Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Hili jina liko kwenye karibu nyimbo zote za Fally
ni kweli, jina la marehemu Gauthier Ewing limetajwa sana na Fally katika nyimbo zake, hii imetokana na ukaribu wao tangu utotoni.

jamaa alioa mwaka jana na kufanya bonge la party jijini Milan, mwezi wa nane mwaka huu akafariki dunia.kwa maana hiyo ameacha ndoa yake ikiwa bado changa sana. Mungu ampumzishe mahala pema.

View: https://youtu.be/Y7uZ5WrykxE?si=hSKmXIdl_j9GLxQY
 
anaitwa Nana Bafana Ketchup, mke halali wa mwanamuziki maarufu wa kikongo Fally Ipupa.

huyu ndio mwanamke aliyemfanya Fally Ipupa acheze mbali na bibie hamisa mobeto stejini kipindi kile mwanamuziki huyo alipofanya ziara nchini tz(video zipo mitandaoni, zitafute uone).

Fally anampenda sana mke wake, amemuimba na kumtaja kwenye nyimbo zake nyingi.mahusiano yao yana muda mrefu kabla hata Fally hajulikani.
 
Attachments

  • TikTok_7241365109950434565.mp4
    6.6 MB
anaitwa Nana Bafana Ketchup, mke halali wa mwanamuziki maarifu wa kikongo Fally Ipupa.

huyu ndio mwanamke aliyemfanya Fally Ipupa acheze mbali na bibie hamisa mobeto stejini kipindi kile mwanamuziki huyo alipofanya ziara nchini(video zipo mitandaoni, zitafute uone).

Fally anampenda sana mke wake, amemuimba na kumtaja kwenye nyimbo zake nyingi.mahusiano yao yana muda mrefu kabla hata Fally hajulikani.
Lishangazi liko vizuri 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Lakini kabla ya huyu Bafana alikuwepo Nicky Menga. Kwenye wimbo uliompa umaarufu sana Fally mwaka 2000, etternellement, featuring Koffi, alimuimba huyu Nicky Menga. Huwa anajiita Nicky Menga Barcelone. Ana watoto nae pia. Ila hawa wakongo wanajitahidi sana kwenye ishu za familia kutohusisha mambo yao ya muziki. Huwa wanaepusha sana drama za kisanii zisiingie kwenye familia.
 
hilo jina la bercelona nimelikia kwenye baadhi ya nyimbo alizoimba Fally hususani kipindi kile akiwa kwenye kundi la koffi Olomide.

kiukweli nilikuwa sifahamu kwamba alikuwa ni girlfriend/mke wa Fally.

Leo ndio nimejua, asante sana kwa taarifa.

shida ya content nyingi za maceleb wa kikongo zipo published kwa lugha ya kifaransa kiasi cha kuleta ugumu sisi kuzisoma na kuelewa. tumezoea kingereza na kiswahili.
 
Alikuwa mkewe. Tatizo wakongo pia wako makini sana kwenye ishu za familia. Wameziweka mbali familia zao na camera za media. Drama za JB Mpiana na Amida ndo zimekua zikisikika. Koffi nae pia amekuwa sometimes aki-trend na ishu za familia pamoja na mademu.
 
Theodor Ngiama Obiang
Adolph Muteba Chilamwina
Jose Kongolo
Hamed Bakayoko
Pedeshee Dariol Mulongo
Adam Bombole
Fabrice Wasepe
Patricke Bolonya
Mohamed Munuo
Prof Tairol lubanga
Steve luemba
Sossu ngueso
 
Theodor Ngiama Obiang
Adolph Muteba Chilamwina
Jose Kongolo
Hamed Bakayoko
Pedeshee Dariol Mulongo
Adam Bombole
Fabrice Wasepe
Patricke Bolonya
Mohamed Munuo
Prof Tairol lubanga
Steve luemba
Sossu ngueso
karibu
 
mabanga au libanga ni nini?.

kwa wasiofahamu, mabanga au libanga ni neno la kilingala ambalo tafsiri yake kwa kiswahili ni mawe/jiwe

kutaja majina ya matajiri, sponsors, influential figures, music promoters, friends or family members it's part of rumba culture.

ni utamduni uliodumu toka enzi za kina Luambo Makiadi licha ya utamduni huo kukosolewa na baadhi ya wahafidhina wa mziki huo.

hapo ndipo neno mabanga au libanga linapochukua nafasi yake likimainisha kurusha mawe au kurusha jiwe.

kwa wacongo, kitendo cha kupachika majina ya watu kwenye mashahiri ya mziki wa rumba, inatafsiriwa ni kama kurusha mawe/jiwe.
 
Attachments

  • TikTok_7224102238921264389.mp4
    1.1 MB
Sijawahi kuwa mkazi wa Dar, ila nimekuwa mfuatiliaji, mpenzi na mdau wa muziki wa dansi toka miaka ya 90 mwishoni hadi unaporomoka Miaka ya 2010. Lakini hadi leo mimi ni mdau wa muziki huu, huku nikiwa mfuasi wa Cheza Kidansi iliyopo chini ya Benard James.

Band ambayo nimeifahamu kwa kina ni Akudo, toka ikiwa chini ya Ramadhani Kahumbila (kaka yake kapuya) ikiimba nyimbo za kitamaduni na hamasa ya siasa zake na baadae kufanyiwa Mapinduzi kwa kuletwa wakongo. Wanamuziki wa kongo AKUDO waliishi bila shida kwa msaada wa mzee mwanjali aliyekuwa wizara ya kazi. Baraka kapuya baada ya kutoka Marekani alipokuwa akifanya kazi petrol station. Kwa sasa Baraka anasimamia biashara za Mzee wake hasa Tabora ambapo mzee ana majumba mtaa wa kanyenye (sinza au Kirumba ya Tabora) na hotel kama Frankman.

Maisha ya ma-pdg ni funzo kubwa la nidhamu ya fedha na uwekezaji.

Wimbo wa Jaydee uitwao Historia unafaa sana kuusindikiza huu uzi ambao ni very nolstalgic!
 
Back
Top Bottom