smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
- Thread starter
- #1,701
mwaka jana niliandika wasifu wa marehemu Hemed Bakayoko hapahapa kwenye uzi huu.bhachu Hamed Bakayoko ameimbwa sana na Extra Music band naomba umelezee kwa upana nipate kumfahumu vema
rejea post hii hapa chini.[emoji1427][emoji1427]
hamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.
bakayoko alikuwa ni raia wa ivory coast. a politician, rich businessman, music promoter, influencer and prominent figure in francophone countries.
nilikuwa nafatilia sana habari zake wakati angali hai.
View attachment 2273735