUA IKAWA BALAAA!!!! MTU UKIWA NA 10ML TU LAZIMA UITOLEEE MAELEZO VINGINEVYO UNAPEWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI., KWAHIYO SINZA NAYO IKAWA IMESIMAMA!!!!!!!!!!!!
 
Kwanza umesahau msondo ngoma na sikinde. Walikuepo na hadi leo wapo ila hawakua na tabia kuwataja mapedeshee.
Christian bella juzi kwenye interview moja kasema kutaja mapedeshee ilikua pesa. Yaani ni mtaji ukiwataja wanakupa pesa.
Halafu pedeshee neno limetoholewa kutoka kifarannsa PDG, wanatamka pedejee. Ni sawa na CEO, yaani mkurugenzi mkuu wa kampuni. Kule congo ni watu noti sana. Ukiwataja kwenye wimbo enzi hizo wanakujaza manoti. Sijui siku hizi.

Ha ha ha ha. Nyimbo za Congo bila kuwataja Jose Kongolo, Saddam Husein, Didi Kinuani, Adam Bombole, Erick Mandala, Cardoso Muamba(R. I. P) unakua bado haujakamilika
 
Kareem matelephone,, jamaa alikuwa mbeba kreti za bia yeye na kaka yake muba pale magomeni kagera kwa mchaga mmoja hivi alikuwa anaitwa kimati miaka ya 97/98 hivi,,, miaka ya 2004/2005 nasikia jina lake linaimbwa na twanga redioni,, kuuliza naambiwa ni Kareem huyu mdogo wake na muba aliyekuwa mbeba makreti ya bia kwa kimati,, na nilikuwa nikiwaona baadhi ya wanamuziki wa twanga wakija pale kagera mikoroshini karibu na ccm ilipokuwa bar ya blue leaf, zamani sana ikiitwa ndaga bar hasa yule kibonge mtu mzima alikuwa akinyoa pank kwa sasa ni marehemu jina nimemsahu wakila gambe pamoja.
Nani!? Amigolasi!?
 
Ila jamani wakati ni ukuta. Ukijiuliza kwenye hii dunia tunahangaika na nini hupati jibu. Kuna wazee wamepiga hela hapo mjini mpaka basi tena. Leo hata kwenda kwa Mangi apate beer mbili hawezi.

unfortunately kila zama na mambo yake. Tupendane na tufurahie maisha. Hakuna kipya chini ya jua. Zaidi kwa wenye dhamana na kazi za serikali au fursa nyinginezo……do your job well and try to be nice to people…hata usipowasaidia. Hii dunia ni ya ajabu mnooooo.

sidhani kama Ndugai na wenzake wangefikiria kwamba ipo siku watatoka kwenye reli kizembe namna hii.

vijana na wote ambao tuna pumzi bado….tuna mengi ya kujifunza.
Ndugai ni mbunge mwenye stahili zote za Spika Mstaafu. Unadhani angeweza panda zaidi kisiasa zaidi ya pale alipofikia!? Yaani kuwa Rais. Kwa umri wake alisha_accomplish life mission. Ni kama Mzee Msekwa tu au Pinda . Anatafuta nini sasa!? Zaidi ya kula kile alichochuma na kuepukana na shida zinazoweza kufukuziwa mbali na fedha. Maana kama kufa hata kapuku asiye na mia moja mbovu mfukoni atakufa tena baada ya kupigika sana na shida.
 
Naona mitaa yetu ya zamani sahv imepoa,hakuna amshaamsha
Mjini kumepoa sana,ina maana vijana siku hakuna wachangamshaji wa mission za twn
Naona hata break point nako kimya
Mjini watu wanakaa kihasarahasara

OvaView attachment 2564737View attachment 2564738View attachment 2564748
Hiyo picha ya kwanza karibu sana na kijiweni kwangu aisee! Ila mjini kweli imepoa sana. Kingine kuhama kwa serikali kumepoza sana mji Aisee. Hata sisi wamachinga biashara ni ngumu kweli kweli . Maana watu ni wachache na mbaya zaidi hawana hela. Biashara haziendi. Break Point nayo inatia Huruma aisee! Naona uliingia mara moja hapo.
 
kiukweli mitaa yetu ya katikati ya jiji imepoa siku hizi.

last weekend nilipita mitaa ya samora, mkwepu,makunganya na azikiwe, kulikuwa na utulivu usio wa kawaida mpaka nikaingiwa na unyonge.

nikawa navuta hisia zile pilikapilika za vijana wa zamani walivyokuwa wanakumbizana huku na kule kukamilisha michongo yao.

nikapita kwenye maskani ya azam take away pale round about, napo nikakuta pamepoa sana.
Town ya sasa inaweza kukutoa machozi ukiikumbuka town ile. Ni kama ghost city.
 
Aisee mie pia kitambo sana toka nihame sinza 2006, nilikuwa naishi jirani kabisa na HOTEL moja kali sana QUEEN OF SHEBA kwa enzi hizo ila kwa sasa nasikia imekufa na sasa wanapangisha vyumba kwa mwezi Daaaah, ilikuwa ya mama mmoja wa Kihaya, alikuwa mfanyakazi wa SWISSAID!!! Nae alikuwa mtu wa heka heka sana tu!!!!
So toka 2006 sina taarifa za mr George Mayenga. i hope he is doing very well.

ILA KWA SASA MTU AKINIAMBIA NIKAISHI SINZA HATA KWA KUNILIPA HAPANA KABISA!!!!!
Hata kwa kulipwa Sinza huitaki!? Kwa nini Mdau!?
 
Town ya sasa inaweza kukutoa machozi ukiikumbuka town ile. Ni kama ghost city.
kiukweli city centre ya dar es salaam siku za weekend ni kama ghost town. ule ukimya unaleta upweke sana.

kwa uelewa wangu mdogo, katikati ya jiji lolote kubwa ambalo linabeba image ya nchi kibiashara, panatakiwa pawe na pilikapilika mbalimbali za kiuchumi na kijamii, na zinatikwa ziwe zina run 24/7.

leo hii ukienda posta mpya mida ya saa tatu usiku, utakuta mji upo kimya, maduka yote yamefungwa. kila mswahili karudi kwake. wanabaki wahindi tu wakiwa wamejifungia juu kwenye vigorofa vyao.

wakati flani nikiwa jiji la nairobi mitaa ya moi evenue mida ya saa tano usiku, nilishangaa kuona watu wapo busy, hawalali utadhani mchana. ktk east africa naweza sema nairobi is the city never sleep.

hata katikati ya jiji la newyork hali ni hiyohiyo, kwa waliofika jiji hilo wanakwambia siku zote lipo busy weekdays to weekend.

sisi huku bado tuna mitazamo ya kizamani sana, tunamekalili kwamba siku za weekend jiji linatakiwa litulie. ndio maana ukienda posta jumamosi au jumapili, utakutana na upweke wa ajabu unaweza hisi upo kwenye mji unaopatikana kwenye movie ya zombie apocalypse.
View attachment 2574579
 
Back
Top Bottom